Тёмный
TANZANIA IMEFUNGUKA
TANZANIA IMEFUNGUKA
TANZANIA IMEFUNGUKA
Подписаться
Комментарии
@EvaristPaul-q6c
@EvaristPaul-q6c Месяц назад
Samahani na tuheshimiane kigoma siyo ya samia na hatutaki aje kigoma tena
@safinahanga476
@safinahanga476 Год назад
Andrew kwny bajaj nimekuona nimefurah...cku nying
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Urakoze Mama Samia.
@gapablessgadison6863
@gapablessgadison6863 Год назад
kwanza kabisa RAISI,ametupa viongozi wapambanaji kuanzia mkuu wa mkoa,mkuu wa mji kasulu,kazi inaonekana labda niombe media basi ipeleke ombi langu kuwa moja ya vitu kupendezesha mji,NI kutenge maeneo kwa ajiri ya kuwajengea sanamu Waasisi waliojitoa kutetea mkoa na wanawakilisha mkoa Hadi Sasa ikiwa nisehemu ya kivutio cha watarii,wazawa pia kujua histori ya KIGOMA, MUNGU ibariki KIGOMA
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 Год назад
Jamani tunasubili malipo tu tuondoke
@kinondoni4668
@kinondoni4668 Год назад
Wakazi wanasubiria fidia zao waondoke haraka isiwe danadana mara tarehe 15.2.23 mtaonyeshwa malipo ya fidia mara kimyaaa.
@havyalimanaandrea1381
@havyalimanaandrea1381 Год назад
Igasulo yachu inazidi kupendeza, ulakoze chane @mama samia suluhu hassan👏👏👏
@donicomkulikiza4075
@donicomkulikiza4075 Год назад
Hako kazahanati sasa🤭🤭🤭🤭🤭🤭
@havyalimanaandrea1381
@havyalimanaandrea1381 Год назад
Hiyo ni ya mtaani for emergencies to be covered. Hata kwa mguu unaamkiepo unapata huduma
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Год назад
Jenga yako kubwa