Тёмный
CLEFF MEDIA
CLEFF MEDIA
CLEFF MEDIA
Подписаться
GOSSIP |CELEBRITY NEWS |ENTERTAINMENT
Get the latest entertainment news from Tanzania and East Africa on CLEFF MEDIA.
Subscribe us for exclusive updates on your favorite celebrities..

Pata habari za burudani kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kwenye CLEFF MEDIA. Subscribe sasa kwa taarifa za kipekee kuhusu mastaa wako pendwa.
Комментарии
@RobertJonas-k9r
@RobertJonas-k9r День назад
Mm namkubal harmonize
@SalmaChibwana
@SalmaChibwana 2 дня назад
Kaka nakuamini
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 2 дня назад
Wacha kuforce follower dini ya kislam inavigezo ndio uwe muislam ila kuna waislamu kunapo kuwa na shetani akitawala hapo hamna dini lazma urudi mstari ulionyoka
@MageManeno
@MageManeno 3 дня назад
😮😮😮😮😮
@user-mz5js9kv8i
@user-mz5js9kv8i 4 дня назад
Pole sana ndugu yet
@SisemiHamisi
@SisemiHamisi 5 дней назад
Mimi nina alama m mikono yote
@IbrahimMwinyi-mu5gp
@IbrahimMwinyi-mu5gp 5 дней назад
Wanakuaga nanyege hawa watangazaji dawayao nihiyo hiyo wakimuonaga diamond wanaisi nimalaika wakati nimtu wakawaida tu kama nyie
@josephinemwahula8710
@josephinemwahula8710 8 дней назад
Mie nimemmiss Maria binti mlokole, jua kali siku hz naangalia nikiwa sina kazi sio kama zamani yaani kama ni chakula basi chumvi imepungua 😊
@AbuAdnazmin
@AbuAdnazmin 8 дней назад
Mumeeleza tu alivyo ila kufungua nyota hamja taja lolote. Mi ni mkenya and on my palm I have that letter M.
@rehemarehema7475
@rehemarehema7475 10 дней назад
Zuchu nimekuli sana kuwa mondi mungu akubariki sana pokea mauwa yenu❤🎉
@AnkoPawa-m1l
@AnkoPawa-m1l 10 дней назад
😂😂😂😂😂🎉R
@GaetanNzanzu
@GaetanNzanzu 11 дней назад
Tumsikilize Pia diamond
@saidhamis8038
@saidhamis8038 11 дней назад
Hana ukweli huyu jamaaa
@saidhamis8038
@saidhamis8038 11 дней назад
Huyu jamaa na hii story kuna vile anafichaga vitu flani na pia alijuaje kama alidungwa sindano ya sumu
@BeatriceKasindi-y6g
@BeatriceKasindi-y6g 12 дней назад
Ndoa hailazimishwi dada
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 12 дней назад
Lies😂
@AnifaAssumane-d5m
@AnifaAssumane-d5m 15 дней назад
Wewe
@Hdhdj-t7j
@Hdhdj-t7j 17 дней назад
Ndomaana kilakitu kwangu rulla asante mungu
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 22 дня назад
Hé tagazaji ww ni munjiga Qur'an hafudishi kuhimba na wao wote sio waisilam bado nimajina tu 😅
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 22 дня назад
Lies 😂
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 23 дня назад
Mbona mim ni Herufi M na maisha yananipiga tuu hamna kitu jaman Tutafute pesa😅😅
@marwawaitara3702
@marwawaitara3702 20 дней назад
utapata tu kuwa na aman
@gishaboytz4306
@gishaboytz4306 24 дня назад
Ebwana weeeeeeh!!
@JumaMwanga-h9o
@JumaMwanga-h9o 27 дней назад
❤😂duuu
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola 28 дней назад
Cocaine acha uongo ww
@Zainabu-xn3vd
@Zainabu-xn3vd Месяц назад
I thought Jay melody ni mkrist🤗🤗🤗
@SuleimanKheleiff
@SuleimanKheleiff Месяц назад
Duuuuu mm hata sijui 🙏 for that
@marthacharles-o1e
@marthacharles-o1e Месяц назад
Ayo si Maisha Mungu
@SaidaGm-c5n
@SaidaGm-c5n Месяц назад
Pole sana dada angu utaponatu kwauwezo wake allah😭😭🤲🤲🤲🤲🤲❤️❤️❤️❤️
@ashaali7154
@ashaali7154 Месяц назад
Washamba wawili wamekutana.
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu Месяц назад
Kwakwe haya mambo yawamama singo akina amisa niayibu mwanjaku anasema amisa anauwezo wakumuripa Azizi ki mushala akaenda simba Uongongo mutupu kajirengesha wmm😃
@OrecyOwden
@OrecyOwden Месяц назад
Duuh Mosse kazingua , Masha love sio Pete yake sahihi , labda kama utamu kunoga labda, maana bhana Uchi hauna Uchina😅😅😂
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k Месяц назад
Too much love is in the air jamani. Hii ni raha diamond is over loaded with love. May the best girl win.
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k Месяц назад
Asante Allah, Hamisa the storm is over, Zuchu hujaolewa bado so take a chill pill, bado una nafasi kwa diamond wewe ni super star wake and he won't loose you. Hamisa will always be in his life, na ......fill the blank babe
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k Месяц назад
Hamisa first wife, Zuchu wife number two. Diamond is a Muslim so hatuna shida. Let the games begin 😅
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k Месяц назад
Sasa diamond nitaanza kukuoenda, seriously love your son and children equally bro
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k Месяц назад
Mungu ashukuriwe if it's true, sasa why saa diamond buy her a house to say sorry for emotional turmoil and embarrassment you put hamisa through.
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k Месяц назад
Ni kweli haya, family ni WA Swahili sana wana pesa but classless, wamemtesa mtoto a long time ni shameless seriously. God
@EuniceAtolly
@EuniceAtolly Месяц назад
Yes,mimi ninayo mikono yangu yote
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE Месяц назад
Wewe ni mwenye bahati sana hongera
@CavaniKazera-c3z
@CavaniKazera-c3z Месяц назад
Ss mzee je watu wanao anza n'a herufib M ni watu waaina gani?
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE Месяц назад
Ntaileta hyo makala usjal
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 Месяц назад
Wee ndie unafaa kuwa bikira dio diamondi ni mwanaume
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq Месяц назад
asanti
@hafidhali3020
@hafidhali3020 2 месяца назад
Malaya hawana kheri Laanatullah
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 2 месяца назад
Maria jamani arudi tena
@matatamatatatours3237
@matatamatatatours3237 2 месяца назад
Umefanya vyema Kumkubali Mtoto wako
@NabiiYakobo
@NabiiYakobo 2 месяца назад
Leornardo
@DCLEFF_GOLDEN_VOICE3
@DCLEFF_GOLDEN_VOICE3 2 месяца назад
Saf sana
@DCLEFF_GOLDEN_VOICE2
@DCLEFF_GOLDEN_VOICE2 2 месяца назад
🎉🎉🎉