Тёмный
SHALBA OnlineTV
SHALBA OnlineTV
SHALBA OnlineTV
Подписаться
SHALBA Onlinetv_ ni Chanel ya kiislam (Islamic Chanel tv online) dhumuni yake nikuelimisha jamii na kuwarekebisha watu pale wanapokosea taratibu za Mungu, furahia nasi Darsa mawaidha navisomo vya Ruqya(Dua) kila kukicha.

SHALBA Onlinetv_ is an Islamic Chanel (Islamic Chanel tv online) whose purpose is to educate the community and correct people when they violate God's laws, enjoy with us Darsa reminders and lessons of Ruqya (Dua) every morning.

SHALBA Onlinetv_ هي قناة إسلامية شانيل (قناة شانيل الإسلامية على الإنترنت) والغرض منها هو تثقيف المجتمع وتصحيح الناس عندما يخالفون قوانين الله ، واستمتع معنا بتذكيرات درسية ودروس الرقية(الدعاء) كل صباح.
Комментарии
@mohameddende2371
@mohameddende2371 6 часов назад
Mbn mashia wanakaa kwa mshangao ivo nikama wanataka kukimbia
@abdulrahmanbakar5416
@abdulrahmanbakar5416 11 часов назад
Mashia: wanaambiwa wanawatukana wake za mtume na maswahaba zake. Kosa hilo linawafanya mpaka watolewe ndani ya dini. Kisa ni utukufu wao mbele za mtume na Allah. Mawahabi: wanawatukana wazazi wa mtume na kuwasifu wake zake na masahaba zake. NB: Tusi kubwa ni kumjaalia mja wa Allah kuwa ana laana na hawez kuzipata rehema zake. Ivi jamani mizozo itaisha lini? Sufi: Bidaa katika maulidi na mengineyo ila bidaa zao zipo ktk fiq hi. Wahabi: Tawheed wamezitawhidisha mpaka kufikia tatu. Bidaa ktk aqida. Yaani msingi wa imani. Mawahabi mnayaona ya wenzenu wakati yenu ni makubwa zaidi?. Tusomeni jaman Allah alituachie dini sahihi na sio hizi za mitaala ya kizayuni.
@user-jd1zd9dk1v
@user-jd1zd9dk1v 23 часа назад
thin headed people God can't be religious Jesus was didn't have a religion religion can't make you get to heaven God is not a Muslim or a Christian Jesus is the way
@dennisNyakundi-v8m
@dennisNyakundi-v8m День назад
Mwalimu ndacha kweli uko na hekima
@fatumahirbotuke1663
@fatumahirbotuke1663 День назад
Astaqfirullah,, inna lillahi wainna ileyhi rajiun, laana ya Allah iwe juu yako,, huyu kafiri anafaa kukatwa kichwa, laana tullah 😭😭
@nassorochura7838
@nassorochura7838 День назад
mashia ndo waliazisha maulid na hitima lau kama mtume angelifanya haya mbele ya maswahaba ingekuwa bora zaidi na mtume amefiwa na mke wake bi hadija na watoto wake hatujaona kwamba alikuwa akiwasomea maiti kuruani
@nassorochura7838
@nassorochura7838 День назад
mashekhe wengi wanazungumza kwa machungu sana na ukitazama kila mmoja unaweza kumwami ni maana wote wako sawa na waislamu kwa kuwa hatutaki kufuatilia elimu ya dini ni haki mtu kutokujua bidaaa
@nassorochura7838
@nassorochura7838 День назад
hizi ni alama za kiama kama walivyotabiri mitume watu watagombana wao kwa wao kama walivyobishana watu wa zama zilizopita
@nassorochura7838
@nassorochura7838 День назад
nashauri waislamu tutaangamia maana kimwanandani ni hatari sana kikubwa ndugu islamu hakuna kitu bora kama swala tusimamishe swala na yale aliyotuamrisha umma huu hakuna mtume wala nabii ni bali ni kufuata yale aliyotuachia mtume wa allah
@nassorochura7838
@nassorochura7838 День назад
.maulama wa karne hii ni mtihani sana na mashekhe wanaodai ni wachambuzi wa vitabu ndoo hao mtihani maana baadhi yao huhalalisha bidaa kuwa ni bora kuliko quruani na sunna hata mtume aliwaona watu wa namna hiyo na kuwakataza kufanya hivyo kinyume na mtume
@PeterBoru-sq3ve
@PeterBoru-sq3ve 2 дня назад
Msomaji power
@PeterBoru-sq3ve
@PeterBoru-sq3ve 2 дня назад
Ndacha power
@tsumamartin6878
@tsumamartin6878 2 дня назад
Kafiri mazinge amekomeshwa
@AbdallahsalehjafferElchunu
@AbdallahsalehjafferElchunu 2 дня назад
Bakwata hawana maana pesa mbili moto wanao
@MbavuMoya
@MbavuMoya 3 дня назад
Mbavu moya see it from king villa tv
@SalimCharo-ft9kf
@SalimCharo-ft9kf 3 дня назад
Ata kama mnautuhumu ushia na mashia ipo haja ya matusi? Hivi ninyi mnao comment mmesoma sana hata mnaona matusi ndo elimu ya kuwapambanulia watu waende kinyume na ushia? Aya ya tatu ktk surat hujjirat inatueleza wazi kwamba hata mtu fasik akitujia na habar kwanza tuichunguze vyema tusije tukaipuuza na kujuta baadae kabla hatujaeneza uongo, hivi mmesoma sana ninyi? Na hata huo usuni mnaodai ndo dini iliyo sahihi Allah na mtume wake wanawafundisha kuwa muwatukane wenye mitazamo tofauti na yenu? Mtume alitabiri juu ya mchipuko wa madhehebu 73 vipi imani yenu ni kwamba ninyi mko sawa tu mbona msisome mkapata uyakini wa mambo kabla hamjaanza matusi. Wallah hii haikubaliki ktk dini na mwombeni Allah amuepushe na chuki mfano huu inshallah
@Mudykiboymkumbwa
@Mudykiboymkumbwa 3 дня назад
Vp
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 4 дня назад
Ndacha mkaidi jamani dah akili yake inajua kama uislamu ni dini ya haki lakin hakubali#
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 дня назад
Kumbe MAWAHABI AKILI HAWARUHUSIWI KUTUMIA AKILI. IMAM ALIKUA CHINI YA UTAWALA WA ABUUBAKAR,OMAR. UTAWALA NA UONGOZI NI VITU VIWILI TOFAUTI
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 дня назад
Aliyoeleza JALALA KUHUSU syd ALI ...je ni KWELI!???
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 дня назад
Amezungumza SHIA tumeoneshwa JALALA,CHA AJABU ANAONGEA WAHABI BADO TUNAONEHSWA JALALA. HUYO ALI MUNAE MUELEWA NYIE MUELEZENI,PENGINE NI TOFAUTI. KWANI HATA MTUME MUNAVYOMUELEZA NYINYI NI TOFAUT KABISA NA MTUME ANAVYOELEZWA NA MASHIA
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 дня назад
MASHIA NA WASIOKUA MASHIA KUNA TOFAUT KUBWA YA UELEWA KUHUSU UONGOZI. NA KUMSALIA MTUME...mashia Lazima wakimsalia Mtume lazima waseme Waalihi. Lakini Bidaa kubwa ya USUNNI NI KUFUNGA DUA KWA KUSEMA WASWAHABIHI BADALA WAALIHI
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 дня назад
Ngoma Droo Kumbe nanyi Mumeweka nguzo ya saba ya IMANI, KUTETEA MASAHABA KWANI KUTUKANA MASAHABA HUMTOA MTU KWENYE IMANI...AMA DHAMBI YA KUTUKANA TU. AMA KUTUKANANA NI DHAMBI KUBWA KULIKO KUUA. ANGALIZO TU: Kura zenu Hazisaidii Chochote kwenye CHAGUZI ZETU. ALAA KUMBE MASHIA WALIKUWEPO TOKEA VITA VYA ALI NA MUAWIYA...KUMBE NI DHEHEBU LA ZAMANI KABLA uwahabi na Salafi
@MariamEdison
@MariamEdison 4 дня назад
ALLAHU AKBAR ALLAH AKUHIFADH AKULINDE UKWEL MUTUPU NA MUSEMA KWELI NI KIPENZI CHA ALLAH....❤❤❤
@manfredgungah4246
@manfredgungah4246 5 дней назад
Elimisha hyo budaa
@manfredgungah4246
@manfredgungah4246 5 дней назад
Hahaha tafaakari na utengue kauli zako
@mussaissa6796
@mussaissa6796 5 дней назад
MBONA MAWAHABI WANAONGELEA GIZANI HAWAONEKANI!! HIYO NI AIBU WANAOGOPA KUONEKANA KWA NINI!!
@NurudinJabrii
@NurudinJabrii 5 дней назад
Shekhe weka mamba yasimu tuchukue mama mm naishi namashiia🎉🎉
@omreuzex7109
@omreuzex7109 6 дней назад
Ndacha, Mungu akubariki sana. Tena sana
@mohamedkige2535
@mohamedkige2535 6 дней назад
inshaaaaalah
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 6 дней назад
Mashaa Allah
@AbuuMaymuna
@AbuuMaymuna 6 дней назад
Acheni ujinga nyie matapeli
@mafaatihuonlinetv5477
@mafaatihuonlinetv5477 6 дней назад
Hata baba yako alimtapeli mama yako ndio ukazaliwa kibwebgo
@AbuuMaymuna
@AbuuMaymuna 6 дней назад
@@mafaatihuonlinetv5477 Alla akusamehe na akuongoze na akuonyeshe usio yaona katika haqqi
@shalbaonlinetv
@shalbaonlinetv 5 дней назад
@@mafaatihuonlinetv5477 mmmh
@Malaikah.channel
@Malaikah.channel 7 дней назад
Duuuh UONGO HUOOOOO UNAPAA
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 8 дней назад
❤ ALLAH AKBAR ❤️ JAZAKALLAHU KHEIR MASHEIK
@sameeraidd2109
@sameeraidd2109 9 дней назад
Pelekeni ujinga huko shehe zima unaongea utadhani una elimu na hshia. Eti wanamuabudu husein. Acha kupotosha watu kwaajili ya chuki. Usisambaze uongo shehe mzima utakuja kujibu mbele ya mungu. Acheni chuki nyie mawahabi maana mnajiona kama nyie ndio mtaingia peponi kwa kuona wenzenu makafiri.
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 9 дней назад
Alafu kiongozi wa bakwata ndiyo marafiki wakubwa wa Mashia
@LouisBazbuz
@LouisBazbuz 9 дней назад
Ila miminaonaka kilamtu anae jiita mweslam aenezi ama ama anataka kua mfumu aumlozi kwasababu zaidi yaayo sioni yengine dili wapiuliona dini onanunua watu?
@EliaEmmanul
@EliaEmmanul 10 дней назад
Asante sana Mungu akutunze
@shepherd1x84
@shepherd1x84 11 дней назад
Waalimu hawa wanaapa kwa uongo..bure kabisa!!
@Esmilyfatuma
@Esmilyfatuma 11 дней назад
Niliskia dacha nikatoka uislam mbio Sana, bwana yesu asifiwe saaana
@baya1289
@baya1289 12 дней назад
😂😂😂 Laughing at Mazinge
@maryanomar119
@maryanomar119 12 дней назад
Asalam aleykum shekh shariff nakuomba ufike na garissa tunakuhitaji sana
@user-vf3ib2pk2t
@user-vf3ib2pk2t 12 дней назад
Allah akufanyie wepesi... Akujarie kila leny kheri.... Amar zako utazikut kwa Allah inshallah 🤲
@LterwaLeleur
@LterwaLeleur 13 дней назад
Batiza mtu pastor plz 🙏
@user-vf3ib2pk2t
@user-vf3ib2pk2t 13 дней назад
Jazakharau kher
@user-vf3ib2pk2t
@user-vf3ib2pk2t 13 дней назад
🙏🙏
@khamismwajambia9096
@khamismwajambia9096 13 дней назад
Mashallah
@dimidimialfan5772
@dimidimialfan5772 14 дней назад
Semoga sehat sllu panjang umur beliau amiin yra
@inarahumairah
@inarahumairah 14 дней назад
Matanya penuh cahaya masya Allah
@inarahumairah
@inarahumairah 14 дней назад
Masya Allah matanya bening