Akh jameni balanced and clear sounds waah ,, nambarikiwe zaidi kwa utagazaji wenu wa neno la Mungu,,, namiss kuwajoin but its possible,,, I love your company
Kila nikisikia wimbo huu nahisi kubarikiwa sana mimi pamoja na familia yangu, mwenyezi Mungu awabariki sana wote waliondaa wimbo huu maana tunabarikiwa bure kwa upendo wa Mungu akawe msaada kwetu na wimbo huu ukawe uongozi kwa maombi yetu kila siku. Amina