Muhimbili National Hospital - Mloganzila (MNH - Mloganzila) located in Dar es salaam has a social responsibility to improve the health of future generations.
Guided by fundamental ethical principles of access and equity and in compliance with related laws and regulations of hospitals in Tanzania. Muhimbili National Hospital - Mloganzila ( MNH - Mloganzila) aims to provide effective, efficient, and high-quality tertiary specialist and highly specialized medical services for referred patients from all over Tanzania, as well as providing a conducive environment for training and research.
The Hospital provides clinics for physiotherapy, cardiology, emergency medicines, diabetes, dermatology, dental, gynecology, obstetrics, and paediatric
Doctor naomba kujua tatizo la extensive adhision after second c section je ni salama Kwa mtu mwenyewe hio shida kubeba tena ujauzito na kujifungua mtoto akiwa salama pia
Dr mama yangu anatatizo la ganzi na miguu kuwaka moto kwa muda mrefu sasa naomba unisaidie yaani inafika muda anaweka miguu ndani ya maji ili kupooza miguu maana inawaka moto sana. sana. naomba msaada wako dr.
Maswali ya kuzungukazunguka sana na tunapata takwimu na historia vya kutosha. Vema. Ila nilitamani na ingekuwa mwafaka zaidi kama daktari angetoa historia, takwimu nk kwa kifupi halafu angeenda moja kwa moja kuelezea dawa, vyakula vya kutumia na mzoezi gani au kwa njia ipi. Ama haya hakutaka kuyafafanua vizuri ili twende kwa wingi kwenye kliniki yake! Kwa wengine Mloganzila mtihani kufika, mbali na nauli tu mtihani hata kabla ya kugusa gharama za matibabu!
Mie nikikaa muda kwa kukalia miguu nikija kuinuka kwanza nahisi damu nyingi inashuka chini na pumzi inaenda kwa kasi ...lakini pia nikiwa nimekalia miguu ndani ya dakika 20 hivi mguu mmoja unakua umeshika ganzi ..nini shida wajuzi
Doctor Mimi ni muathirika wa ganzi,ganzi imesambaa mwili mzima,na inamaumivu makali sana,nayo nimeipata baada ya kuchoma chanjo Fulani mwaka 2022 , nausikia mwili kama unaganda miguuni na baadhi ya maeneo ya mwili wangu mpk sasa, napataje msaada ili niue hiyo sumu ya chanjo iliyopo mwilini mwangu?