Тёмный

𝐃𝐈𝐍𝐈 𝐇𝐈𝐈 𝐌𝐔𝐌𝐄𝐈𝐓𝐎𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐈? // 🎙️𝑺𝑯𝑬𝑰𝑲𝑯 𝑨𝑩𝑼𝑳 𝑭𝑨𝑫𝑯𝑰𝑳 𝑸𝑨𝑺𝑺𝑰𝑴 𝑴𝑨𝑭𝑼𝑻𝑨 

Dawaa tu salafi💫
Подписаться 3,9 тыс.
Просмотров 3,9 тыс.
50% 1

‪@dawatul-salafi129‬ 💫
⬇️
USISAHAU ku subscribe na kugusa alama ya kengele ili uwe wa kwanza Kila tunapo achia video mpya 💫🌟

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@saidMahinde
@saidMahinde 3 месяца назад
Allah akuhifadhi sheikh wetu Abul fadhil mlinganizi wa da'awa ssalafiya pia Allah azidi kuunyanyua Utajo wako zaidi na zaid adi watu wa batili wakisikia utajowakotu zitetemeke nyoyo zao Allahumma amin
@ImranAmusavii
@ImranAmusavii 3 месяца назад
Alhamdulillahi sheikh wangu unapambanua mambo kW uwazii
@ShafiShitikolo
@ShafiShitikolo 3 месяца назад
Shiekh endelea kutuelimisha kabisa na mimi niko kenya naleta kijana yangu huko kusoma,nataka kujua ni si ngapi
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f 2 месяца назад
Allah akuhifadhi sheikh wetu Abdul fadhi Qassimu mafuta na akupe mwisho mwema inshaallah
@ShemsaSheranee
@ShemsaSheranee 3 месяца назад
Allah akulipe kheiri sheikh wetu Abul fadhl Qasim mafuta (Allah akuhifadhi)
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
Atamlipa kweli kwa dhulma anayofanya kwa waislamu wenzie huwezi kumuita mtu wa batwili kisa ajakubali sela zako hilo kwa Allah ni dhulma kubwa anayofanya mafuta na fitna anayoieneza ndomana shekhe utheiminy kawalipuwa kikundi lenu hilo bado ni katika kikundi cha kilichozuka zama hizi
@farsaabdallah2210
@farsaabdallah2210 3 месяца назад
Allah akuhifadh shekh wetu kasimu mafuta
@salumhamed5074
@salumhamed5074 3 месяца назад
Top alh sunna wajama
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 3 месяца назад
ALLAH akuhifadhi SHEKH kasim maftaa
@salumhamed5074
@salumhamed5074 3 месяца назад
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
@khamiskhamis9947
@khamiskhamis9947 3 месяца назад
Huyu Babu ana hasadi kweli sio mchezo.
@SaidSeif-d4y
@SaidSeif-d4y 3 месяца назад
Wakala wa wahabi mayahudi wa kisaudia
@saidMahinde
@saidMahinde 3 месяца назад
mbona cyo babu uyu shekh sema2 Allah kampa sauti ya hekma na busara ndomana ukimsikiliza utasema ni babu ila ukimwona atastaajabu
@user-ho1jn2pv3d
@user-ho1jn2pv3d 3 месяца назад
لاَ تَحَاسَدُوا وَلاَ تَنَاجَشُوا وَلاَ تَبَاغَضُوا وَلاَ تَدَابَرُوا ولاَ يَبِعْ بَعْضُكُمْ عَلَى بَيْعِ بَعْضٍ، وَكُونُوا عِبَادَ اللَّهِ إِخْوَانًا. الْمُسْلِمُ أَخُو الْمُسْلِمِ لاَ يَظْلِمُهُ وَلاَ يَخْذُلُهُ وَلاَ يكذبه ولاَ يَحْقِرُهُ. التَّقْوَى هَاهُنَا)) وَيُشِيرُ إِلَى صَدْرِهِ ثَلاَثَ مَرَّاتٍ ((بِحَسْبِ امْرِئٍ مِنْ الشَّرِّ أَنْ يَحْقِرَ أَخَاهُ الْمُسْلِمَ. كُلُّ الْمُسْلِمِ عَلَى الْمُسْلِمِ حَرَامٌ دَمُهُ وَمَالُهُ وَعِرْضُهُ Msihusudiane, wala msipandishiane bei wala msibughudhiane, wala msikatane, wala msiingie katika biashara waliyokwishaingia wenzenu, nyote kuweni ni waja wa Allaah ndugu moja. Muislamu ni ndugu wa Muislamu, hamdhulumu, wala haachi kumsaidia, wala hamdanganyi, wala hamdharau. Taqwa ipo hapa)) Akaashiria kifuani mwake mara tatu. ((Yatosha kuwa shari mtu kumdharau nduguye Muislamu. Kila Muislamu juu ya Muislamu mwenziwe ni haraam damu yake, mali yake, na heshima yake
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 месяца назад
Hii ni daawa ya attamayyuz,hamuwezi kumuelewa sheikh abul fadhli hafidhwahullah mpka msomee,mtaona kama anafaraqanisha ummah hivii,lkn kiukweli humi tz kulikua kuna sunnah za uongo uongo huo ndo ukweli,zamaani wale wanaojinasibisha na sunnah walikua na sunnah ya mdomoni tu lkn elimu ilikua mtihani,ispokua wachcahe sana walio wafiqishwa na allah,mpka ikafika hatua masufi wakisema,mawahabi hawana ufahamu,hii athari ilitokana na wengi ktk masheikh wanaojinasibisha na sunnah kushughulika mno na mataasisi,makongamano,kuliko kufundisha,watu mawaam wengi wao waliipenda sunnah maskiini,lkn namna gani yakuifata ilikua ni mtihani,hii ni kwa sabbu hawakujengwa ktk misingi ya kielimu,leo allah amewaleta maduaat wanao isomesha sunnah kisawa sawa ikaeleweka,mwaona wanaleta fur-qah,imefika hatua masufi wenyewe wanakiri kua masalafi wanasomesha na wanaelewa,enyi waatu shikamaneni na daawa hii kwa elimu na sio kwa jazba,mtaelewa nini yanayozungumzwa na huyu sheikh abul fadhwli,baaraka llahu fiikum.
@ilhamhaji8650
@ilhamhaji8650 3 месяца назад
Wafiika Barakallahu Swadakta
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 3 месяца назад
😂😂😂😂
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 3 месяца назад
Naam habiby kweli kabisa leo tumejuwa meengi kwa juhudi za Sheikh Qassim Mafuta Allah amuhifadh na masalafi wengine
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 2 месяца назад
Masalafy wengine unaowakusudia ni kina nani..!?? Maana kuna wengine tunawasikia pia Wanasema Kassim mafuta ni HIZBIY pia.. TUNAVURUGWA KWAKWELI
@AbdulkarimuYusuphu
@AbdulkarimuYusuphu 3 месяца назад
Naona shekhe unataka tujiunge na Tass yako hiyo haitokuwa uhibi
@mbjunior166
@mbjunior166 3 месяца назад
Sheikh Kassim Mafuta na wafuasi wake watakua na jambo la kujibu mbele ya Allah kwa kule kuifanya kwao manhaj ssalaf ktk ukanda huu kuwa ni Hizbiya! Japo daawa yao imeleta manufaa makubwa ktk ukanda huu wa wenye kutumia lugha ya kiswahili.
@uledihassan6065
@uledihassan6065 3 месяца назад
Mafuta ni mpiga kelele tu hakuna sheikh pale
@SaidSeif-d4y
@SaidSeif-d4y 3 месяца назад
Kasuku wa kiwahabi
@SaidSeif-d4y
@SaidSeif-d4y 3 месяца назад
Makeleleeee ya nguvu ya kiyahudi.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 месяца назад
Uwongo tuuuuu
@amiriadamu5256
@amiriadamu5256 3 месяца назад
Shingoyako nikama ya kuku tu inapaswa ku
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 2 месяца назад
Kasim mafuta wewe hufai kwenyejami yakiislam maswali ulioyaulizwa hukuajibu hatakufatwa hufai nakwahiodhuluma usubir kuwalipa mashekhe unaodhulumu hatawaislam wadogowadogo mnatukataza kuingia kwenyemisikiti musioyitataka kwania yakutugawamakund mtaulizwa
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or 3 месяца назад
Hawa mahizbi wazenj sasa wamekuja na mpya masabakahum ahada minal,alamiiyiina wanasema kuna makhuraf i nawao niwatu wasuna na kuna masalafiy
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
Allah atawahukumu watu kwa matendo yao hatomuhukumu mtu kisa umemuita ww hizbi hii dini so yako mlipaji so ww unavimba kichwa kujiona umeongoka kumbe yaweza kuwa nawe bado upo katika kundi la upotovu, kuwa salafi ni vitendo so kujitangaza ili watu wajue wemwnyewe unafanya ibada lakini bado hujui Allah atakulipaje unapatia au unakosea epuka ria mtume alikataza ria Allah atamuadhibu mtu kutomfata yeye na mtume wake na kufata mwendo wa swahaba hata tuhukumu kwanini atukufata mwendo wa salafi wa leo itaqi llah epukana na ghuruu na ushabiki vitakupelekea kuangamia
@AllyGilo-ey8fy
@AllyGilo-ey8fy 3 месяца назад
yeye mwenyewe mtu wamatamaniyo rejeeni maneno yakeyamwazo mtagundua huyu naye nimutuwamulo
@abusalmadangaadam708
@abusalmadangaadam708 3 месяца назад
Njaa fitna sana wajifanya muungu mtu ila kwakua wajinga wapo kila siku utaendelea kuwa pata
@jumamustafa820
@jumamustafa820 3 месяца назад
Hapa me cjaelewa Kwan hayo masheikh makosa Yao Yako wapi kwa sababu katika darsa zao hawaitaji manhaj salaf
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
Man hajji salafi mpk uitaje ndo umekuwa salafi dah!! hatari kweli shida hawa so kutaja usalafi shida ukisoma maneno ya shekhe utheymeen alowarud hiki chama cha kina mafuta kinachojiita salafi umeingia vita nao hizbi mubtadi,majina chungu mzima utapewa sasa mi nawashangaa kauli za shekhe zipo waazi kama wameona kumrudi shekhe hawqwezi sasa vita kwa wanaobanisha zile kauli za shekhe kauli ile inawauzi Hawa hawaitaki ndomana utakuta vita yao na mtu huwezi nyamazia hakki uzuri shekhe kataja kweli sifa zao nakutahadhari i nawo sasa utanyamaaje wakati kauli hizo zipo na shekhe amesema eidha wamepotea baadhi ya maeneo au wamepotea kabisa ukisomea watu vita na watu Hawa itakukumba tuu
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 3 месяца назад
MNADAI PICHA NI HARAM NA MNAZITUMIA KATIKA AUDIO ZENU. MTAKUJA KUAMBIWA MUZIWEKEE ROHO SIKU YA QIYAMA
@HamadHamad-j9p
@HamadHamad-j9p 3 месяца назад
Sasa je sheikh abuu muawiya ame mtukana nani mbona hapa tuna pindishwaa Hapana jawabuuu
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 3 месяца назад
kassim mufuta daawa yako ni salafiyyah ila ulipo ingiza uhizbiyyah asie afikiana nawe sio alo afikiana nawe ndie... hiyo ni kinyume na salafiyyah hebu ndugu yako muislamu sheik Abu Muawiyah Allah amrahamu ni lipi kubwa lililofanya wewe kumtwaani mpaka na wazazi wake kisha sahivi vijana wako huwaadabishi wamamtwaan hata baada ya kufa we waona hayo ni maaruf...
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
Ndo shida ya mtu kujiona upo kwenye hakki kumbe unaharibu zaidi siku zinavyoenda ufedhuli wenu unaonekana kuwa ni upotovu sunnah imefikia kiindi kujuwa we mwana sunnah indicator shekhe fulani ukimuharifu rai yake ww so mtu wa sunnah hiyo mpya kweli mmekuja nayo et mtu anaambiwa fulani usimsikilize nae anasetiwa kama robot kipote kina mambo hicho subuhana llah Allah awaongoze kila mtu anatowa red card kwa mwenzie we so salafi kumbe kuna watu wana mamlaka ya kutowa watu katika njia ya sunnah kirahisi rahisi tuuh et kumjuwa mtu wa sunnah tz anaemfata mafuta kumjuwa hizb au mtu wa bidaa anae mpinga mafuta watu wamefikia huko saivi si sunnah kumfata mtume na swahaba imekuwa kumfata shekhe fulani saivi umeharifu humoo katika uwanja daah umekuwa mchezo fulani sinema
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 3 месяца назад
Vijana wake wepi? Una uhakika ni vijana wake? Fatilia mambo ndgu usimuingize mtu kweny makosa yasiyomhusu! UTAULIZWa....!!!!!
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 3 месяца назад
@@ABUUBAAZNYUNGU hawa wanao mtwaan Abu Muawiyah na kuandika upuzi BAADA kufa kwake ni wanafunzi wa nani au wanajinasibisha na nani? Kisha swali kubwa nlilo uliza walikwepa mbona kasim mafuta akatae sulhu na abu Muawiyah? Mbona alimtenga na kumutoa kwenye usalafi bila ya vigezo vya sheria? Huoni hii yatosha kuwa dhulma???? Mbona asibainishe uhakika wa mambo na kulinda heshima ya nduguye muislam BAADA ya kufa kwake
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 3 месяца назад
@@ABUUBAAZNYUNGU mbona sio waadilifu nyie sisi umaati Muhammad صلى الله عليه وسلم Allah ametusifia sifa ya uadililfu. Kuweni na inswaf
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 3 месяца назад
@@ramaqaasim239 nyie ndo mnakosa uadilifu kumtuhum mtu kosa ambalo so lake.....waliokosea ni vijana wa Kassim Mafuta??? Yaan kwann kassim Mafuta??? Kila kitu Kassim Mafuta???.......KUWENI WAADILIFU KATIKA KUMHUKUM MTU
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 3 месяца назад
WEWE MAFUTA NI DAJJAL MKUBWA.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 месяца назад
We kasim mafuta unakosea sana kaka angu Sababu Umejitengeneza kuwa ww ndo dini Kila ataekusema ww si mtu wa sunna Kila ataekusifu ww mdo mtu wa sunna Acha his sio dini Ni ujinga
@MohamediHasani-bm6xu
@MohamediHasani-bm6xu 3 месяца назад
Umelishwa chuki wewe hebu mfuatilie katika darsa zake ndio ujue nn kinachozungumzwa katika darsa zake
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
Watu hawa ni kuwapuuza tuh shekhe uthaymeen katoa dalili na kundi lao hilo nii kuwa na tahadhali na watu hawa na maneno ya shekhe yakisomwa hivi yanawauma xana ukiyasoma tuu yale umekuwa adui yao ww so mtu wa sunnah hili kundi limefikia kubaya sana ulimwenguni na ndomana maulamaa wakbwa wameandika vitabu kuhusu wao na mpk kina shekhe fauwzan hawo wana fatuwa zao kuhusu wao wanafanya haya kwa jina la usalafi lakini hakki ipo mbali na wao salafi hawakuwa kama huyu mafuta Allah awaongoze wamesababisha mpk wasio waislamu wauchukie uislamu leo
@dawud6065
@dawud6065 3 месяца назад
Wakulalamikiwa khas ni hawa wafuasi/mashabiki wenye kuendeleza ushabiki katika Diyn sabab ni wenye kujenga mapenzi na madua't ambao ni wenye kuwafikiana na Shaykh au ma-shaykh wao na kuwachukia walitofautiana na mashaykh wao kwa sababu tu Shaykh au ma-shaykh wao wamesema mtu fulani ni mpotofu kwa fikra zao wao na kubebeshwa fikra hii hawa wenye kushabikia na kupenda ugomvi usio na natija yoyote kupelekea kuchukia mtu pasi na haqq.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
@@MohamediHasani-bm6xu hana jipya huyo tunjuwa vzr tuu uadui wake hapo nikule kusoma fatuwa ya utheemny kuhusu hilo kundi lenu ukidiliki kuyasoma yale maneno ya shekhe umeshakuwa adui wao sasa amrudi shekhe usiwarudi watu wanaosoma nukuu zake kuwatahadhalisha watu na kikujndi kilichozuka ndani ya ahlsunnah kuwabadii watu na kila mwenye kwenda kinnyume na wao we so salafi shekhe kasema shikeni njjia ya mttume na swaba kuruani na sunnah kikundi kiwekeni kushoto vita ndo ipo hapa ukisoma hivyo we ishakuwa adui wao
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
@@MohamediHasani-bm6xu mtu ili uwe mtu wa sunnah mpk uwafikiane kumfata jishekhe fulani subuhana Allah awaongoze watu Hawa wajiona wapo kwenye kweli kumbe bado kuna maeneo wamepotosha maana halisi ya ahlsunna na kauli za wanazuoni kuzikiuka kuna sunnah imekuwa kumfata fulani so mtume tena na swahaba mfate shekhe ujamfata amtakae yey hizbi mubtadii salalaa!!! Ndo shekhe utheimeeny katowa dalilizao ni kuwatia watu katika bidaa na kuwaita khwariji hata wasostahiki kuitwa kuna moja nilimsikia anasema kjuwa mtu wa sunnah tz yule anae mfata mafuta na kujuwa mtu wa bidaa anae mpinga mafuta ndo ghuruu zimefikia huko yasalamu mmoja nae nikamsikia anasema maneno ya shekhe raby kama wahy duuh! hiki kikundi kipotovu kimekaa kwenye mwavuli wa watu wema ndomana shekhe utheimeeny kasema wapo karibu na kupatia aidha kuna baadhi ya sehemu hawajafahamu au wamepotea kabisa au baadhi ya maeneo
Далее
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн
#Sh_nduwamungu_Idrissa Aburiye Abubatse n'ingaragu.
16:32
RAFIKI WA ALLAH NI YUPI ? SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:12:40
Просмотров 15 тыс.
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн