Тёмный

🔴 

EastAfricaRadio
Подписаться 509 тыс.
Просмотров 2,1 тыс.
50% 1

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@zillerbas7048
@zillerbas7048 26 дней назад
Watching from KLF Kenia ...Ukizungumzia mcees wanaopeperusha benderq ya east Africa tusimsahau mex Cortez na freshlikeuuh
@JumaNgala-j7d
@JumaNgala-j7d 19 дней назад
Kalolen moja
@RobertMwamlima-ek9pd
@RobertMwamlima-ek9pd 26 дней назад
bar city baby❤ ,who gat barz ? Mex got bars
@kilimohub580
@kilimohub580 26 дней назад
noma
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 26 дней назад
That's hip hop raw Uncut ❤
@njoroboihastla
@njoroboihastla 26 дней назад
Mex.cortez a.k.a Nalmendraa
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 26 дней назад
Hawa ndio watu wa kupewa nafasi
@nyotamy3678
@nyotamy3678 26 дней назад
Mex
@fredrickkakila9392
@fredrickkakila9392 26 дней назад
❤❤❤❤❤
@PaulNgoroi-xv3eq
@PaulNgoroi-xv3eq 26 дней назад
Shida kubwa Nikwamba wa Tanzania 🇹🇿 wengi hawajui tofauti ya mainstream rappers na underground rap ndiyo maana mnachanganya maji na mafuta
@njoroboihastla
@njoroboihastla 26 дней назад
Cortez ni underground???
@Dundo-tv6005
@Dundo-tv6005 26 дней назад
Uyu mwamba namkubali
@user-yw4og4vn5t
@user-yw4og4vn5t 26 дней назад
Natamani jamaa afikembali kimataifa ili atuwakilishe Tanzania🇹🇿🇹🇿
@mimibusarachibu
@mimibusarachibu 26 дней назад
Mi nilishasemaga sana, huyo mtu wenu Young Lunya ni Utopolo tu, hawezi hizi pigo za Mex Cortez
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 26 дней назад
Sisi hatubishani tunaangalia namba na wasikilizaji tu mana tukibishana tutapotezeana muda tu😁
@mugadimon3563
@mugadimon3563 26 дней назад
​@@Oldskulgemini9991Sasa ndio unapopotea msanii akiwa na wasilikilizaji wengi ndio anajulikana sana? Sio kweli nenda china & Korea huko kuna watu wanawasikilizaji wengi na hatuwajui
@mugadimon3563
@mugadimon3563 26 дней назад
​@@Oldskulgemini9991fact huna mtu kaingiza nyimbo mpaka kwenye mixtape ya msanii mkubwa wa hiphop marekani halafu wewe kutoka bongo unasema hajulikani 😂😂😂😂. Wewe ndio unaleta story
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 26 дней назад
@@mugadimon3563 nani anaemjua Mex Cortez bana na wewe Ebu acha siasa bana😂 kuingia kwenye mixtape ya msanii inatokana na msanii mwenyewe kukubali tu uwezo wako haimaanishi ndo umekuwa mkubwa bana😅 Sasa Mzee unataka fact Gani hapo, nimeshakupa hapo kwamba tafuta nani anawasikilizaji wengi kwenye digital platforms zote nani ana showbiz kubwa kuliko mwenzake ndo urudi na majibu hapa, acha kurukaruka twende kwenye point
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 26 дней назад
@@mugadimon3563 hao wasanii wa china wanajulilana Sana huko kwao Asia Sasa wewe unataka uwajue wasanii wa china we mziki wao unaelewa? Hakuna msanii Duniani ambae anawasikilizaji wengi alafu asiwe maarufu hizo fact zako za uongo kabisa, Dunia nzima ukiona msanii anawasikilizaji wengi lazima na umaarufu uwe mkubwa ukiona wasikilizaji wadogo hata umaarufu lazima uwe mdogo
@IssaChijuni
@IssaChijuni 26 дней назад
Young lunya ninoma sana sema tyu amutaki kuelewa pia wasaniih wenu awajulikan
@user-oy7om7im1e
@user-oy7om7im1e 26 дней назад
LUNYA HAMNA ALICHOMZIDI HUYU JAAMAAAA N BALAAA LUNYA KAMZID MEX CORTEZ LABDA HERUFI ZA MAJINA
@mugadimon3563
@mugadimon3563 26 дней назад
Mex Cortez yupo kwa mixtape(who got bars volume 2)ya mkali wa hip hop marekani KING CASSIDY sasa hajulikani. Best hip hop artist East Africa khalighraph Jones anamjua.
@HerokuPlatform
@HerokuPlatform 26 дней назад
ivi wew unamjuwa kweli uyo Mex 😂umfaananishe na young kunya
@impeccablerito7922
@impeccablerito7922 26 дней назад
Uwezo wa kufikiri na uwezo wa akili ya mtu unapimwa kwa maneno yake ni wazi una akili vinyu. Msanii mkali anapimwa kwa Talent na Skills. Sasa ww ukiangalia Umaarufu you're fuckin' STUPID. Mex anaweza kufanya anachofanya Lunya, JE Lunya anaweza kufanya anachofanya Mex kuanzia utunzi, Lugha na kutwist flows kama Mex ??
@mugadimon3563
@mugadimon3563 26 дней назад
@@impeccablerito7922 😁😁😁😁😁 madogo wanazingua
Далее
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 1,2 млн
Fid Q feat Mex Cortez & Lord Eyez - SIMBA
4:48
Просмотров 27 тыс.