Тёмный
TOP ZEROW TV
TOP ZEROW TV
TOP ZEROW TV
Подписаться
HABARI ZOTE ZA KIMICHEZO, BURUDANI UDAKU DINI HAPA NDO NYUMBANI KWAKE , .
USIPITE BILA KUSUBSCRIBE , COMMENT,KULIKE
Комментарии
@bobjoy9279
@bobjoy9279 3 часа назад
Manara ndio huyo albino
@ElizaMshana-r9v
@ElizaMshana-r9v 10 часов назад
J pili sio mbali tunawasubiri
@vaxminja9053
@vaxminja9053 10 часов назад
Huyo kisugu anasemaga hivyo ni mwongo sana
@Nzisabil
@Nzisabil 10 часов назад
Je manura niniarifanya iri,apirwe naporisi
@joshuamtagwa347
@joshuamtagwa347 23 часа назад
Kisugu usiwe unajitafuna tafuna wakati unaongea nasi kadamnasi, unaihafifisha interview yako!!
@HemedyChonja
@HemedyChonja День назад
ili swala solaku leta simba nau yanga hini kushusha soka la africa ilijambo nilakukomesha tukileta simba nau yanga tutabak ivi ivi chamuhim sheria zifatwe nahaki itendek
@ZabibuMwenda
@ZabibuMwenda День назад
Utopolo wanaumia
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 День назад
Mbona Yanga walifanyiwa fuko lakini hakuna chocolate kilichofanyika?
@SalimuHemedi-m9s
@SalimuHemedi-m9s День назад
Sawuahakika jamaniwana simba kipawe2kapigwa
@RamaKigumi
@RamaKigumi День назад
Eeeeeeeee wamekaa vitu
@juliaschacha383
@juliaschacha383 День назад
Acheni Wana Uto a.k.a 🐸🐸🐸🐸wasije wakazimia Mnyama akipewa hizo point.
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 День назад
Akatafute kazi afanye kesho yuko yanga kesho kutwa yuko simba manara shida yako ni nini hela
@michaelmhina3613
@michaelmhina3613 День назад
Acheni ukanjanja
@CharlesKelemensi
@CharlesKelemensi День назад
Tangu lini mtoano kuna pointi mngesema magol
@CharlesKelemensi
@CharlesKelemensi День назад
Tangu lini mtoano kuna pointi mngesema magol
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 День назад
Acheni habari za upumbuvu kwenye hatua hii hakuna point ni hatua ya mtoano simba sio wa kwanza kufanyiwa fujo katka nchi hizi za kiarabu caf hawajahi fanya action yoyote
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl День назад
Nyie. Top. Zeroo. Kwani. Hao. Simba. Ndo. Wa. Kwanza. Kufanyiwa. Fujo? Timu. Nyingine. Hazifanyiwa. Hayo? Acheni. Ujinga. YANGA. Walifanyiwa. Nini. Hakuna. Kitu. Hapo
@MahonaLuhende
@MahonaLuhende День назад
Wezi wa mb tu.
@MachanguMasirori
@MachanguMasirori 16 часов назад
Kwan yanga walifanyiwa fujo mechi ip
@MachanguMasirori
@MachanguMasirori 16 часов назад
Simba nguvu moja
@NasibuAlban
@NasibuAlban День назад
Acha uongo na ushamba poit3 kwenye mtoano?
@Saidaabdu
@Saidaabdu День назад
Kapata zawadi usaliti
@PapaaKadela-w8l
@PapaaKadela-w8l День назад
Punguza uongo
@jumamkwanda8031
@jumamkwanda8031 День назад
Mbona mnaongea ninyi tu acheni uzwazwa
@user-go7gc7ru9b
@user-go7gc7ru9b День назад
Tulipo fika hamfiki
@user-go7gc7ru9b
@user-go7gc7ru9b День назад
Makolo mmefeli tayari
@EmmanuelThomas-z1w
@EmmanuelThomas-z1w 11 часов назад
Nin wew amnazo
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 2 дня назад
Kisugu unajuwa sana
@LitoDossani
@LitoDossani 2 дня назад
Dawa ya usaliti ndio hiyo
@molenicharles9107
@molenicharles9107 3 дня назад
Tunataka sauti yakeeeee
@LitoDossani
@LitoDossani 3 дня назад
Sema ukizungumzia mpila achana namambo yako ya kutuingizia mambo ya siasa
@SalumuNambwilikiti
@SalumuNambwilikiti 3 дня назад
Msaliti huyo abaki huko huko tu Simba hatumtaki
@venancemsigwa-qs4ri
@venancemsigwa-qs4ri 3 дня назад
Manara rudi simba kaka yangu
@MohamedMohamed-ry6lt
@MohamedMohamed-ry6lt 3 дня назад
Huyu kisugu Bana machachari sana😅😅
@murshidyabdallah1356
@murshidyabdallah1356 4 дня назад
Namie wakwanza leo
@HusnaKibwana-t2e
@HusnaKibwana-t2e 12 дней назад
Katakana sanasimba apiteuku
@noelJohn-c3c
@noelJohn-c3c 12 дней назад
Hiyo siyo sahihi mwaka Jana kabla ya Eng Helis hajachaguliwa kuwa nahicho cheo CAF walisema zitaanza tim8 Ili kuifungua Rigi Ila mwakani zitaongezeka Tim kuwa 24 Sasa hapo huyo Eng kafanya nini nyie waandishi nyieeeeee huyo mnae muhoji hajui kujibu maswali kiutaalam
@WauJux-um5cf
@WauJux-um5cf 14 дней назад
Nenda kalime wewe ulitoka polini tuachie jiji letu
@PeterAlphonce-uh2mc
@PeterAlphonce-uh2mc 14 дней назад
We mungeaji inazingira Manara wa nini bola ht magoma
@PeterAlphonce-uh2mc
@PeterAlphonce-uh2mc 14 дней назад
Huyo shoga hatumtaki simba akae huko2 nyuma mwiko
@bonifasdaud3757
@bonifasdaud3757 15 дней назад
Kaka nakukubali sana simba u aya umerudi
@WilliamChaponda
@WilliamChaponda 15 дней назад
Mo kumpokea bi ashura ujue utaenda kuibomoa simba na kupoteza washabiki wengi.huyo katumwa na upande wa pili kuja kufanya kazi maalumu tena ya kuwatubuni wachezaji waende utopolo...piga chini haraka sana simba ina wadau wengi wenye weledi na mapenzi ya kweli...
@WilliamChaponda
@WilliamChaponda 15 дней назад
Big boss MO... kupokea bi ashura ujue utaenda kuibomoa simba unayotumia gharama kubwa kuijenga upya...huyo kiumbe hafai ni bingwa wa kutengeneza migogoro,kuchochea taharuki na kuhujumu timu... utopolo siyo wajinga kumpiga chini...pamoja naye uwe makini ni mzaramo na kisugu ni wachumia tumbo..utakuja nishukuru..
@MakoyePaul-ht3co
@MakoyePaul-ht3co 15 дней назад
Wazaramo nendeni mkarime acheni uchawa kutoaboa ng,ooo
@athumankiula2882
@athumankiula2882 15 дней назад
Hatumtak manara mamluk huyu
@FadhiliChifo
@FadhiliChifo 16 дней назад
Bom dia Minha quipa Simba,sera manara ja xta de Volta Simba?
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 16 дней назад
Manara hatakiwi Simba, ametukana sana. Atembee na fufuzila kuwaita mashabiki, hiyo kazi inamfaa sana
@NelsonJames-qr5vq
@NelsonJames-qr5vq 16 дней назад
Mchungaji wa setani tunawajua
@robertsongola6034
@robertsongola6034 16 дней назад
Kumbuken kauli ya injinia haji anapangiwa kazi nyingine alafu hapo hapo anakuja simba na mwanzo aliharibu wachezaji wa simba angalien kama tuliamua kusafisha ghala tusiache mchwa tena
@RahimaAbubakar-n7g
@RahimaAbubakar-n7g 16 дней назад
Manara ni simba dam lakin sijui nn kilimfanya aende yangaa magomvi yao na babra yalimshusha hadhi
@LwipaNicholaus-n8e
@LwipaNicholaus-n8e 16 дней назад
Wanini huyo manara
@kalizabaruani1999
@kalizabaruani1999 17 дней назад
Kwani huyo msaliti karudi ? Kama kweli wawe makini na wachezaji wetu asije akawa katumwa maana yeye akili yake pesa japo Kila MTU anazitaka
@andrewassey5108
@andrewassey5108 17 дней назад
Manara hana lolote zaidi ya Ahmed. Sawa wakubwa wameamua hatuna la kusema
@davidwatson6821
@davidwatson6821 17 дней назад
Huyo Ashura cheupe asirudi Simba maana huyo ndiye anayewarubuni wachezaji wetu