Тёмный

🔴 

KUSAGA TV
Подписаться 179 тыс.
Просмотров 100 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 406   
@ttyy7642
@ttyy7642 2 месяца назад
From🇧🇮naomba nyota yaba totoyangu mbakuwe nahakiri baache bitu byagutembea nanyota yamasomo mtoto wangu muwakwanza kwashure Anakuwa wamwisho🤲🏾🤲🏾😢😢 Anaitwa ndanick pasta priz ubaombeye miniko saudia nikonapamba tu😢namipia uniombeye nipatenguvu nawabos wanipende nawatotowao waniongezemushahala
@David-g6w8j
@David-g6w8j 2 месяца назад
Pastor niombe Ni pate nyota y Maisha yangu tafadali Niambishe wachawi in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏
@MaryNakutwa-p3o
@MaryNakutwa-p3o 6 месяцев назад
Amen Mungu wangu sitakuonea haya nkikumbuka umbali umenitoa Yesu wangu nashukuru sana Jina lake liinuliwe milele
@HannaGathoni
@HannaGathoni 6 месяцев назад
Uuu it justn Y
@HannaGathoni
@HannaGathoni 6 месяцев назад
It it uuuui to ii
@jastinnkya
@jastinnkya 6 месяцев назад
Amin sana mtumishi wa MUNGU akubariki sana mtumishi
@festochengula4718
@festochengula4718 7 месяцев назад
Naomba MUNGU anifanikishe katika matamanio yote ya MOYO wangu yaliyoyahaki mbele za YESU!!AMINA!
@josephinemasaki-zv7te
@josephinemasaki-zv7te 4 месяца назад
Na hii ndio injili ya kristo ya kweli mungu Naomba umponye mama yangu uinue uchumi wa family yangu uwasaidie watoto wangu ktk elimu zao nione wakipata kazi nzuri ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@joannekinuthia785
@joannekinuthia785 3 месяца назад
Cancer die in the name of Jesus read Psalms 112:1-4
@joannekinuthia785
@joannekinuthia785 3 месяца назад
I shall live and not die Psalms 81:10
@MariaDismasDismas
@MariaDismasDismas 28 дней назад
Mtumishi bwana yesu asifiwe mm ninashida ya uchumi naomba uniombee na watoto wangu wafaulu shuleni wotee na pia ninachangamoto ya ndoa mtumishii naomba maombi yako mtumishi
@stelladronia-xt5oe
@stelladronia-xt5oe 6 месяцев назад
Maisha yangu n ngumu naomba maombi Nyota ya ndoa pastor.bwana yangu Arudi nyumbani
@damarisbonuke9682
@damarisbonuke9682 5 месяцев назад
I need prayers postor wa
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 6 месяцев назад
Amen Amen naomba nyota yangu ya ndoa ya uchumi ujenzi mtaji irudishwe Kwa mamlaka ya jina la yesu
@David-g6w8j
@David-g6w8j 2 месяца назад
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jonathanmella9888
@jonathanmella9888 5 месяцев назад
Hata Mimi sitski kionea haya injili yà Yesu. Amina.
@DaizyAchieng-r8i
@DaizyAchieng-r8i Месяц назад
Very blessings may God grant me grace
@margaretamakobe7344
@margaretamakobe7344 6 месяцев назад
AMEN. Ninaomba Nyota yangu iregeshwe
@PatrickBarasa-sn8xi
@PatrickBarasa-sn8xi 6 месяцев назад
Pastor you really touch my heart may the Almighty God add you more years of your life Amen
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 7 месяцев назад
Amen sitaionea haya injili ya Bwana hata maadui wanicheke niko na Yesu ❤❤
@VikiBonnke
@VikiBonnke 27 дней назад
❤❤❤❤❤ Amen
@JanepherMakokha-uy6bo
@JanepherMakokha-uy6bo 7 месяцев назад
Yesu.naomba uponyaji wa ndoa za watoto wangu kupitia haya madhabahu haya waoleke ndoa za heshima kwa jina la yesu kristo
@Priscillar-e1i
@Priscillar-e1i 7 месяцев назад
Amen 🙏 🙏 🙏, Mungu nakuomba uniponye na mm hizi magonjwa ninazo zipitia in Jesus name AMEN 🙏 🙌
@Johnmwisyo
@Johnmwisyo 6 месяцев назад
Amen mungu nilinde na ulinde familia yangu na unilinde apa kazini
@MakokhaMakokha-ip3wi
@MakokhaMakokha-ip3wi 3 месяца назад
Napokea nyota yangu kwa jina LA yesu,AMEN
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 7 месяцев назад
Napokea nikiwa mombasa,nami pia mtuzi naomba utawale maisha yangu siku xote popote natembea pia family yangu ipate nyota ya kufanikiwa shuleni ndoto mbaya spiritual woman iniachilie na umasikini iishe kwangu na watoto wangu wafunguliwe wapate nyota ya kufanikiwa shuleni ndoto mbaya spiritual woman iniachilie na umasikini iishe kwangu na naomba ukae ndani yangu baba,
@cheropkiboi5883
@cheropkiboi5883 7 месяцев назад
Napokea hiyo baraka.amen
@mutisomakarious-tj1xq
@mutisomakarious-tj1xq 6 месяцев назад
Naomba nyota yangu ingaee katika jina la yesu amen
@MaryAlfani
@MaryAlfani 6 месяцев назад
Mm pastor Ezekiel naomba Nyota ya ndoa
@AnnaJacobo-q4i
@AnnaJacobo-q4i 6 месяцев назад
Naomba nyota ya ndoa na nipate biashara,,.
@ElibarikiPeter-g7j
@ElibarikiPeter-g7j 6 месяцев назад
Amina nabarikiwa sana na mafundisho yako Mtumishi wa MUNGU
@EuniceMusau-nq2wb
@EuniceMusau-nq2wb 6 месяцев назад
Ndoa yangu ipone Leo na ifunguliwe leo katika jina la yesu amen
@ritharushubiza7457
@ritharushubiza7457 7 месяцев назад
Napokea nikiwa 🇳🇦 Namibia.Bwana yesu nakushukuru kw uponyaji wa mgogo .Asante yesu.
@EdithMuhonja-gz3pg
@EdithMuhonja-gz3pg 7 месяцев назад
Amen
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 7 месяцев назад
Rita amen amen God bless you amen pastor Sarah amen amen God bless you amen pastor
@CeciliaOuya
@CeciliaOuya 4 месяца назад
Wonderful, praise God,
@KaremboKazungu-l9p
@KaremboKazungu-l9p 6 месяцев назад
Pst.mungu aendeleekukupa nguvu watu wafunguliwe.Unayaweza kwayule akupayenguvu.
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 6 месяцев назад
Amen napokea upako na miujiza Kwa jina la yesu
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 7 месяцев назад
Amen nahitaji nyota ya Yesu kristu mnazareth mungu aliye hai ❤
@JuliusAbuya
@JuliusAbuya 7 месяцев назад
Amen Amen, ehee mwenyezi mungu unapobariki watu wako NAMI unibariki, usinipite mokozi
@ShadrackWanjala-de9qn
@ShadrackWanjala-de9qn 7 месяцев назад
Mungu naomba nami unikumbuke kwa huruma zako....amen.
@LeokadiaAudax-bz4gi
@LeokadiaAudax-bz4gi 7 месяцев назад
Leokadia A pasta kalibu Tanzania kwetu naomba mungu aikumbuke tz familia yangu mungu Atutokee Amen
@SalomeNzowa
@SalomeNzowa 7 месяцев назад
Mtumishi wa Mungu naomba uniombee na mume wangu na uzao wetu
@periskoigi6088
@periskoigi6088 6 месяцев назад
Oh yes,, pastor Ezekiel you're so amazing
@peterwasike991
@peterwasike991 6 месяцев назад
Amen pastor nakufatilia sana 🙏 🙌
@LydiabosiboriBosibori
@LydiabosiboriBosibori 4 месяца назад
Paster na Mimi mungu ataniponya in the might name of Jesus
@frankfelix3876
@frankfelix3876 7 месяцев назад
Eee mungu unapowagusa wengine kwenye ibaada hii nami uniguse Amen
@linetlinet2804
@linetlinet2804 4 месяца назад
Pastor uniombee kwa ndoa yangu iwe na Amani na familia yangu nipate baraka mungu wangu anijalie furaha kwa maishani mwangu milele
@JemimahChiro
@JemimahChiro 6 месяцев назад
Amen mungu wa mbinguni aniponye mm na familiya yangu
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 7 месяцев назад
Ndoto mbaya ondoka kwangu leo leo kwa jina la Yesu Kristu mnazareth mungu aliye hai ❤❤❤❤❤❤❤
@carolinewanjiru-ru5lu
@carolinewanjiru-ru5lu 5 месяцев назад
Pastor nikiona biashara zangu zinaendelea vizuri nitakuwa kila mwezi natoa shukruni alafu pia unikumbuke nipate nyota yangu ,nikona mtoi moja bwanangu ako job coast utuombee mimi na bwanangu boma yangu iwe na furaha , mapenzi ,amani ...dowry ipelekwe mpaka majirani wamsifu mungu ....ya mwisho babangu alinichukia mahali ako anipende nipate kibali kwake na anipe baraka since he is only my parent alive .
@JohnMaina-qy6di
@JohnMaina-qy6di 6 месяцев назад
Mchungaji ningependa uponyaji niwache kutumia oxygen bali nitumie hewa ya mungu niko hospitalini sasa hivi na niko on oxygen siwezi kupumua without support ya oxygen naomba mungu aniponye pastor😂😂
@NyoteEmmanuel
@NyoteEmmanuel 6 месяцев назад
May the lord always reveals true friends in you pastor
@MiriamSimiyu-j5s
@MiriamSimiyu-j5s 3 месяца назад
Pastor niombe kijana wangu shinda vita na maisha yeke ibatilike abate kasi inje ya Kenya na hafaulu
@AgnasM
@AgnasM 6 месяцев назад
Pastor mm mungu amenitoa mbali natamani nimtumikie km Asante yangu niombee nipate Kibali chake
@Johnmwisyo
@Johnmwisyo 6 месяцев назад
Amen past pia naomba nimetawalwa na pombe naomba unikubuke niashe pombe
@margaretmwakao4240
@margaretmwakao4240 2 месяца назад
Indeed power belong s to God oo glory to God
@monicawanjiru5089
@monicawanjiru5089 7 месяцев назад
Naomba Mungu anipiganie anipe uhai Na nyumba yangu awachilie pesa nimengojea for more than 6years
@JasintaKimei
@JasintaKimei 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe tunabarikiwa
@helenmoraa8926
@helenmoraa8926 6 месяцев назад
Mungu naomba Nyota ya kazi na ya maisha marefu na afya nzuri leo
@teclakirui1981
@teclakirui1981 6 месяцев назад
Achilia neema na kibali juu ya maisha yangu, baraka ,rehema na fadhili zako zitue juu yangu, niponye kifua,mifupa,tumbo ,sehemu zote za maisha yangu in Jesus's name
@KulobaMunyasio
@KulobaMunyasio 2 месяца назад
Poster naomba nyota yangu.
@HylineNyambune
@HylineNyambune 7 месяцев назад
Naomba nyota ya masomo kwa watoto wangu wafunguliwe ktk jina la yesu
@MargretOngoya
@MargretOngoya 6 месяцев назад
Amen Wacha injili ya Mungu iendelea
@JanepherMakokha-uy6bo
@JanepherMakokha-uy6bo 7 месяцев назад
Ameeeeeeen.magonjwa yanauo nitesa kwa mwili wanhu yapone leeeeeeeo in Jesus's name
@mwendemwende5789
@mwendemwende5789 7 месяцев назад
Mungu niwezeshe nifanikishe mambo yangu mungu fungua njia zangu
@Kipkirui-h8z
@Kipkirui-h8z 2 месяца назад
Amen pastor
@jonathanmella9888
@jonathanmella9888 5 месяцев назад
Ee baba mungu wa pasta Ezekiel najua baraka zako ni zakweli..Nahitaji ndoa, na utajiri wako. Amina.
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 7 месяцев назад
AMEN AMEN, mtuzi naomba uniombeee ndoto mbaya spiritual woman iniachilie,hata Sina amu na bb yangu,naomba ya ujana,pia madeni imekita mshishi kwa maisha yangu nimetexeka kwa miaka mingi mtuzi niombeeee sana
@monikalubeni8181
@monikalubeni8181 6 месяцев назад
Ee Mungu naomba nipate mume Amen
@JudithNyaruai
@JudithNyaruai 6 месяцев назад
Amina hakika sitawahi ionea Aya njili ya baba
@gifthappiness9255
@gifthappiness9255 7 месяцев назад
Ee yesu wangu nikombo pia nami nipe nyota ya watoto wangu
@zacchaeusamudavi6908
@zacchaeusamudavi6908 7 месяцев назад
Naomba Mungu anipiganie katika katika kubadili maisha yangu, anipiganie katika kazi yangu
@GideonOndieki
@GideonOndieki 7 месяцев назад
Mungu Ezekiel naomba uniguse na Mimi bless me God remember me Lord I will follow you always Mungu wangu
@jacintamoragwa487
@jacintamoragwa487 5 месяцев назад
Ukiomba jipatanishe na madhabau yake mara Saba,,,utapokea nguvu Kila wakati ukiomba.
@SusyloveLove
@SusyloveLove 7 месяцев назад
Naomba kupitia hii crusade nyota yangu ingaeee kungaa in mighty GOD AMEN AMEN AMEN 🇰🇪🇸🇦
@fitfit147
@fitfit147 5 месяцев назад
Ameeeeeeen 🔥 i receive it in the name of Jesus pophert is not my potion
@victoriambithe8801
@victoriambithe8801 5 месяцев назад
Pastor pray for mbithe to pass her nursing exam 😊
@floridacherop8417
@floridacherop8417 7 месяцев назад
Napokea nyota yangu ya ndoa katika jina la Yesu kristo Amen
@leticialawi9569
@leticialawi9569 7 месяцев назад
Hakika sitamwonea haya Yesu wangu, napokea Nyota ya Yesu watoto wangu mume wangu,wazazi wangu na jamii,tuwe huru Adui ashuke chini .
@JoashHenry-q2i
@JoashHenry-q2i 6 месяцев назад
Pastor Ezekiel ,mungu hakuongezee miaka mingi na Mimi nipalikiwe kama wewe.
@terrywangari7909
@terrywangari7909 6 месяцев назад
Hallelujah,,,Mungu nakupenda
@eliciahclassicfashion5965
@eliciahclassicfashion5965 7 месяцев назад
Ee mwenyezi MUNGU unapo wagusa wengine uniguse na Mimi nahitaji kupokea baraka zangu Kwa Imani nimeinyosha mikono yangu Kwa ishara ya kusalenda mbele zako BWANA unikumbuke.
@LucyKinyati-rn7zi
@LucyKinyati-rn7zi 7 месяцев назад
😅😊😊
@MariamuJoseph-z2j
@MariamuJoseph-z2j 7 месяцев назад
MUNGU akinijaria uhai nitakuja kukuona Kenya ❤
@Jisca-yn3ue
@Jisca-yn3ue 7 месяцев назад
Mungu naomba family yangu ikombolewe katika madhabahu haya umaskini utowekee kwetu na tufanikiwe kwa kila jambo katika jina la Yesu kristo
@benardotieno7957
@benardotieno7957 6 месяцев назад
Thnk u postor, may the Almighty God protect u , am Benard from Awasi.
@festochengula4718
@festochengula4718 7 месяцев назад
Barikiwa Sana mutu wa MUNGU karibu Sana Tanzania
@frenziangella6676
@frenziangella6676 7 месяцев назад
Ee mungu naomba niguse na mm kwenye ibada ii naomba naomba kufungriwa
@BaliliWalugusha
@BaliliWalugusha 5 месяцев назад
Baba ezekiel niombee nitokekwenye ufukala Sina uwezo wa kufika kwenye mkutano wako amina
@CeciliaOuya
@CeciliaOuya 4 месяца назад
Amen Uniombee pastor mi la pia nyota yangu ilijukuliwa, ya watoto, babayao pia pliz omba sirudi
@Wanyonyi-to2br
@Wanyonyi-to2br 6 месяцев назад
Amen talaka pia iniondokee kupitia Kwa huyo Dada
@aluthajoseph2841
@aluthajoseph2841 7 месяцев назад
Naomba kupitia kwa hio madhabahu nirejeshewe nyota yangu ya kupata kazi kubwa kubwa kwa jina la Yesu,
@rozelijodi
@rozelijodi 5 месяцев назад
Amen Amen injili iendeleembele
@mariakomba2468
@mariakomba2468 7 месяцев назад
Family yangu ikombolewe ee yesu ktk madhabahu haya umaskini ututoke kwetu kwa Family yangu na kufanikiwa
@monikalubeni8181
@monikalubeni8181 6 месяцев назад
Napokea leo nyota yangu amen
@monikalubeni8181
@monikalubeni8181 6 месяцев назад
Ee Mungu usinipite katika haya maombi unibariki
@mariakomba2468
@mariakomba2468 7 месяцев назад
Naomba nyota ya masomo yangu ee yesu naomba nifaulu vinzuri mthiani yangu nakufanikiwa kupata 1
@Johnmwisyo
@Johnmwisyo 6 месяцев назад
Naomba nyota yangu ingae katika jina la yesu
@ruthmlongo1997
@ruthmlongo1997 7 месяцев назад
Amen
@Philip-mp8ie
@Philip-mp8ie 3 месяца назад
Mungu nisaidie nifanikiwe mambo yangu ya academics na kazi
@selveneiramwenya8552
@selveneiramwenya8552 7 месяцев назад
Ameen nifunguliwe Leo kwa jina la yesu
@victoriambithe8801
@victoriambithe8801 5 месяцев назад
Pray for me pastor to get star of success
@Titusmwedabwire-br3tz
@Titusmwedabwire-br3tz 6 месяцев назад
More grace servant of God
@DennisKamau-oe9gv
@DennisKamau-oe9gv 7 месяцев назад
Yesu usaha iishe kwa kizazi xaa iii 2 nakuomba Mungu wangu
@lusianbenedict6166
@lusianbenedict6166 7 месяцев назад
Sitaionea haya Injili ya Bwana Yesu
@lusianbenedict6166
@lusianbenedict6166 7 месяцев назад
Nakungojea Arusha Pastor
@lusianbenedict6166
@lusianbenedict6166 7 месяцев назад
Ni lini na wapi
@jacintamoragwa487
@jacintamoragwa487 5 месяцев назад
Heri mtu ajisifu kwamba anamjua Mungu...hapa ni salama.barikiwa!
@shadrackmwakatobe1644
@shadrackmwakatobe1644 5 месяцев назад
This is a good paster
@dag5726
@dag5726 6 месяцев назад
Mungu nakuomba nikumbuke kwenye afya ya Mume wangu
@felixshibira6828
@felixshibira6828 6 месяцев назад
thank you God for today
@Johnmwisyo
@Johnmwisyo 6 месяцев назад
Mungu nisaidie niashe pombe
@PangananiPACHERA
@PangananiPACHERA 6 месяцев назад
Mungu tisaindiya kweri kwa pombe
@PangananiPACHERA
@PangananiPACHERA 6 месяцев назад
Pombe inasumbuwa kweri inati filisi
@monikalubeni8181
@monikalubeni8181 6 месяцев назад
Napokea katika jina la Yesu
Далее
Evangelist Ezekiel - Natamani Kuomba
41:37
Просмотров 1,1 млн
Fake Referee Whistle Moments 😅
00:38
Просмотров 9 млн
Pastor Ezekiel explains how he utilises church funds
7:20
THIS IS WHAT GOD HAS SAID AFTER THE ELECTION
9:16
Просмотров 1,4 млн
DISPUTE BETWEEN LATE MAJOR GENERAL'S WIFE AND HER INLAWS.
1:31:08