Jamani mimi pia wiki hii iyohali nilikuwa nayo moyo ukipiga mpaka tafrani nimepima jna nikambiwa nina vidonda na h paylor Allah tusaidie jmni kapimeni gesi mtu aweza kuona amerogwa kumbe gesi imepanda
Wapigaji makofi ni wanafiki, kama kiongozi wa unakaa kimya ilihali kuna matatizo au unasemwa vibaya ni kansa kwa nchi husika. Ni vizuri pia kiongozi kujitafakari kwanza na kuachana na mipasho. Kusema 1 ukimaanisha 2 ni upunguani.
mama fanya kazi uxisikilize maneno yavingoz wenzako angalia tanzania inataka kwenda wap wananchi wanahitaji nin bas wanasiasa wenzio wanataman nafax yako
Unachojua nimithari za vibalazani km wanawake wa uswahirini wakishashiba ugar utawakuta wamenyoosha miguu hawana wanachokiwa zaid ya kausha dam kweli tumekosea mungu tusameh