Тёмный
AFRICANS IS WATCHING
AFRICANS IS WATCHING
AFRICANS IS WATCHING
Подписаться
Комментарии
@ClaudineKalonda
@ClaudineKalonda Месяц назад
🇨🇩 congo
@omanhh2875
@omanhh2875 2 месяца назад
Mambo vp
@frankpeter5527
@frankpeter5527 4 месяца назад
Dogo nisaidie bac umasikini Unataka kuniua Nitafutie mtu wa kuniajiri nipate kazi
@NgelejaCharles-ng7bh
@NgelejaCharles-ng7bh 4 месяца назад
Nakushauri,Jaribu kuiga hata content za wenzeko ipo siku utakua bora na kufanya og zakwako.
@townsanyatrends
@townsanyatrends 5 месяцев назад
bro vipi... ningependa tuongee sijui naeza kupataje
@ishakasaid1077
@ishakasaid1077 7 месяцев назад
hili nj jimbo gani maana hujatuambia
@abduyussuf8345
@abduyussuf8345 8 месяцев назад
Mi nikinyozi vipi kazi huko zinalipa ? Kinyozi analipwa dollar ngapi kwa Saa ?
@lexmondniyukuri8617
@lexmondniyukuri8617 8 месяцев назад
❤❤❤one love 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💥
@lexmondniyukuri8617
@lexmondniyukuri8617 8 месяцев назад
Hie brother I'm from burundi vipi kuhusu werk experience naweza edit werk experience after nime shinda green card right
@abduyussuf8345
@abduyussuf8345 8 месяцев назад
Mi ni kinyozi kazi za kunyoa huko zipo ?
@elimbotoraphael3940
@elimbotoraphael3940 9 месяцев назад
Jaribu kueleza vizuri tukuelewa.mambo ya kishua ni yapi.video zako wanatazama kila rika
@mazulacelestine3038
@mazulacelestine3038 9 месяцев назад
Wew Kama huja edit Kama boncena Ni bahati, ya kupanga nyumba 1700$ kwa USA Ni Bei kubwa!!?? Your not serious of what your doing!!
@Happy-rm7gs
@Happy-rm7gs 9 месяцев назад
Ningapi kununuwa?
@robertnkaragano298
@robertnkaragano298 10 месяцев назад
Bad explanation bro!! Try to be straight
@martinfrancua-7194
@martinfrancua-7194 10 месяцев назад
Tupe dili
@NgelejaCharles-ng7bh
@NgelejaCharles-ng7bh 10 месяцев назад
Hujui kuelezea chochote, na hapo upo Kwa ajiri Yako Puuuuuuuz wewe
@GodfreyMdemu-uw2lv
@GodfreyMdemu-uw2lv 10 месяцев назад
Vipi gharama ya maisha Chicago
@GodfreyMdemu-uw2lv
@GodfreyMdemu-uw2lv 10 месяцев назад
Iyo pesa inafaa kutokana na gar yenyewe
@GodfreyMdemu-uw2lv
@GodfreyMdemu-uw2lv 10 месяцев назад
Kwani upo start gani USA
@janemakemo5635
@janemakemo5635 10 месяцев назад
We ni mwongo hakuna mzungu mwenye watoto wengi labda wewe uko marekani ya tanzania mwongo wewr
@janemakemo5635
@janemakemo5635 10 месяцев назад
Wewe ni mwingo hauko marekani marekani hakuna nyumba chafu atakama ni ya upangaji
@HamidSalum-b1z
@HamidSalum-b1z 10 месяцев назад
Haipingwiii Mzee baba
@SalomeKhalfani-cm9xy
@SalomeKhalfani-cm9xy 11 месяцев назад
Type namba
@CNgaraguza
@CNgaraguza 11 месяцев назад
sasa hizo nymba ambazo hamna watu, mtu akihamia akaanza kukaa bila kutoa tarifa watamzuia au??
@MkombiNgini-ue2um
@MkombiNgini-ue2um Год назад
Kaka asante sana kwakutuhonesha ila muhanze tuhambiya mabeyi itakuwa vizuri sana
@omarysaid8725
@omarysaid8725 Год назад
Huko ni maeneo gani kwa hapo USA
@juliusedapal9926
@juliusedapal9926 Год назад
Bro can you send me you WHATSAPP number please
@EdsonDeus71
@EdsonDeus71 Год назад
Nice
@hamisikimbatikwa6959
@hamisikimbatikwa6959 Год назад
Kaka kama bado upo RU-vidrs mi ndio nakuona Leo Naomba Naomba yako ya waspur*
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
Nipo saaana kk, video mpya soon napost
@rashidabdallah8061
@rashidabdallah8061 Год назад
namba yko ya watsap bro
@khadijakitsao5451
@khadijakitsao5451 Год назад
Nitafutie jamaa basi nifunge nae ndoa ya uongo
@msabahaduniayoutube
@msabahaduniayoutube Год назад
uko state gani bro uwe na twambiya majina ya ma eneo
@thomasmwasongwe7790
@thomasmwasongwe7790 Год назад
Kaka mm naendesha magari makubwa na madogo natamani kuja huko ila pesa na mtu wa kunisaidia naomba namba ya Whatsapp
@thomasmwasongwe7790
@thomasmwasongwe7790 Год назад
Ndugu kwema nisaidie na mm nije huko au nipe namba yako nikufuate Whatsapp plees
@abasimlawa6788
@abasimlawa6788 Год назад
nahitajika niwe na vigezo gani kwenye magari?
@jyboy5556
@jyboy5556 Год назад
Acha hizo swaga za kupiga makofi bn zinaboa
@godfreygeraldmtamani9958
@godfreygeraldmtamani9958 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@nizigiyimanacelestin9734
@nizigiyimanacelestin9734 Год назад
Mwanangu vp uko poa mzee wakwetu kasuru namba numbar yako .
@nizigiyimanacelestin9734
@nizigiyimanacelestin9734 Год назад
Babu. Vp uko poa mzee wakwetu kasuru .fresh sana baba kutuonesha mavitu ya mbele ila mutusaidie nasisi ili tuje mbele
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
Thanks 🙏 brother
@nizigiyimanacelestin9734
@nizigiyimanacelestin9734 Год назад
Mwangu vp uko poa ?Sasa wewe hauogopi kupigwa risasi
@elonvenance6726
@elonvenance6726 Год назад
Naomba namba zako man
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
Kaka mambo vipi
@ticky2586
@ticky2586 Год назад
11th street
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
Yes
@khlafanmwassa
@khlafanmwassa Год назад
Mbona watu haonekani zaidi ya majengo tu hiyo inchi ikoje
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
Baridi nyingi sasa hivi
@Lokko23
@Lokko23 Год назад
Social media zako nje ya youtube au whatsap, email plz
@allymjaka7255
@allymjaka7255 Год назад
Nakubal kaka harakat zako mzee
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
Ahsante kk
@ibrahbird9727
@ibrahbird9727 Год назад
Salout sana bro'
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
Asante bro
@vitymteysemere4777
@vitymteysemere4777 Год назад
Tupo pamoja bro
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
asante
@vitymteysemere4777
@vitymteysemere4777 Год назад
JAALIAH akujaalie afya njema ili uzid kutufungua fikra
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
Asante saana
@sakinahamza5325
@sakinahamza5325 Год назад
Lkn we umetudanganya umesema mtu akiwepo marekn haruhusiw kufanya Kaz Ata ndg ndg kama iz za $20kwa saa uku ndg zetu wako uko uko hawana Pepa na wanafanya izo kazi
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
ukipata mtu anafanya kazi bila documents nakupa $50
@sakinahamza5325
@sakinahamza5325 Год назад
@@Africansiswatching yupo Dada ang anafanya Tena sio mmoja wapo wa4
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
Huo ni uongo, uwezi fanya kazi usa bila documents
@sakinahamza5325
@sakinahamza5325 Год назад
@@Africansiswatching muongo nyota tu kila sku anatuambia ukikosolewa ukubali we ndo hujui labda izo inshu nmemaliza
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
😂😂😂 atakua anafany kazi za taka taka, tena nasem uwez fanya kazi usa bila documents 😆😆
@edwinrobert3507
@edwinrobert3507 Год назад
Denis naomba email yako kaka
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
Deniszados8@gmail.com
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 Год назад
@@Africansiswatching....safi
@DonKap
@DonKap Год назад
nilikua na omba kujua mabeyi ya izo nyumba apo muta wenu kama inawezekana tufanyiye video ingine utwambiye na mabeyi pls
@Africansiswatching
@Africansiswatching Год назад
$200000k kwa Tsh ni million 467,400,00.00