Тёмный
Sanuka Media
Sanuka Media
Sanuka Media
Подписаться
WAUZAJI NA WACHORAJI WA RAMANI LKN PIA TUNAJENGA NYUMBA KUANZIA MSINGI MPAKA FINISHI
Комментарии
@SamuMushi-gk7jy
@SamuMushi-gk7jy 7 часов назад
Nakubalii🎉🎉
@daudikisoma2284
@daudikisoma2284 8 часов назад
Good
@aishajuma5079
@aishajuma5079 9 часов назад
YANI ASIEKUELEWA ACHA TU NIKO NA CHANGAMOTO HADI KICHWA KINAUMA😢😢😢 JAMANI KAKA KUKUTAFUTA NAKUPATA WAPI
@user-ds1py5nw6y
@user-ds1py5nw6y 12 часов назад
❤❤❤❤❤
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 12 часов назад
Tuanfikie namba
@burhanililumo2215
@burhanililumo2215 13 часов назад
Ramani yake ikoje
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 14 часов назад
❤❤❤
@shabaniathumani2284
@shabaniathumani2284 15 часов назад
na kufatilia saana ila sina pesa tu
@dihm907
@dihm907 15 часов назад
😅
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 14 часов назад
Polepoe ndo mwendo kaka, inshaa الله 1 day yes. Wenge tunamfatilia ila tunajipanga taratibu.
@nyanginyamhoza1106
@nyanginyamhoza1106 16 часов назад
Masterbed & room, sitting,Kitchen na public toilet
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 День назад
Ramani nzuri, Shingapi Ramani
@joyceharris2093
@joyceharris2093 День назад
Nimeipenda hiyo ramani ntakutafuta
@user-dl1gy9pe1g
@user-dl1gy9pe1g День назад
❤❤❤
@siashayo8676
@siashayo8676 День назад
Moshi pia unafanya kazi?
@siashayo8676
@siashayo8676 День назад
Hiyo milango frem ni ya mbao au bati?
@deustibalema9426
@deustibalema9426 День назад
Mbona sio wa kisasa, ni kawaida tu
@VeronicaMbaya
@VeronicaMbaya День назад
Nimeipenda hiyo gharama sh ngapi mpk kuisha
@user-vx8wi4xh4n
@user-vx8wi4xh4n 2 дня назад
Ni ya samani ya pesa ngapi?
@zainab8251
@zainab8251 2 дня назад
Masha Allah
@AbubakariShomari-zp7ef
@AbubakariShomari-zp7ef 2 дня назад
Inavutia saana sie tuliokuwa hatujaanza wallah tunatoshwa saana katika kujenga
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 2 дня назад
Kamera man wako kazingua hajui kitu kabisa
@aishajuma5079
@aishajuma5079 2 дня назад
Uko vizuri sana nigekuona mwanzo ila duu acha tuu😢aya maisha
@NuruBomba
@NuruBomba 2 дня назад
Nipe bei ya hilo shimo ili nijipange kifedha nikutafute
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 дня назад
Ratifa laimu njoò
@imanmohamed2215
@imanmohamed2215 2 дня назад
MashaAllah TabarakkahAllah
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 2 дня назад
ALLAH NAKUOMBA MLIPE DUNIAN KABLA YA AKHERA PESA YA OMAN NGUMU HIYO DHULMA ALIOFANYA IMTOKEE PABAYA,ROHO YANIUMA
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 дня назад
Yn wnafanyaga tu wla hawjali. Asara ya mtu kbs wao. Wnajali. Kupiga pesa tu
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 3 дня назад
Dada yamenikuta mweko niliboa nyumba nzima,nilikuwa sijapaua nimejenga nyumba nyungine,nakushauli bomoa nyumba,nyumba Anza upya,hiyo nyumba nishoti tofali sitoe lipa watu wakutilee hiyo nyumba sio imala
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 3 дня назад
Mungu akuweke mumewangu kwa uwaminifu wako kwakunijengea nyumba ikamaliza kila kitu asante mumewangu nipo oman
@DohaQatar-z1n
@DohaQatar-z1n 3 дня назад
Waeza safiri kuja Kenya
@user-zw6xv1vt1p
@user-zw6xv1vt1p 3 дня назад
Mabwe pande sehemu frani ilojengeka yani ❤
@NicholasMgay
@NicholasMgay 3 дня назад
Nakukubali sana broo unatupa darasa kubwa sana
@salmauae2261
@salmauae2261 3 дня назад
Bola huyo kajitaidi mimi ndio nalia nyumba Iko chini hakuna msingi😢😢😢
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 3 дня назад
Nilijengewa hivyo nyumba imepazuka Kila mahara
@Neighborsjiran
@Neighborsjiran 3 дня назад
Shukran Bro Allah Bless You Inshallah ntakutafuta
@Official83640
@Official83640 3 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Yaani sio km nacheka nimefurahi hapana wananikumbusha na mie kwangu kulivyoripuliwa Astaghafilullah Mungu awaangamize mafundi km hao wote
@Sanuka539
@Sanuka539 3 дня назад
😢😢😢
@Official83640
@Official83640 3 дня назад
@@Sanuka539 Ningeipata hii video nikaisambaza kwenye group 🤣
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 2 дня назад
@@Official83640polee😂😂😂 mwaya ..hyo video unaweza kudanlod km unatumia android phone..tafuta faili linaitwa tubemate kwenye Google
@WilhelmPetro
@WilhelmPetro 3 дня назад
Karibu wejeh company Ltd kwa ujenzi wa nyumba bora. Na vifaa vya ujenzi tupo Mbezi msakuzi
@Sanuka539
@Sanuka539 3 дня назад
Duu unatangaza BIASHARA yako KWENYE chanel yangu 😢😢😢😂😂😂 umetisha mzee 😅
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q 3 дня назад
​@@Sanuka539jamaa ganda la ndizi😂😂😂😂😂😂
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p 2 дня назад
Anajua ina watazamaji wakutosha. Hatari sana ila akulipe Mr House!
@MonaMbalike
@MonaMbalike 3 дня назад
Dhambi jaman wallah
@Sanuka539
@Sanuka539 3 дня назад
Kabisa😢
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 дня назад
ZAHIRI HUYO . Ndie anawajengea na kuacha maandaki
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 3 дня назад
Mm ndugu yangu Yaani
@Sanuka539
@Sanuka539 3 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jamilabakari1283
@jamilabakari1283 3 дня назад
unauhakika zahir ndo kajenga hiyo nyumba au ndo unakomenti ilimead ..kakazahir hana kazi mbovu namna hiyo
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 дня назад
ZAHILI HUYO ANAWAACHIA MAANDAKI SIJUI ANA ROHO.MBAYA
@Official83640
@Official83640 3 дня назад
Usinambie kwahy Zahir ndy kawajengea watu km hivi au 😮
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 дня назад
Hili jumba atafia Oman bila kuisha
@MonaMbalike
@MonaMbalike 3 дня назад
Umeona eeh
@Sanuka539
@Sanuka539 3 дня назад
😢
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 дня назад
Yani we acha tu
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 2 дня назад
Nyieee😢😢
@Amba2024-ti2dc
@Amba2024-ti2dc 3 дня назад
Mungu akutangulie akufanyie wepes kaka 🎉🎉🎉🎉
@mohammedymohammedy5161
@mohammedymohammedy5161 3 дня назад
Husda hizo...lakini dhulma haidumu
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 3 дня назад
😢😢😢😢😢
@zainajirani5296
@zainajirani5296 3 дня назад
Ni Roho mbaya hiyo... Mafundi wa hivyo Mwenyezi MUNGU awalaani kabisa... Na wala hawaendelei kwa sababu ya dhurma zao
@Sanuka539
@Sanuka539 3 дня назад
😂
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 3 дня назад
Dah jmn 😢😢
@user-zt3nj5yj2j
@user-zt3nj5yj2j 3 дня назад
Bro mungu akupe afya njema na maalifa zaidi uzidi kutudanua nakutysaidia
@Sanuka539
@Sanuka539 3 дня назад
Amin❤❤❤
@brandtz685
@brandtz685 3 дня назад
👏🏻
@neemamtangi4818
@neemamtangi4818 3 дня назад
Fundi vp tanga unafika
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p 3 дня назад
Mwana eh! Nje na ndani elezee zaidi aisee
@user-wm6vc2hp5b
@user-wm6vc2hp5b 3 дня назад
Naomba Namba yako
@daudikisoma2284
@daudikisoma2284 4 дня назад
Nice