Hii movie nikama haijaisha mmeikatisha.coz watu wanaenda kumtafuta pacha wa tanu.sasa inaishaje hapo.acheni ubahili.mlitakiwa filam iishe kama wenzetu wa mbele.sasa nyie eti mlithi wa mkoba yupo mjini mnaenda kumtafuta .halafu wakati watu wanaenda kumtafuta filam inaisha.kiukweli niliipenda sana na nilikua nifuatilia.lakin huku mwisho kwenye kumalizia mmeboa.mmekisea.