Muheshimiwa kiswahili kimesambaa lakini kimekosa maadili kama lugha yenye mila utamaduni za mswahili mswahili Kawa Yatima ndani ya tanzania kapoteza mila na tamaduni pamoja na utalii wa lugha ,sababu kukuwa kwa lugha ,Tanzania ina kabila 128 zote hizi zimebeba mila tamaduni za kabila husika,mswahili hana lugha wala mila isipokuwa kiswahili leo vitabu vyote vyenye kufundisha maadlli tumevitowa kwa mfano ,daudi kama wewe isipokuwa yeye anaheshimu wazee wake pamoja na jamii inayomzunhuka,kuheshimu jamii,,mzee ali na bakora zake saba,maana ya umoja abuli cheka,ujinga ni nini,abunuwasi ,akili nyingi huondowa maarifa,mashavu mchafu nini uchafu, navile tukumbuki mila za mswahili anayezifahamu ni mswahili tu leo tunalia maadili ya mepotea tutizame tulipoharibu turekebishe ,methali zote zinazoijenga jaamii wataalamu ŵetu wanatuambia maneno ya kale tunaenda wapi na wakati kiswahili ndicho kilichotuunganisha tanzania,tumetoka kwenye lugha ni mfumo maalumu wa sauti kanisa nasibu zenye kukubalika katika jamii ya watu,hii definition lilikaa kanisa na msikiti ikapatikana .maana ya lugh ,leo tupo kwenye lugha ni mawasiliano baina ya mtu na mtu tunaipeleka wapi jamii mama tunakupenda na mama ndie mwenye uchungu na mwana kinacho uma ndani ya kamusi unakutana na maneno ya ajabu sana ,wasomi wetu hawana lengo zuri na kiswahili tuna ambiwa zanzibar ndio ina kiswahili safi lakini hakipo kwenye maandishi baada ya miaka Mitano kamlit kitapotea nayote ni tanzania tabia za mswahili zimepotea