*بسم الله الرحمن الرحيم* www.youtube.com/@KHALIFAMPYA-TV?sub_confirmation=1 *_SUBSCRIBE_* CHANNEL YETU ILI KUPATA VIPINDI VYETU VYA KUMTUKUZA *_ALLAH_* *اللهم صلى على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم*
USISAHAU KUSUBSCRIBE, KULIKE NA KUSHARE CHANNEL YETU, DON'T FORGET TO SUBSCRIBE, LIKE AND COMMENT OUR CHANNEL, IPENDE DINI DAIMA.
Contact me Email: mr.shilan@gmail.com
SUPPORT ME CRDB Account no: 0152724694900 Name:Abdulshafii Yunusu Muhammed Paypal: mr.shilan@gmail.com
Huyu jamaa alikuaga anakurupuka tu nshamburuza sanaaaa...allaah amlipe anayostahili kuna makosa amekosea sana watu wa sunna na sijui kama alitubia mpaka alipokufa
Ulimu ya sheria na elimu ya twarika zikikutanishw pamoj ni sabb moj.wap ya kufikia ucha Mungu na mawalii wote ni wachaji Mungu.Hupew elimu ya dhahir na ya siri.
ila suala la kuwauwa masheikh mawahabi wanahusikaje wakati historia inajulikana hawa masheikh waliipinga serikali juu ya kuleta utalii somalia ?si suala la kwenda makka na kurudi ukauwa masufi .tuweni wakweli jamani
ALIYEAMBIWA HAYA MANENO ALIELEWA NA KUTUBIA NA KIKUBALI KUWA ALIKOSEA, SASA NYIE MNABWEKA NINI HAPA!!? HUYO NDUGU YETU KAFAFANUA KWA DALILI NA KAWEKA KITABU NA UKURASA,SASA IKIWA MNA UBAVU MTAFUTENI MUMCHALENJI, NYIE WENGINE HATA KUTAWADHA TU HAMJUI SEMBUSE KUSALI.LAKINI KWA KUTAFUTA KUONEKANA MASHEIKH MNABOBOKWA TU HAPA
Mawalii wapi hawa wana onekana wanafiq kabisa hata nyuso zao hazina ndevu... Washirikina wakubwa nyie... Nadhani katika utwarika ukiwa mchawi na ukiwa na miujiza kwa njia za kishirikina basi uta abudiwa... Bora ya mayahudi na manaswara ni makafiri wa dhahir kuliko nyie wanafik mliovaa vazi la kiislamu kisha washirikina wakubwa
Àsalam alaykum warahmatullah shukran sana kwa kutupa elimu hiii ya history ya khalifa mussa ,ila nna ombi mpelekeeni ombi hili khalifa mussa kuwa tunaomba historia ya mlezi wetu wa sasa sayyid Othman (R.A) Ahsante
Assalam aaleykum sh mussa jee tunaweza kupata historia yako na kusoma kwako maana upo tafauti na masheikh wengi ama karibuni wote lkn wewe unacho kisema hua ni kweli kwa wenye kuelewa naomba tupe walau kwa ufupi historia yako