Тёмный
JR TV online
JR TV online
JR TV online
Подписаться
JR TV ONLINE.
a registered online television dealing with providing all kind of new around East Africa
JR TV online ni runinga ya kimtandao ambayo imejikita kaitika kutoa taarifa za ukweli kuhusu Habari, michezo na burudani na teknolojia ya matukio mbali mbali yanayojiri sehemu tofauti .

Wewe kama mfuatiliaji (subscriber) wetu karibu sana kwenye channel hii na endelea kutufuatilia taarifa zetu kwa kuzingatia sheria na maadiri ya nchi yetu.
JR TV online ina haki ya kufuta maono ya mtu anaekiuka sheria na miongozo ya nchi.

SUBSCRIBE CHANNEL HII ILI SIKU ZOTE UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU.

Contacts
Email: jefryderahmed2@gmail.com

#JRTVONLINE
#nyumbanikwanza



N.B. FOLLOW, LIKE & COMMENTS US

FACEBOOK
#JRTVTANZANIA

INSTAGRAM
#JRTVTANZANIA

WHATSAPP
#0762279456

RU-vid HAPA
# 👇👇👇
Комментарии
@AsmoreTune-k2r
@AsmoreTune-k2r День назад
Anaeongea ni Oscar big kama sjakosea 💪
@Abuu_muhammad
@Abuu_muhammad 4 дня назад
Hakuna polisi?
@costansiahongoa8017
@costansiahongoa8017 5 дней назад
Mungubawanuxuru
@FridaMwita-tr8qw
@FridaMwita-tr8qw 6 дней назад
Namimi kuna kijana mmoja anaitwa saidi hapa bunda aliibia ps 3 zangu 3 na tv zake akakimbia huko alipo akikamatwa achomwe moto, bado nina hasira nae
@StevenMaina-s5d
@StevenMaina-s5d 8 дней назад
Pelekeni hao wezi
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 9 дней назад
Tatu mzuka inamaan gani.!?
@JuliaMrosso-gx7ow
@JuliaMrosso-gx7ow 9 дней назад
Imeisha iyo
@sophisticatedboy5967
@sophisticatedboy5967 9 дней назад
mamamamaee kwel ukabinyau
@iancharles4052
@iancharles4052 9 дней назад
Htr
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 11 дней назад
😂😂😂😂
@JohnsonAmos-py3wf
@JohnsonAmos-py3wf 12 дней назад
nika mzma garii😂😂😂😂😂😂
@francisofisi9058
@francisofisi9058 13 дней назад
Wasameheni Jameni😢😢😢😢
@BakariMichael-q5p
@BakariMichael-q5p 14 дней назад
Mwizi yeyote achomwe wanaludsha wat nyumban San dawa nikchoma mana matendo mabaya yamekuwa mengi san
@BakariMichael-q5p
@BakariMichael-q5p 14 дней назад
Mwizi yeyote achomwe wanaludsha wat nyumban San dawa nikchoma mana matendo mabaya yamekuwa mengi san
@MariaKazimily
@MariaKazimily 14 дней назад
Mbn wanaopigwa namuona kama mchumba angu😂
@Riziki-m7u
@Riziki-m7u 15 дней назад
Jifunzeni kusamehe. Bwana nyinyi
@asiamwarabu440
@asiamwarabu440 15 дней назад
Ukute wezi ni wao wanaopiga sema hao wanapigwa walitaka kuwachomea nakuwataja wezi kibao kikawageukia me sitak kuamin Kila asemalo mtakatifu
@IddyKristopha-c7z
@IddyKristopha-c7z 12 дней назад
Kuua nilaana Sheria ipo
@STARLONGANG
@STARLONGANG 15 дней назад
Sio vizuri kutoa hukumu sisi sio mungu tujifinze kuwa Kuna kesho ndiomana zimewekwa sheria
@OmanOman-ji1iy
@OmanOman-ji1iy 15 дней назад
😢😢😢😢😢😢
@alibakari7176
@alibakari7176 16 дней назад
Tamaa ya tecno ya laki2 unapoteza uhai na pikipiki mpya ya milion 2 na nusu.. Wabaya sana hawa wapuuzi kukujeruhi kukuua kwao ni kawaida
@janethsanga-m8o
@janethsanga-m8o 16 дней назад
Safi sana
@RadiusKatera
@RadiusKatera 16 дней назад
😅😅😅😅
@Alexii-io9db
@Alexii-io9db 17 дней назад
Mtangazaji eti marikubwa
@finaselemani
@finaselemani 21 день назад
Maskini jamani hadi huruma😢😢😢akiwa si ndgu yko utaona kawaida tuu
@wycliffewamukota7548
@wycliffewamukota7548 14 дней назад
Utaona huruma sababu hujakumbana nao anga zao.
@KastuliSamae
@KastuliSamae 22 дня назад
Apo safi sana
@mohamediathumani-p7h
@mohamediathumani-p7h 23 дня назад
Sasa mbn hata kupigwa hawapigwi
@DeoMwanambuto-f3n
@DeoMwanambuto-f3n 24 дня назад
3mzuka ya crouds au
@miriamamiri641
@miriamamiri641 24 дня назад
Nyie wote apo ni waiz tu hakuna lolote apo
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 23 дня назад
Nasheria kam.naw.mwizi.hupasi kumuhukumu
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc 24 дня назад
Wakuchomwa moto ni wabakaji na walawiti watoto wadogo hao ndio wanaostahiki kuuliwaa kikatili ili iwe mfano Kwa wengine 😢ila chaajabu anaeharibu watoto hafanywi kitu na jamii inamtetea
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc 24 дня назад
Anachomwa moto mwizi na anaachwa huruu mfanya liwati Ambae ni mbaya zaidi kuliko huyo mwizi maana anaeharibu watoto anahitajika kuuliwa kabisaa maana anaharibu jamii
@FredLuo-v3e
@FredLuo-v3e 25 дней назад
Xaxa iyo pikipiki yenyewe usikute ni ya wizi ,busala ingetumika tu, ipelekwe polisi iyo pikipiki ili kama ni ya wizi atajulikana mwenyewe
@AsiaBakari-rb2ok
@AsiaBakari-rb2ok 16 дней назад
@@FredLuo-v3e umeona eeee Hilo nalo nenooo
@RechoRechomarivey
@RechoRechomarivey 29 дней назад
Wangepelekwa ata jela jaman msihukum hivyo jamani huyo ni mtoto wa mwenzio
@NaeemAlly-l2p
@NaeemAlly-l2p Месяц назад
Imagine kma so wao 😢
@AntonyRotich-g9u
@AntonyRotich-g9u Месяц назад
yani mpaka mbwa inafika baze 😂😂😂
@FarajaGalus
@FarajaGalus Месяц назад
Wauwawe tuuuuuuuu
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Месяц назад
Nawanaowatetea wote pigeni moto
@AmisamauridNgagada
@AmisamauridNgagada Месяц назад
Dulla na kikeke ndo wamekuja kumaliza mchezo Yani namba 9 na 10 uwanjani💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@RoseMeryPanya
@RoseMeryPanya Месяц назад
Endeleen kuwachoma kbs hao majambaz vibaka ukikutana nao huw hawana huruma kbs
@lowasafashion
@lowasafashion Месяц назад
Kuchoma mtu nilaana kuchoma mwizi nilaana kwani hakuna anaependa kuwa mwizi kuwa mwizi nikama ajali tusiwauwe tuwapeleke Polisi embujiulize je ingekuwa mwanao au ndugu yako au tuuuuu ungemchoma kweli kuibiwa kunauma Bali sisawa kuuwa mwizi kamahuyo msela anaongea anajidai anaona niujanja sana ila siopoa kuuwa mtu tena kwakumchoma embuleo chukua njitimoja yakibiriti iwashe nauishike mpaka iishieyote ukiwa umeishika ndoutajua umeshiriki kuuwa mtu tena kikatili jamani tuwe na utu alafu kingine nibora tuwakate mikono wakiiba tukiwa tunamafala kumi waliokatwa mkono sababu ya wizi ataawa wengine wanaotaka kujiingiza kwenye wizi wataogopa kuliko kuwauwa tuwakate mokono mmoja akiibatena katemwingine tuonekama ataibatena
@GangGang-lx6mf
@GangGang-lx6mf Месяц назад
Uko majambazi wote tuu
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula Месяц назад
Si Vizuri Kabisa Mlivyo Fanya ! Kuchukua Maamuzi mikononi mwenu ya Kupiga na kuchoma Moto , Vipo Vyombo Vya Sheria Mngefuata Utaratibu Wote wa Kisheria Kutoa taharifa police Kwamba Kuna Wezi tumewakamata Tuko Sehemu furani bila Shaka Mpolice Wangekuja tu .
@nelsonntenga3341
@nelsonntenga3341 Месяц назад
Hayajakukuta mjomba
@IsiraeliMolly
@IsiraeliMolly Месяц назад
😮😮😮😮😮😮😮😮
@BANDE-TV
@BANDE-TV Месяц назад
Muwe ata Nahuruma bc
@omarmwabege
@omarmwabege Месяц назад
Hii sio dawa.Dawa ni sheria ya Allah, ingefatwa kusinge kuwa na wizi Duniani!!
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Месяц назад
Mbon unaongea hukuma
@madetetv6576
@madetetv6576 29 дней назад
Ni kweli yupo sahihi ww unazani torati ​hapo kunaambacho kingeharibika? @@zachaamaster5378
@AsiaBakari-rb2ok
@AsiaBakari-rb2ok 16 дней назад
@@omarmwabege kabisaaa
@fabilianothedecor3393
@fabilianothedecor3393 День назад
Alah ndo nini
@StellaStanphord
@StellaStanphord Месяц назад
Ni laana mnajiwekea kbs😢
@MbarakaSefu-w6y
@MbarakaSefu-w6y Месяц назад
Simba walitisha sana
@herrymathayo1159
@herrymathayo1159 Месяц назад
Kweli hawana akili unachoma pikipiki ndio nn
@Athumanmreta
@Athumanmreta Месяц назад
Hao wote wezi wakubwa
@Daffamtata
@Daffamtata Месяц назад
Shida ukiwapeleka mbele yanakuwa kama yale ya binti wa yombo bora kumalizana nao hivi iwe funzo kwa anaetaka kujarbu
@zulfashaban-yu3te
@zulfashaban-yu3te Месяц назад
Laah itawatafuna vizazi vya wote waliowachoma hao
@salummussa1139
@salummussa1139 21 день назад
Hatari kw kweli