Тёмный

🔴 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@princessmimi4404
@princessmimi4404 2 года назад
Chuchu jina lake aitwa Rehema miraji na mtoto wake wa kwanza amezaliwa mwaka 2003 alizaa na muhindi nahisi morogoro aliacha shule akiwa form2 popatlal sec na chuchu kazaliwa mwaka 1986
@theopistachialo10
@theopistachialo10 2 года назад
😂😂sio kwakumjua huku nasikia mtoto wake mzuri kuliko yeye
@princessmimi4404
@princessmimi4404 2 года назад
Masha allah sana mzuri eee namjua sana tu🤣👍
@ashurajuma9086
@ashurajuma9086 2 года назад
penda,sana my chuchu,,mate mwenzangu kitambo sana wakati tuko shule
@FatmaMohamed-cq2tn
@FatmaMohamed-cq2tn 3 года назад
Very nice nampenda film zake Sana.ila atuambie historia. Mamake yupo na baba ama vipi. Atufungulie
@sabrarak9989
@sabrarak9989 2 года назад
Wasanii wanapenda kujifanya wana miaka midogo
@joezeno8
@joezeno8 2 года назад
Kweli, wana Fake saana
@mwajabuomary804
@mwajabuomary804 2 года назад
Jmn uyo chuchuu veeep n johar wanaugomv wowote kwa ray@jay hpaaaaaa
@neemadaudi3294
@neemadaudi3294 2 года назад
Hi diva much love kwenu muulize Anaishi na watoto wake wote kwa ray
@greyson67
@greyson67 2 года назад
Diva kunamda sisi wanaume tunavumilia ila ulizoea maisha utakua bwege
@mandelahumri2293
@mandelahumri2293 3 года назад
Pole sana
@gorretagatha6267
@gorretagatha6267 3 года назад
Uongo diva ww ni mzee acha kudanganya, we na Johari ni Rika moja
@joezeno8
@joezeno8 2 года назад
Diva ana Fake sanaa! Diva ni mkubwa kuliko Johari
@revocatusrubaba4416
@revocatusrubaba4416 2 года назад
umri namba
@mounatheboss8797
@mounatheboss8797 3 года назад
So cute 😍 مشاء الله ❤️
@mounatheboss8797
@mounatheboss8797 3 года назад
Look like Tony Braxton 💞
@merianhalibunyoha2629
@merianhalibunyoha2629 2 года назад
Si mwelewagi kabisaaaa huyu mdada hata sijui
@japhethslayo2024
@japhethslayo2024 2 года назад
Kweli
@shadiaally2217
@shadiaally2217 2 года назад
Diva hich kipind ni cha wat wote mbona unachukua mastar bas
@marystephen944
@marystephen944 3 года назад
Anaboaa sasa kaja kufanya nn hapo km hawez kufungukaa
@selinajohn536
@selinajohn536 2 года назад
Yaani Diva ungemtafuta Mainda ungepata story nzima,, maana alishasema kwenye mahojiano flani,,,, Namnukuu kidogo(Alisema Rey alikuwa na mahusiano na Mainda pamoja na Johar so Chuchu nae akaingia kati so akawa anawachanganya bila kujijua mwisho wa cku wakajuana ndio bifu lilipoanzia,,, nakuomba mtafute MAINDA 😀
@thebosslady9001
@thebosslady9001 2 года назад
@@selinajohn536 ni kwel kabisa hata me niliiyona hiyo inta hasemi ukweli mana yy pia mwizi😂😂😂
@selinajohn536
@selinajohn536 2 года назад
@@thebosslady9001 Umeona eeh 😂😂 wanatuzungusha wanatuona sisi watoto wadogo😂 kama Ray hakuwa na mahusiano na Johar chuki za nn sasa 😂 pumbavu zao 😀
@thebosslady9001
@thebosslady9001 2 года назад
@@selinajohn536 Yan amenifanya mpk nimeirudia ile inta😂😂yy alikuwa anamuomba amwambie loshen gan anapaka 😂😂😂 anampigia simu mainda rey anakupenda kumbe kalala nae usk kucha😂😂😂muongo kadanganya Dunia hajui inta zinadumu😂😂 shoga karudie inta utaskia habar km ulisahau😂😂😂
@thebosslady9001
@thebosslady9001 2 года назад
@@selinajohn536 kasema hajatembea na mume wa mtu mainda kasema alikuwa katembea na mume wa mtu anaitwa mo😂😂😂😂😂 na akafumaniwa liveee bila chengaaa
@keifatuke99
@keifatuke99 2 года назад
Mbona wanaume wanadonyoa usiku na mchana,mwaga mboga amwage ugali
Далее
🔴LIVE: SPORTS COURT NDANI YA WASAFI FM - 25-10-2024)
1:05:46
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
NAH UH
00:17
Просмотров 2 млн
iPhone Flip станет ХИТОМ!
00:40
Просмотров 387 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [59]
21:52
Просмотров 25 тыс.
🔴LIVE: JANA NA LEO NDANI YA WASAFI FM - 25-10-2024)
26:22
А как?
0:12
Просмотров 9 млн