Тёмный
EastAfricaTV
EastAfricaTV
EastAfricaTV
Подписаться 1,1 млн
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK 👉👉
chat.whatsapp.com/Ld68hoEqjsJIM6eg2iPxKI
"TOGETHER TUNAWAKILISHA"
Television Media, Founded 2002
Комментарии
@Immanueljosephmishinga
@Immanueljosephmishinga 16 часов назад
Ajui kuchana
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 18 часов назад
SAF SANA MSIGWA UMEWAFUNGULIA MLANGO WENGINE KARIB CCM 😂😂😂 HII NDO CCM NNAYO IJUA😅😅😅 HAD UCHAGUZ KITAKUWA KIMEELEWWKA
@LadslausKonjan
@LadslausKonjan 18 часов назад
Leo mlichofanya Kwa Muda huu safi sana tunafuatilia nipo Hulu Rukwa
@RobertGalus-c5t
@RobertGalus-c5t 19 часов назад
Msukuma abarikiwe Sana mwenyez mungu ambark Sana n mbunge anaejitambua na analitambua analofanya na Ana uchungu na nchi yetu
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 19 часов назад
HUYU NANI ANASAMBAZA HABARI ZA UONGO KULE TIK TOK JAMANI .ASA MBONA HAJAFA MTU
@user-ek6sl4px7z
@user-ek6sl4px7z 20 часов назад
Rais samira usijeukamteuwa popote huyu balaa, kafuata cheo huko angesema angungua kanisa tungemuelewa vijana wapo wasomi wazuri mnahangaika kununua maze
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 21 час назад
Unazidi tu kuvimbisha mashavu, Huna uzalendo wowote; Wananchi ndio umewageuza kitega uchumi chako kikubwa
@TemboKaijage-kg2mm
@TemboKaijage-kg2mm 21 час назад
Alikuwa zitto sembuse yeye tanzania tuna taka mabadiliko
@nurumussa9107
@nurumussa9107 21 час назад
Hii inaonyesha waziwazi kiasi gani hatuna viongozi waliopo Kwa maslahi ya watanzania na hakuna wapinzani hapo ila Kuna wenye njaa, Yani msigwa alivoahindwa na sugu kahama na chama inaonyesha kwamba hata huko ccm akiteuliwa kusimama kukiwakilisha chama akashindwa yupo tayari kuwepo vita ilimradi yeye atangazwe. Viongozi wa hivi hamna asiekubali kushindwa si mshindani
@HenryKasaje-on4xq
@HenryKasaje-on4xq 21 час назад
Huyo msingwa mwache aende kugalagwa na Sugu ananikimbia anatamaa ya mamlaka
@maase2023
@maase2023 22 часа назад
Kuchukua wanasiasa wa kizamani ni sawa na kusoma gazeti jioni tu
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp 22 часа назад
Hufai KABISA KUKOSA WANA MBEYA WAMEKUGALAGAZA ASUBUHI.
@JamesAthanas-v2j
@JamesAthanas-v2j 22 часа назад
Mbunge wa bukombe doto mbiteko
@marijanimussa
@marijanimussa 23 часа назад
Duh!wewe msigwa ni ww kwel hapana natakiwa nihame Africa nkafanye kazi ya kulisha ng’ombe ulaya
@ShariffAlawi-j3h
@ShariffAlawi-j3h День назад
Mroo wa madaraka
@jamestocta3075
@jamestocta3075 День назад
Kachunge kondoo, achana na siasa hazikufai
@LUPYANAHAWAMIHAULE
@LUPYANAHAWAMIHAULE День назад
Kwan kaz ya robot hilli niipi hapa Tanzania
@GodfreySiegfried
@GodfreySiegfried День назад
Yeye aende kupiga ela uyo hafai mtajuta nyie ccm uyo mtajuta na si mchungaji uyo
@martinsokoi397
@martinsokoi397 День назад
Tuiombee Simba yetu wapinzani wetu watulie kimya.juu ya ubingwa.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 День назад
ONGEA UANGALIE MBELE
@valenakomba7686
@valenakomba7686 День назад
YAANI BAADA YA KUSHINDWA , KAAMUWA KUHAMA. ASIYEKUBALI KUSHINDWA SIYO MSHINDANI.
@mathewungani9724
@mathewungani9724 День назад
Kiungo Mshambuliaji, Peter Msigwa....
@mathewungani9724
@mathewungani9724 День назад
Njaa tu,
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk День назад
Geita, pabovu mno huwezi kuamini watu wanakufa kwa ujinga wa viongozi.. Eti utamfuata mzee kijijini na anafika mjini hapati huduma...
@AshaMwamba
@AshaMwamba День назад
Ndo kawaida yenu kihama wahatuoni ajabu
@ahmedoscar2110
@ahmedoscar2110 День назад
Safi sana masukuma
@Grandcharamira
@Grandcharamira День назад
Wampe uwaziri uyu jamaa ni intelligence sana alafu la saba uyo mwenye phd sasa bogus kabsaaa
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 День назад
Nimesikiliza hadi dakika ya tatu nika pause. Mbona kama Jamaa anatufokea? Ishu siyo kuwa na deni, ila the aftermath? matokeo ya deni ni nini? kama unakopa halafu huwekezi mukopo kwenye kuzalisha unalipaje hilo deni? Maana madeni ya nchi siyo sawa na vikoba utaingia mitini au kujificha...Kitu kingine kwanini nyie mawaziri wa siku hizi mnaongea kwa jeuri? Eleza facts ili tuelewe labda inawezekana sisi wengine wote ni wajinga...basi tuelewesheni bila kutusimanga na kutufokea...mnakuwa wakali kwasababu hamuwezi kutueleza vizuri kwanini pamoja na kukopa, kubinafsisha bandari, kuwa matajiri bado mfumuko wa bei uko juu. Kwanini thamani ya pesa yetu inashuka kwa kasi. Usifanye ulinganifu usio na uwiano. Unalinganishaje mbio za kobe na farasi?
@LucasDeus-k6w
@LucasDeus-k6w День назад
Mapenzi ya kibongo
@ChausikuJuma-ic4fb
@ChausikuJuma-ic4fb День назад
Mamb
@ModestJohn-z9m
@ModestJohn-z9m День назад
Por msinqwa
@user-cs6qg7je6w
@user-cs6qg7je6w День назад
Saw
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 День назад
Hawa ndio wanazitia doa ata dini anaitwa mchungaji mchungaji gani anabadilika badilika
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 День назад
Ccm wajanjaaaa, wanaweza kumpa kiasi chochote anachotaka ili aseme ayo, sio kosa lake njaaa, wanainchi bakini na mawazo yenu, msimfuate msigwa
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 День назад
Msigwa kaishiwa ufai ata ujumbe wa nyumba 10, ongea yako sio ya chama ata ulivyokuwa chadema uliisema ccm. Kama leo u avyoisema chadema tapeli mkubwa we. Njaa mbaya
@MaliganjoMlonga
@MaliganjoMlonga День назад
Simba nguvu moja 2:28
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t День назад
Ungejiuzuru Kisha ukayasema hayo usemayo tungekuelewa uwe mkweli una kundi kubwa la kondoo nyumba yako ukiwapoteza utaulizwa na Mungu
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t День назад
Ulipokua chadema hukuyaona hayo ulipokosa uwenyekiti ndio ukayagundua unaelekaje Kwa wanaokusikia?
@RevokatusiKapugi
@RevokatusiKapugi День назад
Safisanaa
@AnithaShoo
@AnithaShoo День назад
Mungu atubariki simba yetu iwe imara ten
@RevokatusiKapugi
@RevokatusiKapugi День назад
Naipenda simbaa
@RevokatusiKapugi
@RevokatusiKapugi День назад
Boss sajiri wakweri
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 День назад
Ila tumempokea lkn TUWE na TAHADHARI Sana adui Hana rangi anaweza kutuchunguza mambo ya ndani
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 День назад
pole mumnyime cheo huko atakimbia hvyohvyo na msipompa nafasi ya kugombea ubunge happy Iringa atakimbia. unacheza na msoto wa miaka mitano wewe
@user-jz5ij6on8d
@user-jz5ij6on8d День назад
Kama uliiasi kazi ya mungu wewe hunatofauti nashetani
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 День назад
NDO MAANA KIPINDI HIKI KUNA BARIDI KUBWA KUHUSU SIASA UPANDE WOTE, HATUSISIMKI TENA, WWUNGA MKONO WAKATI WA MAGUFULI ULITUFUNDISHA KUWA TUNAVHEZEANA AKILI, BINAFSI WALA SISIKII USHAWISHI WO WOTE, LABDA TUNGOJE MWAKANI AU PICHA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA...KIKWETE, LOWASA, NI WATU WALIOWAHI KUNISISIMUA AJABU, LAKINI SASA NAONA KAMA GIZAA SIELEWI... HONGERA MSIGWA SIASA NI KUTAFUTA MAHALI MAJANI YAPO...
@funnuelmwalukasa4506
@funnuelmwalukasa4506 День назад
Alichelewa sana ilitakiwa ajiunge kipindi Cha magufuli pindi alivyomtoa Gerrezani mwaka ule mnakumbuka wahenga
@Chiduvanny-pn8hk
@Chiduvanny-pn8hk День назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-97w44RnWn34.htmlsi=ChUA5aqldetSqCkc
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn День назад
Naanza kuamini ule usemi, "siasa ni mchezo mchafu." Juzi tu Msigwa akiwa CHADEMA alikuwa akimzodoa raisi Samia na chama cha CCM kuwa hafai na ni mwizi. Leo baada ya kuhamia CCM anasema Rais samia anachapa kazi nzuri isiyo mfano! Mosi. nalishauri kanisa limvue cheo cha uchungaji kwa kutoa matamko ya ndumila kuwili na hivyo yanayokinzana. Pili. IGP amfungulie mashtaka Musigwa kwa kuidhalilisha CCM na sasa CHADEMA. Tatu. Nami nashukuru Msigwa kwa kuboresha ile orodha yangu maarufu ya wapinga mapinduzi duniani hususani kanda ya Tanzania. Nimemuorodhesha leo - mwanachama mpya! Na wenzetu katika lugha yao ile ya kikwetu, watu kama Msigwa wanawaita kuwa ni "hypocrites."
@Kwarasi
@Kwarasi День назад
Sasa utasemaje na umejiunga tayari msingawa acha kelele wewe nenda ukawe chawa chadema ipo na itakuwepo