Тёмный

1. Nani Atakayeitawala Dunia? (Who is the world's next Superpower?) 

Godfrey Machota
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 108 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 147   
@dayocha1855
@dayocha1855 4 года назад
Wasabato wanajuwa kuhubili neno la mungu, mungu akubaliki mwinjilisti
@meshackjohntz8505
@meshackjohntz8505 5 лет назад
I have never been tired to watch your preachings Machota, kipawa chako katika kuhubiri na kulijua neno, kuna nguvu ya ziada na ya upendeo uliyopewa kutoka mbinguni
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 5 лет назад
Utukufu na apewe Bwana, endelea kuombea huduma hii
@amimusuleiman8076
@amimusuleiman8076 Год назад
Niko Pamoja nawe kwa hili
@muindejoseph7878
@muindejoseph7878 4 года назад
Praise God, Amen..
@zamdasalumu9740
@zamdasalumu9740 6 лет назад
Barikiwa mtumishi
@sarammalihowmushandyourelo9234
amiin this message is making me growing my hearts God blessing you
@adventisthope2454
@adventisthope2454 4 года назад
China wakallli
@albertkengeye859
@albertkengeye859 4 года назад
Q
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 4 года назад
Angalao nimejitahidi kukuelewa kweli nimeipenda japo na ubishi niliyo nayo thanks
@davidsully9430
@davidsully9430 4 года назад
Mungu akubariki nakukuongoza kulihubiri neno lake kwa uaminifu mtumishi wa Mungu
@frickkwamesa9943
@frickkwamesa9943 2 года назад
Indeed huyu ni mtumishi wa mungu aliye hai, the reality about the Bible. God bless you, I love your sermons and have known More about God. Listening from Kenya
@ramadhanimostoni8273
@ramadhanimostoni8273 4 года назад
Utawala wa Shetani ndo wakati wake,ni msiba mkubwa,tunaelekea mwishoni,Mungu atunusuru na khazabu zake.
@mbughilangison2223
@mbughilangison2223 4 года назад
Powerfull message from ALMIGHT GOD, GOD OF UNIVERSE
@bazilbernard9854
@bazilbernard9854 5 лет назад
Amen Much Blessing # GOD.
@sheilaombongi8086
@sheilaombongi8086 4 года назад
Hallelujah Amina
@methodshimalo2681
@methodshimalo2681 5 лет назад
ubarikiwe mtumishi waMungu
@singlebaba1271
@singlebaba1271 4 года назад
Sio siri wasabato wanajua kuhubiri nawapenda sana
@veronicacharles9993
@veronicacharles9993 3 года назад
Afu awatumii nguvu sana 😂😂sie huku hadi jasho jmn
@kavishe2009
@kavishe2009 5 лет назад
una kipawa kikubwa cha kufundisha. ubarikiwe sana.
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 5 лет назад
Utukufu kwa Mungu
@wiganschilima9533
@wiganschilima9533 5 лет назад
Nmebarikiwa sana
@agesag.m2476
@agesag.m2476 4 года назад
Nice Sermon I say, you are a good Preacher.
@shishshikoh4979
@shishshikoh4979 5 лет назад
Sijawai elewa unabii Kama vyenye umefundisha Leo mtumishi...Mungu akubariki Sana...
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 5 лет назад
Amina, Mungu akubariki Sana na share na wengine
@Pcmony
@Pcmony 7 месяцев назад
ameni
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Год назад
Mungu na Mjumbe wa agano ndio wataitawala dunia, Isaya 41:1-4.
@elishampoki8751
@elishampoki8751 27 дней назад
Hapo Hakuna mtawala wa Dunia,Hao wote wameanguka
@davidmaina797
@davidmaina797 4 года назад
Teach straight to the point
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 лет назад
Dunia Inatawariwa Na Mungu Hao Watu Tu
@dariuskapondwe281
@dariuskapondwe281 4 года назад
Na ukitaka kujua, uchumi wa Marekan umeshikiliwa na mataikuni wa Wall street ambao ni wayahudi, hayo mataiifa ya kisiasa yatazidi kufilisika, na hatimae Vatican ambayo ndo mmiliki wa WB, IMF,WHO, ILO, FAO, UNHCR, na mashirika mengine ya kimataifa unayoyajua. Baada ya kufilisika, marekan itakuja kuboom kiuchumi kwa kupata fedha kutoka Vatican kupitia kitu kinaitwa WCC, na hapo vatcan itakuwa na maamuzi juu ya mataifa yote, kupitia WCC. Maana kumbuka, mtawala wa meisho kuitawala dunia hii, ni Rumi, ambayo imevaa udini kupitia vatcan.
@henrygeorge8867
@henrygeorge8867 4 года назад
Jifunze history vizuri.
@damariskobonah2314
@damariskobonah2314 2 года назад
Worth my time. Happy Sabbath
@michubudaniel
@michubudaniel 4 года назад
Kumbuka africa dio ilikua ya kwanza kutawala dunia na ata kwa sasa mungu ameangalia akaona africa tena this time will be africa mungu ataipea mamlaka ya kutawala dunia tena
@oscarafrica
@oscarafrica Год назад
Ubarikuwe mtu wa baba
@alexombui1098
@alexombui1098 4 года назад
That is great. This was good definition
@revocatusbahatibussiah5201
@revocatusbahatibussiah5201 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@jjpcoltd5525
@jjpcoltd5525 4 года назад
Kwa kweli uko vizuri, na Mungu akubariki
@drmpemba5528
@drmpemba5528 6 лет назад
Amina
@SamuelCharles-111
@SamuelCharles-111 5 лет назад
Dr Mpemba
@mainepraygod3142
@mainepraygod3142 6 лет назад
Blessed a man of God
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 6 лет назад
Maine PrayGod, Amen barikiwa pia
@chirongobita6797
@chirongobita6797 6 лет назад
Tuko pamoja sanaaaaaa
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 6 лет назад
Chirongo Bita barikiwa, share video
@ggelishachannel450
@ggelishachannel450 6 лет назад
Good news barikiwa sana my friend machota
@prisillahmwatati1023
@prisillahmwatati1023 4 года назад
@@MwinjilistiMachota barikiwa sana
@maduronicolaus636
@maduronicolaus636 5 лет назад
Endelea kuwafndisha watu wa mungu ukwel
@jamesmachota2029
@jamesmachota2029 Год назад
Hongera mtumishi tupo pamoja
@selfaakinyi512
@selfaakinyi512 5 лет назад
Asante sana mchungaji nimekuelewa kabisa. Glory be to the most higher Almighty .
@fatimalathafatima3979
@fatimalathafatima3979 4 года назад
Amen
@deustutu1162
@deustutu1162 5 лет назад
jina la bwana libalikiwe
@frankibrahimlutende9090
@frankibrahimlutende9090 5 лет назад
Ahsante kijana Mungu ambariki mama yako injili km hizi zimepotea zimebaki za kutupoteza tu
@greenmwasile9769
@greenmwasile9769 6 лет назад
Ubarikiwe
@givenessemmanuel3463
@givenessemmanuel3463 3 года назад
From China Am blessed 🙏
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 3 года назад
Amen, Mungu atukuzwe...
@wilgardthomson3176
@wilgardthomson3176 4 года назад
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 4 года назад
Amen
@kijapeter3298
@kijapeter3298 4 года назад
Mungu akubariki
@jamesmgonda
@jamesmgonda 2 года назад
Civil engineer mhubirii wa kimataifa..nakutabiria makubwa bro
@sudadivers1825
@sudadivers1825 4 года назад
Mwenye kuitawala dunia ni yule anatupa uwezo Wa kuvuta pumzi:hicho chote ni kib-ri
@benardtarimo1826
@benardtarimo1826 4 года назад
Kama wanna uwezo wa kuitawala dunia mbona corona imewauwa
@natashamarius4251
@natashamarius4251 4 года назад
Alotupa pumzi ndiyo mwenye hii dunia.
@mirhatrashidy2813
@mirhatrashidy2813 4 года назад
Mungu
@marygaspar6429
@marygaspar6429 5 лет назад
Ameen.
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 5 лет назад
Barikiwa
@josephkafumu6921
@josephkafumu6921 3 года назад
Nimejifunza kitu barikiwa sana
@abdulathuman8644
@abdulathuman8644 4 года назад
Asante kwa mafundisho
@barakawilliams3844
@barakawilliams3844 4 года назад
AMINA
@nyemondagalla608
@nyemondagalla608 4 года назад
Ameen
@ryobamaswi4856
@ryobamaswi4856 4 года назад
Ubarikiwe mutumumishiwamugu amina
@emmanuelshiwa164
@emmanuelshiwa164 4 года назад
God bless you
@dariuskapondwe281
@dariuskapondwe281 4 года назад
Mpaka kufikia miaka ya 60, robo 3 ya uchumi wa dunia ulikuwa unamilikiwa na Vatcan, na 1/4 iliyobaki ilikuwa inamilikiwa na Jews, na wakat huo Vatcan ilikuwa ktk harakat za kufanya covenant na wayahudi kwa lengo la kugrab ile robo ya uchumi inayomilikiwa na wayahud, na hatimaye Vatcan imiliki uchumi wote wa dunia.
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 2 года назад
Ndio tunakufatiria
@beatriceviktor4195
@beatriceviktor4195 4 года назад
Watching from Europe..ila ni mtanzania...i need prayers and to hear word of God like this everyday..una group whats up mtumishi unipe namba nijiunge?I need to be part of Kingdom of Jesus 😭😭
@ilakozeonlinetv
@ilakozeonlinetv 4 года назад
Nitafute whatsapp 0742969999
@beatriceviktor4195
@beatriceviktor4195 4 года назад
@@ilakozeonlinetv Thank you very much... I will..
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 4 года назад
Beatrice Viktor polen na corona mwenyezi Mungu awalinde
@beatriceviktor4195
@beatriceviktor4195 4 года назад
@@ngometvarusha4030 Ahsante sana mpendwa wangu..tuzidi kuombeana..thank you for your caring heart..God bless you
@ilakozeonlinetv
@ilakozeonlinetv 4 года назад
@@beatriceviktor4195 sorry beatrice nitext kwa no +255625522505
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 5 лет назад
dunia ina mambo
@amimusuleiman8076
@amimusuleiman8076 Год назад
Tuko pamoja
@simonnzombe5089
@simonnzombe5089 6 лет назад
Hakika Mungu ni mtawala
@SamuelCharles-111
@SamuelCharles-111 5 лет назад
Simon Nzombe
@simonnzombe5089
@simonnzombe5089 6 лет назад
Mungu akujalie kuzinena siri zake
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 6 лет назад
Simon Nzombe amen
@jeanmarieniyokwizera269
@jeanmarieniyokwizera269 5 лет назад
Uko sahii
@charleswasike3800
@charleswasike3800 4 года назад
Luna siri kubwa katika uongozi was dunia. Mungu tu ndiye mwenyewe mtawala hakuna mwingene.
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 4 года назад
The one issues people's is confusing totally is that who is control the world nothing any national control other national but who can lead other national it's depend what is your priorities any priorities put forward the same other priorities you can leading if you meeting all priorities to fullfillment and actualization your requirement of your national nothing any nation stand above any national if any national is meet well their goal 🙏❤️❤️🙏🙏💯
@aquinomsigwa9970
@aquinomsigwa9970 4 года назад
Exactly
@romeobraoua7009
@romeobraoua7009 5 лет назад
9. Neno la kiebrania kuhusu nabii ni nabi na neno hili maana yake:”msemaji” Hapana mwenye-kuja na miujiza au mwenye-kuleta upako lakini “msemaji”. Mnaona? Nabii-mjumbe ni sifa na tukio ya Neno la Mungu kwa kizazi chake.
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 5 лет назад
Yaan nimetaka kukuelewa maana unafundisha kitu kigumu sanaa
@emmanuelmweruka815
@emmanuelmweruka815 5 лет назад
Ni mahubiri ya dhehebu gani, nimeyapenda
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 5 лет назад
Waadventista wasabato
@wiganschilima9533
@wiganschilima9533 5 лет назад
EMMANUEL MWERUKA wasabato
@ujumbetv1090
@ujumbetv1090 5 лет назад
Sabato
@winnestonmwalukasa1873
@winnestonmwalukasa1873 4 года назад
Ni wa adventista wasabato
@eliasmarco4308
@eliasmarco4308 4 года назад
EMMANUEL MWERUKA sabato
@barakashilumba1103
@barakashilumba1103 4 года назад
Maandiko amina
@mrishomasenga7118
@mrishomasenga7118 4 года назад
Kasoma kweli angerudi kwa Allah angepata kherikubwa
@jameskamoliurukundotanzani6153
@jameskamoliurukundotanzani6153 4 года назад
MUNGU ataitawala
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 4 года назад
Any one who is tide and stand with Israel to believe Jesus Christ 🙏💯 is rule the universe 🙏💯🙏🙏❤️
@mrishomasenga7118
@mrishomasenga7118 4 года назад
Asantesana mdogowangu huyo ndio allahu
@joshuamatagane1318
@joshuamatagane1318 2 года назад
Sasa, sisi, wakati huu tuko wapi??
@moshantoj
@moshantoj 4 года назад
Funzo kama hizi huwezi kuyapata katika dini zingine, lakini kwa wasabato pekee.
@martnemlalasi6117
@martnemlalasi6117 4 года назад
Mosh Anto J pole kwa kushika dini badala ya Yesu
@moshantoj
@moshantoj 4 года назад
@@martnemlalasi6117 hao wasabato ndiyo wanaendana mafunzo ya bwana yesu. Kwani kuna shida?
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 года назад
Acha uongo na kukariri kusiko na maana ushafanya research katika hilo?
@raphaelsiumbu9439
@raphaelsiumbu9439 Год назад
Sauti hakuna.
@mrishomasenga7118
@mrishomasenga7118 4 года назад
Nimwalim mzurisanahuyu jamaaa
@angelinaelishachisongela7859
@angelinaelishachisongela7859 5 лет назад
👂👂
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 4 года назад
Somo hili zuri Sana lakini halifundishwi makanisani,inawezekana waalimu wa theology Ni wachache,Ni kweli Marekani,china na urusi zitabaki kuwa super power mpaka Yesu atakapokuja
@wow-wj1yn
@wow-wj1yn 3 месяца назад
Theorogy inamficha Mnyama haiwezi fundisha hii.
@michaelmwangikanyi2567
@michaelmwangikanyi2567 4 года назад
Marekani ufalme WA mwiso laodikia kanisa lamwiso(SDA) Ellen g white amemnyaganya dhawabu yenu kwa maono na do to za uongo(col:2;18 2thes 2;9-12
@ovn-sportswear4983
@ovn-sportswear4983 4 года назад
Africa tumesahau imani zetu na kushika imani za watu weupe na mashuuda wana watangazia imani zao back to Africa movement uu ni utumwa wa kifikra aliye lishwa na mtu mweupe
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 4 года назад
Pole Sana kwa kutoufahamu mpango wa ukombozi, nakualika kufatilia masomo haya Mungu atakufungua na kukuongoza katika nuru
@alphonceawino4465
@alphonceawino4465 4 года назад
@@MwinjilistiMachota Mchungaji ukijitambua utakuja jutia haya mafundisho yako
@agnessaid1825
@agnessaid1825 4 года назад
Mm naona akili kichwan mwetu
@ezekielshija9251
@ezekielshija9251 4 года назад
@@alphonceawino4465 Maadam unafahamu kuwa Kuna siku atajutia haya mafundisho nadhani ungeeleza ili utusaidie wengine tunaofuatilia mafundisho haya na Mungu atakubariki
@lydiahnzaba8953
@lydiahnzaba8953 2 года назад
Mko poa unabii endeeni ivo
@jeanmarieniyokwizera269
@jeanmarieniyokwizera269 5 лет назад
Naona comment za ajabu ajabu watu Wana comment kama watoto wadogo inamana watu awajuwi kinachoendelea, geukeni akili zinapozidi kulala Ndipo shetani anazidi kuwafumba macho msijuwe wapi pakutafutia Njia ya Uzima ! Nawalilia wanao mkataa YESU.
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 5 лет назад
Wamepewa macho lakini hawaoni, masikio lakini hawasikii....
@khairatzinzibar1434
@khairatzinzibar1434 5 лет назад
+Mwinjilisti Machota umenena vyema mtu Wa Mungu lkn ole wao siku yao inakuja
@estasage5506
@estasage5506 4 года назад
Is this a bible college class or history? Thought it was going to be something to help my soul and spirit
@mrishomasenga7118
@mrishomasenga7118 4 года назад
Niufarume Wa Mahdi almuntadhiru ndotunaousubiri
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 года назад
Unawadanganya watu wewe mwenyewe hujijuwi nafsi yako .Dunia ipo kwa mwenyewe Almighty ( ALLAH SUBHANNA ALLAH WATAALAH) CREATOR THE BENECIFUL THE MERCIFUL.
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 4 года назад
Laiti ungeangalia somo mpaka mwisho sidhani Kama ungeandika hiki ulichoandika, pili Kama wewe Ni mstarabu na Ni mwerevu wa Mambo, hoja hukibiwa kwa hoja, na hivyo nakukaribisha Leta hoja ya maana..
@agesag.m2476
@agesag.m2476 4 года назад
Abdulrahman wewe uko na roho chafu ya upinzani... .... Wewe toa hoja yako tujadili sai.
@richardsifaeli7811
@richardsifaeli7811 5 лет назад
kama ukatoliki unamkufuru Mungu na unaandaa njia ya mpinga kristo ni kwanini mafreemason kina jay z wanasema murder Jesus murder catholics wakati wao na ukatoliki agenda yao ni 1 kumwandalia njia mpinga kristo?
@SamuelCharles-111
@SamuelCharles-111 5 лет назад
richard sifaeli
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 4 года назад
SHANGAA KAKA FIDELI..JIULIZE BADALA YA KUFICHUA FREEMASONS WANAHANGAIKA NA WAKATOLIKI..HUONI KUWA WANA TEKELEZA MAAGIZO WALIYOTUMWA NA SHETANI?SHETANI HAPENDI UKATOLIKI...WASABATO HAWAPENDI UKATOLIKI....KUMBO WASABATO NA SHETANI WOTE N MAADUI WA KANISA KATOLIKI
@yangkuyang5781
@yangkuyang5781 5 лет назад
I joined freemason and i left 3 years back for more information follow me I will tell you all the secret🙏
@alphonceawino4465
@alphonceawino4465 4 года назад
Wazungu walipo ondoka walituacha tunahangaika naufunuo wa Yohana.Walianza kudeal na reality (science) na wanaendelea nayo.
@apronkiwale8499
@apronkiwale8499 5 лет назад
Vipi kuhusu mpango wa new world order unaohusishwa na Freemason ? Na Mimi ni nilivoelewa ni kwamba atatokea mtawala mmoja ambae ni Mungu .. Sasa je kivipi huu mwingiliano wa utawala wa Mungu na mpinga Kristo??
@ovn-sportswear4983
@ovn-sportswear4983 4 года назад
Acheni kuwaongopea wa Africa wafundisheni imani za kiafrika imani za wazee wa zamani wa afrika acheni kutufundisha story za watu weupe
@aaaaaah290
@aaaaaah290 4 года назад
Saidi Athumani ANZA KUFUNDISHA WEWE,, MBONA NI RUKSA TUU
@jimmyjames7120
@jimmyjames7120 5 лет назад
mbona hakuna sauti kwenye mahubiri
@jdm1459
@jdm1459 6 лет назад
Inafanyikia wap?
@MwinjilistiMachota
@MwinjilistiMachota 6 лет назад
Mabibo hostel Joyce Mkalawa
@ramygichero1016
@ramygichero1016 4 года назад
Hamna kitu wewe wadanganye hao kondoo wako njoo tukosomeshe bado hujui kitu unapiga domo tu
@emmanuelshiwa164
@emmanuelshiwa164 4 года назад
No like God
Далее
MUTHURI WAKWA AGURUKIRIO NI MUHIKI UNGI ; ESTHER KIAMA
38:59
4. Mlipuko wa Umizimu (spiritualism Explosion)
44:16
Просмотров 17 тыс.
7. Kuinuka kwa Mpinga Kristo ( The Rise of Antichrist )
54:25
JE!! UBATIZO NI ONDOLEO LA DHAMBI?? TANZANIA
2:59:38
Просмотров 80 тыс.
Jinsi ya Kulitambua Kanisa la Mungu Duniani
46:42
Просмотров 43 тыс.
MR T talks about ALCOHOL - Sheng Bible Study
22:15
Просмотров 292 тыс.