Your house is so beautiful, cute and cozy. Enjoy your home and ignore haters who are just jelous of how you love each other. You will go very far just keep doing your best 🙏♥️
Iyo ya mwisho ni ya kuweka ile maziwa ya unga saa unatoka unabeba maji moto alafu sasa iyo kitu unaweka maziwa in intervals maybe chupa unaweka spoons mbili za maziwa so kwa kila kakitu unaweka spoons mbili so time ya kumpea ni maji tu unaweka moto alafu unaweka iyo maziwa kamoja kakiisha unakaweka mwisho ya zenye ziko na maziwa ako kakifuniko ndo unafungua apo juu ndo usimwage maziwa saa unaweka kwa chupa
Izo tin ziko kwa nyonyo niza kubebea maziwa azn yale ya unga.... Unaeka six spoons kwa kila ka tin kama utakua hunyonyeshi na matiti😂😂😂mi ni kadama so naonanga huku majuu😉😉🎉🎉🎉🎉🎉safe delivery mary Linda ❤❤