The Village Humour - Where Local News Meets Melodic Vibes, Bringing Rural Realms to Life! We Inform, Excite, and Educate with a Unique Blend of Stories and Sounds, Tailored Just for You!.
Tuko na wasani wazuri kwa kila kitu,akiimba unakua emotional mpaka unadondokwa chozi la furaha.lakini shida wanakufa maskini.sijawaielewa kwa ni kwa nini society iko ivo.mtu yeyote anapenda mziki tuskume maslai ya wasani wetu.