Cheni tv online is an entertainment and awareness raising channel, a platform with programming appropriate for all age groups. It features videos showcasing the most respected and entertained wedding ceremonies along with Tanzanian highly trusted, Master of ceremonies in action and employment plus entrepreneurship life skills programmes helping young people accomplish personal life goals and contribute into countries development through finding in themselves what they can do and how they can do it decently and successfully.
Mwenyewe kaulamba kumbe mwizi waliwai kunitapeli Hawa pesa za mgonjwa tena alikuwa wodini nyie polisi hebu niambieni mnae wapi huyo nije angalau nipoze nafasi yangu shenzi sana hawa mbwa
Wanasaidia Sana Awa Wezi Wa Mtandao Kuwatoa Watu Ujinga Mana Simu Tanzania Ni Vitu Vigeni Kwaivo Wakiiba Alieibiwa Anakua Mjanja Kuanzia Apo Cha Muhimu Wakati Mnawabana Watoe Maelezo Na Ayo Maelezo Sasa Ya Waziwazi Wengi Wataibiwa Kwa Mitandao Wahuni Wako Kila Nchi Mimi Nawachukia Wezi Wa Kukaba Na Kuvunja Nyumba Za Watu Lakini Hao Wa Mtandao Kwanza Wanakua Sehemu Ya Watu Kuwa Wajanja Bila.Ivo Watu Wa Naigeria Wakija Tz Wanaenda Kwao Wakiwa Matajili Cha Kufanya Wabanwe Wattoe Maelezo Watu Wajifunze Na Kujua Kama Simu Ni Nyingi Lakini Matumizi Ya Mtandao Bado Ushamba Upo