Amen,,,,, hakika imani imeongezeka ndani yangu kwa maumbili haya ya machel na upendo.Mungu baba akubariki mnooo Mchungaji. Sifa na heshima tumpe muumba wetu aliyekukuchagua utuongoze kondoo wake.
Nilikuwa naangalia haya mahubiri gafla simu ikapigwa na ndugu zangu ambao sio wema sana kule kijijini kwetu kumbe moja wao anaumwa nikamwambia utapona yani nina kama mwaka moja sijawai ongea nae lakin leo amepiga simu uku nasikiliza mahubiri haya
Kwakweli Nimefurahi sana Leo hii kushiriki katika kipindi hiki Ahsanteni sana waandaji na muwasilishaji wa maada hii muziki una matokeo makubwa sana katika maisha yetu.