YA RABBII WAPEE KHERI NYINGI MA SHEIKH WETU NA FADHLA NA BARAKA NA REHMA ZAKO ZIWAAENEEE KWA UPANA USIO KUA NA MAKADIRIO......... KWA KUWA HAO NDIO WARITHI WA MITUME WAKO...... WANAJITAHIDI KTK JUHUDI ZA KUELIMISHA UMMA......... 😶😌😁😁😄😄😃😀
Alhamdulillah nashukuru nimezaliwa ndani ya uislam , bado niko kwenye uislam na inshallah namuomba mwenyezi mungu umauti unikute nikiwa kwenye uislam, mwenye kumuabudu yeye tu na kuamini uislam ni dini ya haki...inshallah pia anifanyie wepesi wa kutimiza na kuyafuate yale aliyoamrisha na kuyaacha yale aliyokataza...hii surah ni heavy weight imemaliza kila kitu kwenye uislam na maisha ya mwanadamu kiujumla..
Alhamdullilah ya rabb 🤲🏽 kwa wote waliotumia muda wao kutuandalia Quran kwa njia hii inatusaidia sana tuliobadilisha dini kujifunza. Allah awazidishie kheri, na awape pepo yake amiin 🤲🏽🤲🏽
Allahuma rabbanaa samiina Ewe Allah mtukufu kwa hakika tumekiri kwako na tumenyenyekeya kwako na hatuna nguvu yeyote wala uwezo wowote juu yako Yaa Rabbi kwa hakika hiyi Qur'an tukufu ni ushahidi mkubwa sisi ni madhaifu wa kubwa kwako tutiye taufiq katika maisha yetu Yaa Allah we we ndio rafiki wetu wa kweli hutuachi kwenye shida na raha Yaa Allah tunakupenda sana zaidi ya kila kitu Arrahman Arrahiim
Mashaallah allahu akbar ewe tutie Imani kwenye vifua vyetu vilainike pindi tunapo sikia makatazo yako na tunapo sikia Jina lako tuwe na hofu tunapo sikia adhabu zako tuogope amiin yarabil amiin inshaallah 😭😭😭😭😢😢
Shukran sana kwakisomo takatifu natafsili yake shukran sana Allah akulipe msomaji na anae tafsili shukran zaid zimwendee Allah ndy mwing wanehema namwenye kurehemu shukran yaAllaby shukran
Subhanaa Allah Hakikaa *Qur'an* Ina mazingatio Makubwaa Sana kwa wenye akili na kutafakari juu ya uumbwaji wetu, kuzaliwa kwetu, kufa kwetu na kufufuliwa kwetu Yaarab tujaghalie mwisho ulomwema na tuwe ni wenye kutenda yaliyo mema *Amiiin*
Alhamdulilah, bado tunazidi kufaidika na ilmu hii ya kur an na tafsiri yake. ALLAH awazidishie nyote alosoma qur an na alotafsiri pia. Na awafanyie wepesi wa mambo yenu. Aameen.
Allah akihifadhi ustadh wetu Suleiman Hibri (tall). Hakika umeifanya kazi dini tunakuomba pepo ya Daraja ya juu utakapoitwa na Allah. Allah akupe umri mrefu tuzidi kufaidi kama nasi tutakuwa duniani.
Allah akupe umr SHEIKH Mishar Rasheed na amrehemu SHEIKH Abdallah Farsi Kwa kazi yake ya tafsir. Wallahy Qur'an ni IBRA kwetu na kitulizo na ndo misq ya Moyo kwetu waislamu. Allah tupe muongozo Mwema soote waislamu
Allahuma ajirin minanari jazakallah ghairu shukran san hakuna shaka ndani y uislam naflaia kuzaliwa ktk uislam allah akbar alove Quran lailaha illah muhamad rasurullah
Jamaa zangu tutumieni mtandao kwa heshima kwa kua kuna watu wa kila rika na pia kuna baba zetu mama zetu na watoto wetu wake kwa waume hapo kila m1 anahitaji hesha jiheshimu utaheshiwa Shukran
May Allah bless the ummah of Muhammad swalla lwahu alahi wassallam I love this surah bcs the recitation is so beautiful and the meaning mashallah may Allah grant us jannah
Assalam alaykum mzee wangu Ali Muhsin Al Barwan Allah akulipe kila la kheri kwa kutupa tafsiri safi katika kitabu chetu cha Qur'an Allah akulaze mahali pema peponi huko uliko amin
INAPENDEZA SANA KWA WAISLAM IKIWA MNAINGIA RU-vid KISHA MNACKILIZA KHERI KAMA HIZI بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا KWANI CKU MACHAFU YAMETUZUNGUKA KILA KONA KWAHIYO NDG ZANGU TUJITAIDINI KUJIEPUSHA NA MAASWI ILE HALI TUNAOMBA MSAADA KWA ALLAH MTUKUFU
Alhamndulilah alhamndulilah mazuri na kheri zipo kila pahala Allah atulainishe mioyo kutenda mema tupate Rehma za Allah duniani na pahalapema pindi tutaporejea kwa Allah.
Mashallah mashallah. ALLAH akulipe ujira mzuri mnoo maana nimekaa tu nimetamani kusikiliza tafsiri toka kwko sheik wetu,basi nimeiridhisha nafsi yangu kwa hiki kilichotaka.