hio sio raddi japokuwa amedayi kuwa ni raddi lakini sioa raadi hakuna alicho kuja kusafishaaa ilaa nayeye nikuleta ikhtilafu za wanachuoni na istoshi hayo ni masala ya fiqhii hio mimi naonaa ninasahaa tuu
Shekhe tupe dalili sio maneno tu ikiwa mtume kakataza swala nyuma ya mtu wa bidaa apo sawa shekhe wenu wa burundi katereza naheshim jitihada za wanazuoni ila sikubaliani kua haipaswi kusali nyuma ya mtu wa bidaa hata kama si mshirikina
Yn hawa warundi n shidaa Yan shekh wako kaambiwa alkasome yni apitie kauli za wanachuoni mbali mbali ndio mutoe hukumu ynu hio au fatwa ynu hio huku t zania hakuna fatwa hi aliekuwa salafi au cie salafi anaswlisha jamaa kubwa anaekatwa kuswalisha n mshrikina wa wazi wazi ndie anavutwa shati asiswalshe yni ac we imamu