Liz, nakupenda sana na pia Mungu anakupenda zaidi. Mum wako alipo kushika mkono na akakutamkia neno la baraka alimaanisha alikuachia mungu, kaa namungu ngangania Yesu kristo mwana wamungu aliye hai nayeye juu nimwaminifu zaidi kwetu, hawezi akakuacha kamwe. Story yako kuisikia nililia sana kwanza pale pa ( enda mortuary ukate mamako nyama uje upike) iliniuma sana nanikalia . Liz na kuambia hivi hii mbingu kunakaanga Mungu. Mungu atendagi kama mwanadamu, yeye nimungu wakipekee. Nitakua nakuombea uzidi kumukalia huyu yesu, naye Yesu hatakuaibisha milele. Nahao walikua wanakuambia maneno mazito hivyo ukiwa class one, sasa unashine juu ya Mungu, uweke mipaka kwao, ukaemwerevu nakuwarebuke ni the name of the lord. Mum akiwa mbinguni anakuonaga nakukuombea. Mpende yesu sana ndio kila kitu kwa maisha yako.
nakubukuka interview ingine yako, ukisema, "ile siku atakuona kwa tv afunge hiyo tv asiiangalie tena", kikamba sounded very funny, nilijipata nacheka tu.
Liz i promise u you're going far just stick kwa mungu tu..mikono yake itakuinua zaidi nyenyekea zaidi kwake mungu..popote uendapo na chochote unafanya hue ukiona mungu