Тёмный
MASI MEDIA
MASI MEDIA
MASI MEDIA
Подписаться
KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI, TAARIFA ZA MASTAR WA BONGO NA MBELE
NANDY AMZAWADIA BILNASS MBUZI
9:25
Месяц назад
Комментарии
@SaadKondo
@SaadKondo 9 часов назад
Allah akudumishe katika msimamo wa kumuabudu yeye mpaka mwisho wa maisha yako.Amin.
@dudejuma
@dudejuma 2 дня назад
Dada usijegeuka kama msanii fulani ambaye alistaghafiru kwa Mola wake, lakini baadae ali-un-astaghafiruka.
@saudashani5981
@saudashani5981 3 дня назад
Mna kazi na hii dunia???
@JohnMoisesbilicaBilica
@JohnMoisesbilicaBilica 4 дня назад
Mungu yuko nawe Dada,mandiko yanaseme kitabu tcha wakorinto2 mlango:5:17
@Saidhilali-x3j
@Saidhilali-x3j 8 дней назад
Maashaallah allah akuongoze katika swiraatwal mustaqiima
@AbdulRazak-sb4tm
@AbdulRazak-sb4tm 8 дней назад
ALLAH yupo nawe dadangu... never give up.......
@user-sl8ui7sj1w
@user-sl8ui7sj1w 9 дней назад
Haya bana
@SHABANWERE
@SHABANWERE 11 дней назад
Inshallah mungu akuongoze
@SalumuKihimbwa
@SalumuKihimbwa 11 дней назад
Ongera umekuwa ni mfano wa kuigwa
@salmahamimu2275
@salmahamimu2275 12 дней назад
Inshaalh mungu yupamoja naww kila muombae mungu akosi lake fungu bora umeamka mwaya
@user-le4wr7mq6v
@user-le4wr7mq6v 17 дней назад
Hiyo ni dini sasa umeshindwa dini za kuingia au kuvaa hy manguo ndo unahisi ndo fini
@SHABANWERE
@SHABANWERE 11 дней назад
Usemalo hujui mungu akusamehe
@renathakalamage4931
@renathakalamage4931 18 дней назад
Hawa huwa wananukaga
@shuwekhaabdalla7533
@shuwekhaabdalla7533 19 дней назад
Allah akufanyie wepesi snura
@KhadijakhamisMasoud
@KhadijakhamisMasoud 22 дня назад
Allahu Akbar
@user-wu5eh1xt5r
@user-wu5eh1xt5r 23 дня назад
Allah Akbar KAbira walhamdulillah kakhira
@KokulebaDaud
@KokulebaDaud 23 дня назад
Esdgeydjtih xtdgh ♥️♥️
@Maryc2G
@Maryc2G 24 дня назад
PT endelea na kazi ya Mungu, usikatishwe tamaa na Mambo ya mitandao. Mungu akianza kuinua vita zitajiinua, na zikiinuka yajayo mbele yanaoendeza, na kufurahisha, Niffa simama na Mungu atakushindia 👍🏽
@hafidhali3020
@hafidhali3020 26 дней назад
Malaya mbovu,hamna kitu
@rashiddzambo7789
@rashiddzambo7789 26 дней назад
اللهم تقبل توبتها ويسر امرها واعنها على دينها يا رب
@al-rayyantv2015
@al-rayyantv2015 29 дней назад
Allah akufanyie wepesi , na akubali taoba yako . Akuongoze , akuwezeshe kufanyia dawa wangine wenzako
@zulaykhajuma41
@zulaykhajuma41 29 дней назад
Na ss Mungu atuongowe In Shaa Allah
@MASI_MEDIA
@MASI_MEDIA 29 дней назад
@@zulaykhajuma41 inshaallah
@zulaykhajuma41
@zulaykhajuma41 29 дней назад
Mungu akusamehe madhambi yako ya siri na ya dhahiri. Uliyoyafanya kwa kujua na kutojua In Shaa Allah. Na pia azidi kukufanyia wepesi kwa kila jambo Da Snura
@zulaykhajuma41
@zulaykhajuma41 29 дней назад
Takbir. Mashallah, mashallah, mashallah
@MuhamedAjigar-dw9ve
@MuhamedAjigar-dw9ve Месяц назад
Umeona ehee eti mzuri pumzi inamsumbua
@LisarahMsangi
@LisarahMsangi Месяц назад
Nandy mmemsahau ana 10m
@MASI_MEDIA
@MASI_MEDIA Месяц назад
Nikweli ila amefika juzi tu
@MahijaMagwiza
@MahijaMagwiza Месяц назад
Namkubali San kiba
@EdithaAlasi-wg2pt
@EdithaAlasi-wg2pt Месяц назад
Hongera kiba nakukubalj sana kaka mm shabik yako
@Neophithalogius
@Neophithalogius Месяц назад
We mdur❤
@PanyaBuku-qo7tu
@PanyaBuku-qo7tu Месяц назад
Biashara ya umalaya tu
@PanyaBuku-qo7tu
@PanyaBuku-qo7tu Месяц назад
Mhhm eti mzuri nywele za wahindi hizo.vua wigi tuone mikorogo kwa wingi na umalaya mchafu tu mzuri kaolewa
@user-og4wh1xr2c
@user-og4wh1xr2c Месяц назад
Shishi ..kwani waolewa daily
@RayaRashid-qc8cn
@RayaRashid-qc8cn Месяц назад
Muhimu pumzi 2 na afya njema
@wennybarny168
@wennybarny168 Месяц назад
Kajichubua sana huyu bibie
@kherichapa7324
@kherichapa7324 Месяц назад
Huyo...hamisa kabust followers
@MASI_MEDIA
@MASI_MEDIA Месяц назад
@@kherichapa7324 acount iliobustiwa followers inakuaje ?
@user-wr6uz1rx1o
@user-wr6uz1rx1o Месяц назад
😂😂😂saw
@MASI_MEDIA
@MASI_MEDIA Месяц назад
😊
@Lux_Billy
@Lux_Billy 2 месяца назад
Nakubali 100%
@MASI_MEDIA
@MASI_MEDIA 2 месяца назад
Shukrani
@saidhussein951
@saidhussein951 3 месяца назад
Kila mtu anakataa mkweli yukoapi ???👊🗣️
@saidhussein951
@saidhussein951 3 месяца назад
Facts!!👊👊👊🙌
@meshackwilsonmgoja2321
@meshackwilsonmgoja2321 3 месяца назад
Hoja nzuri sana hii. Lazima liangaliwe
@AffectionateComputerChip-sy4bp
@AffectionateComputerChip-sy4bp 3 месяца назад
Apa tumepigwa
@AffectionateComputerChip-sy4bp
@AffectionateComputerChip-sy4bp 3 месяца назад
✍️
@GiftCollins-vl2su
@GiftCollins-vl2su 3 месяца назад
Na ikumbuke msanii na skendo ni mfupa na nyama....na hakuna msanii anaogopa skendo
@MASI_MEDIA
@MASI_MEDIA 3 месяца назад
Sure 😊
@GiftCollins-vl2su
@GiftCollins-vl2su 3 месяца назад
Mwingine tumsikie anaefuata
@GiftCollins-vl2su
@GiftCollins-vl2su 3 месяца назад
Huyu jamaa apewe maua yake🎉
@GiftCollins-vl2su
@GiftCollins-vl2su 3 месяца назад
Gairoooooooooooooooo
@athumankihuju3311
@athumankihuju3311 3 месяца назад
Wakwanza nipen like zangu......Ssam production,,Wajura njoon huku
@MASI_MEDIA
@MASI_MEDIA 3 месяца назад
Umetisha😊
@athumankihuju3311
@athumankihuju3311 3 месяца назад
Kumekuchaaaaaaaa 😂😂😂 pyeeeeeeee
@sarahremmy6791
@sarahremmy6791 3 месяца назад
Hongera sana
@ramadhanbakar2267
@ramadhanbakar2267 3 месяца назад
Hahhahahhahahaha
@saidhussein951
@saidhussein951 3 месяца назад
Duuuh🤣🤣🤣🔥
@MickJulius-sk6qe
@MickJulius-sk6qe 3 месяца назад
Mtafute hary ndama nae tumsikie