Тёмный
Chanzo Tv Online
Chanzo Tv Online
Chanzo Tv Online
Подписаться
Комментарии
@jumaabdalah6104
@jumaabdalah6104 День назад
Chadema wanajiteka wenyewe ili wazungumzwe chama kimekuwa cha hovyo
@RajabuLanda
@RajabuLanda День назад
Naye anayekuuriza maswari Kama hayo atakuwa. Niyye tuu kuto kuerewa kwani hajaona chadema inavyopitia wakati mugumu juu ya watu wanainchi tu kwakuwa tu ukiwa wachadema
@corporatethugsent7380
@corporatethugsent7380 День назад
Pambalu dah tunashukuru watanzania mlizaliwa mkaumbwa✊ dah nimelelewa ktk familia ya walimu siku ukija bukoba ntafrah sana.injinia pita safi kwa maswali japo mengi ni pumbuiko pumbuli pumbukenza but pambalu asee inauma sana kwa uliyo yatoa na mliyoyatoa kwa ajili yetu watanzania.kiukwel imeishi umeona maswali ya hooooovyoooo sana dah mwalimu asante.kila mtanzania anataman mtufanyie jamani dah pole pambalu.mnalaumiwa kama vile ccm wanashiriki vyoooteee.
@evelina9621
@evelina9621 2 дня назад
Asante.kijana.boni.majibu.wengine.niwivu.hicho.nihujuma
@evelina9621
@evelina9621 2 дня назад
Boni.ww.nimekupenda.jina.safi.hekima.busara.mukomboe.nchi
@evelina9621
@evelina9621 2 дня назад
Raisi.wetu.unavijana.wazuri.tanzania.watumie.watakusaidia.usitegemee.wanaokushauri.wanakuposha.sikiliza.watu.wengine.
@RememberMdiya
@RememberMdiya 13 дней назад
Nimekuelewa
@LUGANOMWANYINGI
@LUGANOMWANYINGI 13 дней назад
Kaka Boniface Mungu akulinde,unafanyakazi ya kiMungu sana,kazi ya kubinadamu sana,inatia uchungu sana.Inaumiza sana,binadamu kufanya mambo ya kinyama sana kana kwamba si binadami na wao hawatakufa wanadhani hivyo. Ipo siku kwa namna moja au nyingine mikono yao iliyojaa damu ya watu Italian katika mikono yao. Ni liana itakayotembea katika vizazi vyao cha tatu na nne. Hakuna marefu yasiyo na ncha.watakuja kujuta. Mungu akubariki kaka na akure Nguvu.pambana Mungu atakulipa
@ChrispiniBuruchard
@ChrispiniBuruchard 16 дней назад
Huko sahii brother
@evelina9621
@evelina9621 16 дней назад
Mpendane..mzungumzee Kusemehena.
@BaloleBalole-x7e
@BaloleBalole-x7e 17 дней назад
Ujinga
@RichardLibuma
@RichardLibuma 18 дней назад
Haya ya polusi kureka na kuuwa watu Tanzania lipo, binafsfi namshukuru aliyekuwa shemeji yangu ambaye alikuwa ni ofisa wa polisi kituo cha oysterbay kwa Sasa ni marehemu Jina lake ni innocent ndelema, mtoto wa kaka yake aliyekuwa mtangazaji wa RTD malima ndelema, baada ya kutekwa mchana kweupe na kupigwa sana mchana kutwa na kuahidiwa kupelekwa tegeta usiku na kuuliwa yeye alitumia wadhifa wake nikanusurika kuuwawa 1997.
@CarlosPyuza
@CarlosPyuza 19 дней назад
Hakika kweli wewe ni shujaa
@RajabMkali
@RajabMkali 19 дней назад
Kaka jitaidi kuwa equiped
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 19 дней назад
Mwanangu Boniface mimi nakuombea mungu awe nawe siku zote
@selemsigala4771
@selemsigala4771 20 дней назад
Mimi ni Ccm damu ila kwa tafiti iyo sina mashakanae atamimi uyo mafwele Mama muondoe kwa kulinda hadhi ya uongozi wako.
@ukweli255
@ukweli255 20 дней назад
Amuondoe kwanza Waziri wake wa Mambo ya Ndani...kisha awabadili wakuu wote wa Police na halafu wote wanaoshutumiwa waitwe kuhojiwa na kuchunguzwa mienendo yao yote
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 20 дней назад
Huyo mafwere akamatwe na anyongwe maana yake atakuwa ameshaua wengi
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 20 дней назад
Histolia itawaumbua wote wananchi tunawakataa na mungu asimame na wenye haki
@evelina9621
@evelina9621 20 дней назад
Twendeni.mbiu.kusimamia.uchaguzi.selikali.mitaa.. Polisi.waacheni.njia.tumepata.kura.tu.
@evelina9621
@evelina9621 20 дней назад
Tufumilie.tupate😮
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 20 дней назад
Mungu tusaidie wewe uko juu ya kila mwenye kibuli kumshusha hata angepanda juu kama tai
@SaidislamBates-cy1up
@SaidislamBates-cy1up 21 день назад
Mijitu imetawaliwa na Simba na Yanga ndiyo yanacho jua
@AmraniRamadhani
@AmraniRamadhani 21 день назад
Exactly
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 21 день назад
👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼 confidence
@victorsanga2229
@victorsanga2229 21 день назад
Sasa watanzania mmeanza kuelewa jeshi la polisi na usalama wa taifa wanafanya kazi kwa maslahi ya vikundi vya watu binafsi.
@willysiame2117
@willysiame2117 21 день назад
Big up brother bony mungu akubarik sana
@kingmichael1234
@kingmichael1234 21 день назад
Huyu Mafwele anamchafua Raisi Samia, kama ingekuwa America au United Kingdom au nchi nyingine zote zilizoendelea duniani leo angekuwa mahakamani kujibu tuhuma hizi lakini kwa Tanzania..mmh sijui 🤷🏽😢
@kingmichael1234
@kingmichael1234 21 день назад
What hides in the dark soon will come to the light.. hivi vitendo vya kiharamia mungu atawadhalilisha tu. In God We Trust 🙏🏽💯
@kingmichael1234
@kingmichael1234 21 день назад
Umoja wa mataifa wa haki za binaadamu unakuja. Wakubwa wa nchi wajipange. Hizi tuhuma za utekaji ni kubwa sana kuliko wanavyofikiria wao
@kingmichael1234
@kingmichael1234 21 день назад
Boni mungu akulinde sana. Serikali hii imeshindwa kuongoza nchi kikatiba, kisheria na kiutendaji, sasa inatumia mabavu na kuuwa. Wasipobadilika sisi waajili wao tutawabadilisha😢😢😢
@pastorybahinyuye4876
@pastorybahinyuye4876 21 день назад
Hongera kamanda umetisha Kwa ufuatiriaji wa matukio ya utekaji umenipa ufahamu.
@rithaurassa
@rithaurassa 21 день назад
Mungu awatetee Mungu ndiye atasimama na maandamano hayo.
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 21 день назад
Allah akurinde na waumbuke wao watekaji
@AnatoriaRwabatwa
@AnatoriaRwabatwa 22 дня назад
Nenda kwenda point sio maelezo
@ludovickmutalemwa4915
@ludovickmutalemwa4915 22 дня назад
Ww kaka boniphance unastaili zawadi Kaz Yako njema umenipa darasan mambo mengi na Sio mm tu n watanzania wengi husiogope na husiache kutetea ndg zetu hasa wanaopotea watanzania zaidi ya million hamsin tunakusikiliza na kuyachunguza maneno Yako
@mwinyihamisi3369
@mwinyihamisi3369 22 дня назад
Inasikitisha sana,viongozi wametufikisha hapo?IPO siku MUNGU atanyoosha mkono wake.
@mauamkamba4906
@mauamkamba4906 22 дня назад
Umemkata maini kabisa huyo fala mwita
@hajihassan5433
@hajihassan5433 25 дней назад
Naomba mnaocoment jaribuni ku balance story ili tusikilize hoja logic na sio kiushabiki.
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 25 дней назад
Hao mapolisi darasa la saba wanajua nini mambo ya longtude na latitude😂😂
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 21 день назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@eunho9529
@eunho9529 25 дней назад
Mimi binafsi naamini wasomi ndo wajinga kwani wameamisha au wamegeuza elimu kuwa njaa hivyo hawawezi kuwashawishi wasiyo na elimu kujua na kutambua kipi wamedhulumiwa au kipi ni haki na kipi si haki bali maslai yao binafsi kwa wakati wao bila hata kujali vizazi vya watoto wao kwa siku za usoni.
@Hellen-i2y
@Hellen-i2y 22 дня назад
Hapana sio wajinga ila wanakosea kuwaacha vilaza ndio wafanye siasa na maamuzi ya hatma ya maisha yao matokeo yake wajinga wanaongoza werevu.
@ChristianKiponda-d7e
@ChristianKiponda-d7e 25 дней назад
Dunia yote Ikiwa Mwanasiasa, Jiandae Kwa Mambo Matatu yafuatayo, 1, Lazima Uwe Mwongo, Mnafiki, Fitinishi, na Muda. 2, Uzima na Kifo ni Fungu lako, Kwenda Jela,Nk. 3, Uwe Mtu wa Kusema Uwongo, na Upotoshaji.
@JamesLyatuu-y5s
@JamesLyatuu-y5s 25 дней назад
Bony Mungu akulinde. Hizi facts ulizotoa ni dhahiri kabisa wahusika ni haohao majizi yanalipwa mishahara kwa pesa za mlipa kodi, na bado yanakuwa mauaji
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 25 дней назад
Mungu akulinde kamanda wetu akulinde najanga lilipo hapa nchini ubarikiwe sana
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 25 дней назад
huku siye tuna mpk private investigators. Tunaumia tukiona Tz imefika hapa ilipo
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 25 дней назад
Boni barikiwa sana, umejibu vizuri. Huyo mwita katumwa kumchafua Boni
@frankSamwel-rg3lz
@frankSamwel-rg3lz 25 дней назад
May the almighty God protect you and gives you strength
@katibampya8442
@katibampya8442 25 дней назад
Huyu Faustine Mafere ni nani, tupate picha yake kama wanaohusika hawataki kumchukulia hatua, basi sisi tutamchukulia hatua, picha zake zipostiwe kwa wingi mitandaoni
@philipongenzatv
@philipongenzatv 19 дней назад
Osterbay utampata ama central kule zdco
@brasiomsugu1957
@brasiomsugu1957 25 дней назад
Huyu ndiye anafaa kuwa katibu mkuu wa chama. Nani anaunga mkono hili pendekezo?
@davidkitindi4096
@davidkitindi4096 25 дней назад
Kaka Boni mm binafsi nakuombea mungu akupe roho ya ujasir na damu yake izidi kukulinda katk maisha yako
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 25 дней назад
Mungu kwanini Amani inatoweka Tanzania kisa Siasa tu watu watolewe roho zao
@leokamil6284
@leokamil6284 25 дней назад
Mioyo imejaa tamaa na ubinafsi. Nawaza kama Viongozi wa nchi hii watangulizi je wangekuwa na tamaa kiasi cha hivi sote tusingekuwa hai.Inasikitisha sana na kuogofya unapoona kiongozi fulani anadiriki kusema kauli tata za kumfundisha jamii Nyooka nao,nilichinja n.k na watu wanapiga makofi kuona ni sawa tujiulize nani ataishi milele?
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 25 дней назад
Hata kama hatoishi milele lqkini uhai wa mtu kwa siku moja tu unathamani yake.
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 25 дней назад
Jamani hao watekeji kweli Serikali inahusika au dhana tu? Na kama kweli wanasababu huwa wanafanya nini hasa?
@Hellen-i2y
@Hellen-i2y 22 дня назад
Vile watananzania wote hatukemei maovu yanayotokea tunawaachia vyama vya upinzani shida ilko hapo.