Тёмный

🔨🔨🔨IJUE HALI YA ABU MUAWIYA NA ABUU ZAKARIA KUNAKO DA'AWAH HII SALAFIYYA 🎙🎙ABUU MUHAMMAD 

Al Khayr Online Media
Подписаться 2,3 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 4 месяца назад
بارك الله فيك وجزاك الله خيراً يا شيخنا الفاضل
@ABUU_SAAD-ut4fd
@ABUU_SAAD-ut4fd 3 месяца назад
هداه الله شيخكم أبا محمد
@mtawatawatvonline8393
@mtawatawatvonline8393 4 года назад
بارك الله فيك
@HASSANMOHAMED-dh6iv
@HASSANMOHAMED-dh6iv 2 года назад
UKhabith kalamul khabith
@mussasalafiy
@mussasalafiy 3 года назад
Allaah akuongoze
@MALELEMBARIMO
@MALELEMBARIMO 2 месяца назад
Hizi clip nyengine zifuteni wallah ni aibu
@SalahAli-rq5sp
@SalahAli-rq5sp 2 года назад
Nyinyi ni washenzi muna tabia za kishenzi.na masalafi mubaiharibu sana hiii dini wallahi ila Allah atawalipa hapa hapa duniani.
@khamisali5978
@khamisali5978 2 года назад
NADHANI SHEIKH UNGALIBAINISHA WANAVYO HARIBU DINI MANA SISI WENGINE HATUJUI KUPAMBANUA MAMBO. TUNASIKIA TU SALAF LKN HATUJUI NI NN. EBU NISAIDIE KATIKA HILI PLZ.
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 4 месяца назад
Ww huna elimu kaa chini usome ili usiwachukie watu wa haq
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 3 месяца назад
Na nendaa uwaaambie wenzio wote kuaa abuu zakaria sio sawa yanguuu kibarraka
@Jureyji
@Jureyji 2 месяца назад
Sijaelewa hapa
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 3 месяца назад
Sikiliza nduguu sisi hatukjkibali wewe humfikii hata nusu abuuzakariyah
@abufatmawario6299
@abufatmawario6299 3 месяца назад
Nyinyi wote njia yenu ni hiyo.. si mlikuwa mnatetea Mohammad Imam.
@OmarAbdalla-ug5yg
@OmarAbdalla-ug5yg 3 месяца назад
Hiii ndio athari na udhalili wa kuongea mambo usio yajua au kadhia usizo zijua nna aamini hivi sas anajuta akhy Abuu muhammad...kwa sbbu tayri imebainika...kwamba رحمه الله Yupobali na uongo wako...hhhha...msiongee katika dini kwa pupaaa na kutaka kuyavaa maambo....Rudi kwa allah Al akhh Abuu muhammad...hivi kweli unaeka wapi uso wako katika swafu ya kisalaf T.znia....Kwa kweli tushabainikiwa na haqqi ya yasheikh Abuu Muaawiyah Umekurupuka akhy.....
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 3 месяца назад
Hki gani iyoo akhy nauliza tu ili nifahm man naon vurugu tu
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 3 месяца назад
Jinga kbs
@Muswlih
@Muswlih 9 месяцев назад
Siokwel shekh japokuw mim ni mwanfunz wako lkn kwahili sikuwafiki
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 4 месяца назад
Wewe mwanagunz unajifunza utajua nini sasa wala haikusaidii
@ABUU_SAAD-ut4fd
@ABUU_SAAD-ut4fd 3 месяца назад
Kumbe kachoka na anakata utata kwa matakwa yake..
@khamisabdulla9517
@khamisabdulla9517 5 месяцев назад
Mh
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 4 месяца назад
Muhammad mafuta hizbi
@HASSANMOHAMED-dh6iv
@HASSANMOHAMED-dh6iv 2 года назад
Makhabith
@masoudabdallah9878
@masoudabdallah9878 2 года назад
Huyu mpuuzi ni nan?
@OmarAbdalla-ug5yg
@OmarAbdalla-ug5yg 3 месяца назад
hhhhhh yeye mwenyewe anaogopa kusema kama ni hizby hahaha ujue kama uongo weye muongo sheikh Abu muhammad Rudi kwa Allah....
@MohammadJumah-qk2xc
@MohammadJumah-qk2xc 8 месяцев назад
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
@abuuaiman9575
@abuuaiman9575 2 года назад
kwanza ijue haki utawajua watu wake piga maneno pemben daawa salafiwa inazid kuwa na nguvu ukipinga unaleweshwa ukiwa mbish tunakubainisha na wewe endelea kutetea usichokijua
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg 2 года назад
Laiti ungeliitambua nafasi yako ktk Dini hii na nafasi ya wenzako usingefikia kusema maneno haya. Ila usisahau kila kinacho tendwa ni lazima kiwe na majibu ya kutosha mbele ya Allaah Azza Wajalla. Usilisahau hili.
@بنمفازي
@بنمفازي 3 года назад
Hivi Hadi sasa Kuna makundi mangapi ya Masalafi ??? Allah ameahidi kuinusuru dini yake na kweli kidogo kidogo anathibitisha bcoz hawa wanaojiita Masalafi wanaanza kulana wenyewe kwa wenyewe na wale ambao Allah aliwajaalia IMAAN japo wanasemwa hawana ELIMU wamesalimika bcoz Allah kawashughulisha wenyewe kwa wenyewe hawa wanaojiona wao ni wasafi hadi kujiita Firqatu - Nnajia ambapo Sayyidna Omar - Radhia Allah Anhu (R.A) aliwahi sema laiti siku ya Kiama Allah aseme kuna mtu mmoja katika watu wote hatosalimika na Adhabu yake basi Sayyidna Omar (R.A) anasema anadhani atakuwa ni yeye ; leo unajiita Firqatu - Nnajiya yani umesalimika tayari - سبحان الله Walokole wanajiita wameokoka na leo atokea Salafi anajiita Ameokoka, na haya ndio malipo yake kuanza kulana wenyewe kwa wenyewe. Fikra za kuwa usimsikilize Sheikh fulani zilianza kwa Makuraish kuwaambia watu wanaokuja Hijja enzi za Ujahiliya wasimsikilize Rasulillah Swalah Allah Alayhi wasalam , nazo ndio zimekita itikikadi ya Kisalafi kuwa Masheikh fulani wasisikilizwe ; huku si kuwaiga Majahiliya wakati Mtume (SWA) amesema watu waende hadi China kutafuta elimu mda ambao hakuna ushahidi hata kama Uislam umefika China , Mtume (صلى الله عليه وسلم ) alitaka watu wakasome Ushirikina au nini wakati kitovu cha elimu kiko kwake ??? Wewe kuwa na Ikhlas na Elimu tu, Allah yeye mwenyewe atakuletea wanafunzi sio kusema nisikilizeni mimi, yule usimsikilize. Nyengine ikaja hata kama elimu ipo ktk mdomo wa jibwa inatakikana ichukuliwe Leo sasa wale MAHIZBI, MUBTADIA, MASUFI, wamekuwa wao wenyewe kwa kuitana ikiwa ni dalili kama hii dini ya UISLAM ni منصور ila kiyaamu Ssaaghat bali Shub - hati nyengine zozote ni za mda mfupi tu Farqa haimuwachi mtu salama popote pale, hata iwe nyumbani kwake na watoto wake, iweje ktk dini ya Allah. Juzi nasikia pia kule Misri kuna Sheikh anaitwa Sk Raslan na yeye sasa kwake watu wasichukue Elimu ; wakati kabla alikuwa ni ktk Masheikh wakubwa wa Kisalafi, daah Masalafi wanatupeleka wap ; bali bcoz UISLAM ni dini ya haki, basi, UISLAM tayari Allah kashaahidi kuihifadhi bali sina shaka USALAFI baada ya muda mfupi utakuwa ni wenye kutajwa fitna zake Mimi nafuatilia sana Audio za wanaojinasibisha na USALAFI bali bcoz ni ELIMU naona durusi zake ziko mbali na wanaojinasibisha na USALAFI , nikimaanisha ELIMU siku zote humuweka mtu salama, bali ushabiki (USALAFI) humuweka mtu pabaya Mtu asijinasibishe na USALAFI hadi kuwatukana watu bcoz hata FIR' AUN (لعنة الله عليه) alikuwa SALAFI angalia suratul Zzukhruf (43 : 56) ; فجعلناهم *سلفا* ومثلا للاخرين Kwa kumalizia ; najua nilichoandika kitasambaa na kuonekana na wengi, bali nimuombe Allah anisamehe isije ikawa sababu hata kumfarikisha Muislam 1, sisemi anayejiita Salafi, bcoz naogopa kukutana na Allah ikawa sababu ya kusababisha mpasuko ktk dini yake hata ya usawa wa ufa mdooooogo wa ukuta, watu waisome kielimu, atakayeona ina manfaa sawa, atayeona haina manfaa pia sawa, سوف يحكم الله بيننا bali isiwe sababu ya mpasuko ktk dini ya Allah na naamini ikiwa mtu ataisoma na kupambanua kupitia neema ya akili aliyotupa Allah haitaleta Farqa katika dini yake Inshaallah Assalam Alaykum !!!!!
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 2 года назад
Umeandika Upuuzi mtupu. Hakuna Aliyebainisha kuwa Sheikh Raslaan Kapinda.Na Nina hakika Sheikh Yupo juu ya Manhaji. Hakuna Mpasuko ktk Umoja bali Kunatokeaga Fitna. Sas kuna Watu wamekumbwa na Fitna hii ya Yahya Hajuuri Ambay amepinda.
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Год назад
@@أبوفيصل-د3ش ni kweli amepinda kama mlivyopinda nyinyi mabaraamika Allaah awaongoze
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Год назад
@@أبوفيصل-د3ش Amesema Sheikh Yahya Allah amuhifadhi na amchunge baina yetu sisi na baina ya yule mwenye kutuzushia uongo yaan ( ktk hii daawatu assalafiya ) ni kitabu cha Allah na sunna za Mtume swaahu Alaihi wassallam na vile vile ni kisimamo mbele ya Allah
@SaideOmarNaimo-fd9xw
@SaideOmarNaimo-fd9xw 9 месяцев назад
Wa ãlaykumus salaam wa rahmatulláhi wa barakaatuh!
@oss_oss151
@oss_oss151 4 месяца назад
waalaykum salaamu warahmatullāh wabarakaatuh.
@abubakarkhamisi3931
@abubakarkhamisi3931 2 года назад
(نقول أنه جاهل) 😂😂😂😂😂😂🤔🤔🤔. تعلم علم النحو ،
@hamdanzagar9133
@hamdanzagar9133 2 года назад
Huyo Jaafar Swaleh anamalaka gani katika kubidaisha watu huyo ni mjinga kama wajinga wengine
@abubakarkhamisi3931
@abubakarkhamisi3931 2 года назад
Kwanza huyo ndio ana mikhaalaf kibao akiwa n watu nd anajikuta salaf akiwa huko kwao ana takabbur na anajikut hamn shekh isipokuwa yeye na anafanya taassubi kwa wanafunzi ukienda kusoma kwake kam sio w kigom utafurah na shooo anafanya taassub sana ila yeye anapenda watot wake wa kigom ndo wasome.. kikubwa huyo ni khabith tu
@saadallah6287
@saadallah6287 4 года назад
بارك الله فيك
Далее
Brawl Stars expliquez ça
00:11
Просмотров 6 млн
Ubainifu Juu Ya Upotoshaji wa Jadiydah Abuu Rajab
13:07
WANAOCHAFUA USALAFI NI MASALAFI WENYEWE || ABU MUAWIYA.
1:14:00