Babu salaam Online tv Kondoa,ni official digital platform inayohusika na masahala ya dini ususani utoaji elimu ya dini ya kiislam kuusu masuala mbalimbali yanayoihusu Jamii zetu ambapo itakutanisha mashekhe na waalim mbalimbali wa dini kuzungumza masahala hayo Tunapatikana kondoa mjini karibun kwenye chanel yetu. Kwa mawasiliano Zaid tupigie no. 0783453224 au 0679159492