Тёмный
Mpenja TV
Mpenja TV
Mpenja TV
Подписаться
Sports & Entertainment Channel, House of Sports News and Interviews, owned by Mpenja Media Company LTD, under Founder and CEO, Baraka Adson Mpenja, Senior Journalist and Commentator of Tanzania Football.

Call/WhatsApp!: +255748101101
E-Mail: mpenjatvtz@gmail.com

#TunazungumzaMichezo
Комментарии
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 2 часа назад
Huo ndo ubaya ubwela into practical😂😂
@ShabaniIbrahim-z2x
@ShabaniIbrahim-z2x 2 часа назад
@mrcharm166
@mrcharm166 2 часа назад
Mwambieee aitwaa na P Diddy akawape utopolo umaarufu😅😅😅😅😅
@AMOSEXAVERY-fm4qm
@AMOSEXAVERY-fm4qm 3 часа назад
Wasichana wamejaa kwenye online TV, wakijikita zaidi kwenye michezo, upuuzi mtupu!!! Wanahoji maswali ya kijinga kabisa!!
@YusiraJuma-m4j
@YusiraJuma-m4j 3 часа назад
4 tumeisha futa bado 1
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 4 часа назад
Watoto wa gsm gemu nyepesi iyo😂😂😂😂
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 4 часа назад
Acheni kuharibu biashara za watu maii, maji? Yanahusu kolo nyinyi mbona hamuongelei mo sabuni, mo ukwaju, mo kiberiti, mo ndimu, mo fondition, Mo ubwela? Mo ubwege nyoooooooooooooo.
@linnahcasmir5275
@linnahcasmir5275 4 часа назад
Msemaji wetu wabaadae
@NickoMahenge
@NickoMahenge 4 часа назад
Pigaa ayo
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 5 часов назад
Makolo ni majinga kweli,yaani kwa akili zenu kweli mnaasilia 80 kwamba Pamba jiji anaweza kushind?
@AbdulMgude-iv1ql
@AbdulMgude-iv1ql 4 часа назад
Timu ya GSM hyo wewe inaifungaje yangaw😂😂
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 4 часа назад
@@AbdulMgude-iv1ql Kwa hiyo ww inadhaminiwa na GSM au cyo.
@khadijajumanne3324
@khadijajumanne3324 5 часов назад
Gsm kagundua kama hatokuwa nakitu kinacho ingozs pesa kilasiku huwezikuwa tajiri na atawashitua nakolo kwamba wanapigwa tu nahuo utajili wanampa wao
@rachelcheyo-p5z
@rachelcheyo-p5z 5 часов назад
All the best yanga
@FinahGHans
@FinahGHans 5 часов назад
Kiboko ya wachawiii ubaya ubwela
@JonathanMgaiwa
@JonathanMgaiwa 6 часов назад
Hana lolote anajiwekea wigo akifungwa kwa kuuza mechi kea udhsmini watu waseme alipambana. Hizi timu zinaleta vurugu tuu kwenye ligi, ni matawi ya utopolo
@BabeNoera
@BabeNoera 6 часов назад
Alhamic mnadhalilika
@adimerykana
@adimerykana 6 часов назад
Gamondi namelewa sana tu namkubali sana ni bonge la kocha
@BabeNoera
@BabeNoera 6 часов назад
Hawa wanatakiwa wale 4 na kuendelea
@barackmoses7003
@barackmoses7003 6 часов назад
Huyu latifa ajifunze namna ya kuuliza maswali hata kama yeye ni shabiki wa Yanga afikirie
@barackmoses7003
@barackmoses7003 6 часов назад
Ila waandishi wengine wanoko tu
@Abasskhalfan
@Abasskhalfan 6 часов назад
Wewe semaji tunaanza na goli Tano hiyo siku
@killingmleke1810
@killingmleke1810 6 часов назад
Leo mnaanza kusema kazaminiwa na gsm ila tukishinda moja hamsemi ila tukishinda memgi gsm .makolo mbona mna shida
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 5 часов назад
Yaan hawa makolo sijui yakoje,saizi yanasubiri Pamba Jiji akipasuoiwa GSM anahusishwa,ila akishinda goli moja au mbili yanaanza kusema Yanga mwaka huu Yanga ni mbovu.
@AbdulMgude-iv1ql
@AbdulMgude-iv1ql 4 часа назад
Oya kwan hadi leo mshacheza na timu hata moja ya GSM au kesho ndo mnaanza kucheza na GSM mshindwe nyinyi tu kushinda😂😂😂​@@sosomacharles9920
@killingmleke1810
@killingmleke1810 6 часов назад
Tafuta team yako ufundishe kama unaona guarity inabeba team, kocha ndiye anaendesha mechi wewe acha ujinga anajua anachofanya usione magoal memgi yanakosekana hizi mechi zina mambo memgi nje ya uwanja
@SelegioAnthony
@SelegioAnthony 7 часов назад
Hana mood kabisa sijui msimu huu
@SelegioAnthony
@SelegioAnthony 7 часов назад
Kocha mbona kama kachoka Kuna namna hapa
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 7 часов назад
Huyu nae kazaminiwa na nyuma mwiko atakula kama zote
@JoerntonAnthony
@JoerntonAnthony 7 часов назад
Unahesabu lakn saivi match ya nne mfulizo mbuzii wew
@kolosii4351
@kolosii4351 7 часов назад
Msikilize Gamondi anavyoongea kiprofessional ya mpira. Mara zote utamsikia akisema anamweshimu mpinzani anaekutana nae.
@emmanuelzawadiel5320
@emmanuelzawadiel5320 7 часов назад
Huyu kadhaminiwa na GSM walewale
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 7 часов назад
Kama alivyo wadhamini makolokwinyo a.ka mbeleko fc
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 7 часов назад
Baleke mechi yake
@mrbontel976
@mrbontel976 8 часов назад
Tunataka ushindi wa Magoli Mengi! Ikiwezekana kila mechi cause uwezo upo!
@anastahiliutawala3879
@anastahiliutawala3879 7 часов назад
Mnaweza pia kufungwa
@NelsonMatambo-m3i
@NelsonMatambo-m3i 8 часов назад
Aly uko sahihi
@BullahSambiga
@BullahSambiga 8 часов назад
Leo na uwakika mnapigwa ila tukiwapiga mengi watasema yanga b
@mosespeter3186
@mosespeter3186 9 часов назад
Jaman Kuna waandishi wa habari aisee Bado Sana...yaaani mtu unauliza swali kama vile hujui mpira hata kidogo...daaah aisee gamond anajitahdi Sana kuwajibu vizuri
@elizabethizack5297
@elizabethizack5297 9 часов назад
Mungu akujalie mema
@GodwinMtungi
@GodwinMtungi 9 часов назад
Mdomo mali yake ana haki kesho tutajua mbivu mbichi hao sukuma kesho watajuta
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 9 часов назад
Kocha wachezaji wakiyumba kidogo tu na yeye mbinu zinaisha hii inaonyesha ni quality ya wachezaji ndio inambeba
@francisjustus-zc8se
@francisjustus-zc8se 8 часов назад
Fwatilia ya makolo yayanga yaache kua kimafikilio ya mpira ww kocha wenu hana mbinu zaidi ya kubebwa tuu
@FarahaniSalehe
@FarahaniSalehe 7 часов назад
MTU KAKUFUNGA TANO HALAFU HANA MBINU TAREHE 19 JAA TENA UTAKULA DALA NYENGINE🤣
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 9 часов назад
Uyu father aache kukariri kikosi aisee yani baleke na mzize wakiingiaga uwanjani ni watu wanao onyesha wana nia na uchungu wa kufanya kitu kwa juhudi nyingi sana.... Prof Nabi ni mmoja tu aisee
@francisjustus-zc8se
@francisjustus-zc8se 8 часов назад
Ungekua kocha ungesha pewa timu kwani yanga haipati matokeo kua kimafikilio bro saw mpira ni professional sio miemko
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 3 часа назад
@@francisjustus-zc8se unaongea kiushabiki sio utaka tusifie kwenye hamna huo ushabiki mandazi wengine hatunaga....
@barakamwacha-gl2qo
@barakamwacha-gl2qo 9 часов назад
Kabwili hiloo naliona kwa mbaliii
@barakamwacha-gl2qo
@barakamwacha-gl2qo 9 часов назад
Mama did mwaka huu mtapata tabu sana
@firdawsrammy9992
@firdawsrammy9992 9 часов назад
Gamond anajua kujibu bana😂
@JoyaVilla-z9f
@JoyaVilla-z9f 9 часов назад
Nashangaa mambo ni ya yanga wanaumiawengine nchi hii
@omega-gl9wt
@omega-gl9wt 9 часов назад
Please please Gamond give Baleke 90 minutes to play
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 9 часов назад
Nkubali kocha mungu akupe umri mrefu
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 9 часов назад
Master huyo
@joojombi2341
@joojombi2341 9 часов назад
Wacheni kupotosha umma nyie na heading yenu not good. Wizi mtupu huo
@JastFinancial02
@JastFinancial02 9 часов назад
Kama unakubali Ili likocha linajua tutambuane kwa like hapa
@MatiasChonya
@MatiasChonya 10 часов назад
Kalibu fei simba ndotozako zitatimia
@JumaMaulidi-e8h
@JumaMaulidi-e8h 10 часов назад
Huyu mwalimu anajiandaa san
@RoseMwangoye
@RoseMwangoye 10 часов назад
Kwa swala la usemaji manara bd tumamuhitaji sn dogo kapooza
@voicdesition897
@voicdesition897 10 часов назад
Am the first one 2day ilove yo yanga