Morara anapendwa ndo maana wanamwonea wivu, akili yake na wisdom yake imetoka kwa mungu na hata mfanye nini atabaki kua inject party leader, i didt know Tj can shout nonesense, the young man is 100 smarter than you kalwang.😞😞😞😞
Tena hapo amesaidiwa kupewa mifumo ya ulinzi wa anga.Israel ana zaidi ya mifumo mitatu na bado mambo ni magumu.Asingekuwa na hiyo mifumo yangeliwakuta makubwa hao mbwa wa kishoga na Kizayuni.
Peaple don't talk about lzrael moving out from lzrael close boder with Lebanon if as lzrael doing well but not all two place.lzrael and Lebanon are not saif both sides to turn people back is nigoshoting not military power
Watanzania tunajifunza nini toka Kenya swala la kuleta heshima ktk jamii na mueshimiwa na viongozi sauti zenu ni umaoja wenu unafiki na uowaga siku zote ni utumwa ktk maisha na utumwa ktk sauti zetu na kuzaraulika kwa chocolate kile ktk viongozi wa bovu ktk serekali ambayo ndio wanakuwa watoa maamuzi ktk maisha yetu kitu ambacho ni sawa na utumwa kushindwa kusimamia haki zetu kwa nguvu moja
Sasa ndugu yangu Tundu Lissu wewe si unataka kuwa Rais na amili Jeshi mkuu ? Jalibio kidogo tu saa zote malalamko sasa si ndiyo kazi unayotaka ? Sasa unalalamika nini ?
Imenisikitisha sana Mjadala mzuri na wenye mashiko kama huu una Comments 9 tu kwanini Watanzania hii ni jinsi gani Watanzania hatuungi mkono huu Mjadala kwanini hatushikamani?? Tushikamane kuwaondoa hawa waovu katikq nchi yetu
Kampuni zote ni mali ya serikali kiintelijensia,wote wanatoa siri serikali ikihitaji,hamjuagi tu, 👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿
Tujifariji tu lakini kiukweli hakuna maandamano yalofanikiwa na wala raia hawakujitokeza as expected... sisi wabongo kwa online tu maneno meeengi ukimskia mwabukusi au mdude au yule babu wa chadema utasema yeeessss. lakini tusilaumiane ndo tulivoumbwa hivi.
WAGALATIA HAPA KWENYE MTANDAO MPEWE MAUWA YENU NA WACHUNGAJI WENU LAKINI BARABARANI NI MAFISI KIONGOZI WENU ANANYAKULIWA KAMA FURUSHI 😢😢😢😢😢😢WA KENYA WAMEMICHEKA SANA