Тёмный
No video :(

🔴 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 51 тыс.
50% 1

🔴#LIVE: SPORTS ARENA NDANI YA WASAFI FM - 18-07-2024

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Месяц назад
Huyo mzee msumi anaweredi mkubwa mno ktk kuelezea na kuelimisha mambo,,Allah tujalie wazee wengi kama hawa walichonacho kiwe akiba kwa vijana wengi,,Inshaalah.
@LushingeLhudo
@LushingeLhudo Месяц назад
Namuona Ahmed abdalah jembe kabsa bro ❤❤❤❤❤❤
@notimushi2200
@notimushi2200 Месяц назад
Nyie awazee was yanga acheni utoto Simba wanawadanganya mlete migogoro yanga
@andrew-mv4pc
@andrew-mv4pc Месяц назад
Isee, mmezidisha matangazo tutaacha kuwasikiliza , tutahamia.....
@DottoManzimoto
@DottoManzimoto Месяц назад
Mzee anaanza kuvuruga team yetu , akae atulie aachie timu GenZ
@alwiziherzilon-v2l
@alwiziherzilon-v2l Месяц назад
je kibu yupo timu gang
@user-fg8hg9fe1w
@user-fg8hg9fe1w Месяц назад
Wazee wetu wa yanga mue making na huy mzee mwenzenu njaa inampeleka puta, taharuki imetufikia hasi huku Korea kusini hakhi Jana nilipoteza nguvu mwilini😢
@karimsule9061
@karimsule9061 Месяц назад
Mzee msumi kafanana na mbwiga kwan wana undugu??
@januaryjohn2014
@januaryjohn2014 Месяц назад
😂😂😂waganga lazima tumtafutie
@AhmedAdan-po5ps
@AhmedAdan-po5ps Месяц назад
Magoma yuko sawa jamani yanga ni kila mtu hana haki mbona hukumu ilitoka mulikuwa wapi
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 Месяц назад
MAHAKAMANI ANASIMAMA MLALAMIKAJI NA MLALAMIKIWA PIA MAHAKAMA INAMSIKILIZA MTU ASIYE MWANACHAMA NI AJAABU SAAANA HUYU MAGOMA ASIONEKAŃE KABISAA KONA ZA KLABU YETU
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Месяц назад
Mtangazaji,umeshaambiwa katiba imepitia mikondo ya tff,serikari, na wizara.sasa hao wote wanawezajepitisha kama haikurudishwa?
@chicharito4201
@chicharito4201 Месяц назад
HUYU mze dawa yake ipo😂
@marijanikhalifa7445
@marijanikhalifa7445 Месяц назад
matangzo mengi san
@FredyAbubakhali
@FredyAbubakhali Месяц назад
Apigwe mawe mbaka afr
@ramadhanishabani4600
@ramadhanishabani4600 Месяц назад
kabisa anajiita injinia kumbe doh atuachie tim yetu
@ashahamad1848
@ashahamad1848 Месяц назад
Magoma awe makini Sana asichukulie watu Kama vitenesi kutudundisha na kofia yako ya staili ya Moja Tano 😅😅😅😅
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
Yanga inaongozwa na mfumo wa kibwanyenye "divide and rule" inagawa wanachama pande mbili..
@genda68
@genda68 Месяц назад
Yanga wangebahatika kumpata kiongozi wa maana kama Mh Mangungu Klabu yao ingefika mbali sana
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q Месяц назад
Mshenzi mkubwa ww 😂😂​@@genda68
@rashidtwaha7699
@rashidtwaha7699 Месяц назад
Hawa wazee wanatumia njia kubwa sana kumkataa mwenzao kwa kua wanapata ulaji...vina muda basi
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Месяц назад
Dah
@danielKitomary
@danielKitomary Месяц назад
Kwa nn wasafi aisikiki mwanza?
@genda68
@genda68 Месяц назад
Kwasababu Diamond hawapendi Wanyantuzu
@AhmedAdan-po5ps
@AhmedAdan-po5ps Месяц назад
Magoma bado mwana yanga ww mzee huwezi kumpangiya mwezio ww ni nani
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho Месяц назад
Kabakia shabiki au mpenzi wa Yanga ila siyo MWANACHAMA wa Club hiyo.
@MudyGuy-w3r
@MudyGuy-w3r Месяц назад
Hana kadi ya uanachama
@francepaul7711
@francepaul7711 Месяц назад
Tulia kolo wewe Huyo n Shabiki siyo Mwanachama😅
@clementiddi5708
@clementiddi5708 Месяц назад
Kitulize wewe
@marijanikhalifa7445
@marijanikhalifa7445 Месяц назад
matangzo mengi san
Далее
MIUJIZA YA WADUDU HAWA  // SHEIKH IZUDINI ALAWY
35:36
🔴#LIVE:MASHAMSHAM NDANI YA WASAFI FM 30/8/2024
2:40:02