hii ngoma inanikumbusha marehemu mdogo wangu alikuwa akiipenda sana mpaka msibani hii ngoma ikapigwa. 01-07-2024 😢😢miss you my brother 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
I LOVE YOU MOM THOUGH NAKUSUMBUA SANA ILA NAKUPENDA MAMANGU SIPENDI KUKUONA MNYONGEE NDIO NAKUSUMBUA UCHANGAMYIKE NAKUPENDA SNAA MAMAMGU#FATMAHUSSEIN❤❤❤
Daah nikisikia hii nyimbo maumivu yananijia nakumbuka mbali Sana nilikua naipenda of course siku zote vikundi havidumu Hawa ndio wameni fanya mimi niende mziki mpaka saivi namba walinivutia Sana kama na wew una analia hii mwaka huu usiache ku like pleas