Huyu 20 percent ana akili kubwa sana kuliko hawa watangazaji. Ilipashwa haojiwe na mtu mwenye akili kubwa. Hizi radio zimevamiwa na hawa watangazaji upeo wao wa kutengeneza maswali ni mdogo sana.
@@kpetres2872 maswali wanayouliza ni very low thinking na 20 Percent ana akili kubwa kuwapita hao watangazaji na anajibu kwa ufasaha sana very philosophical
Twent kaongea vizur ila lazima ajue. Music umebadirika na yeye abadirike aene na wakati uliopo akiambatanisha na uandish wake hapo itakua sawa ila asiseme kwamba aimbe mama neema wakati asingetoboa huyo labda upande wa Gospel so brothers tumia uandish wako kwa kizazi Cha leo Kwan hata wakati huu Kuna vitu ving ambavo vizazi vya Sasa wanakutana navvo na vinatrend kila Leo badirika
Umeanza vzur, lkn tofautisha nymbo za twenty na za baadh ya wasanii wasasa ,mizki ya sasa wki tu imeisha, nakumbuka nyimbo za akina lemi, zna pngwa hafi sasa tena kwnye mikutano mikubwa ya viongoz wakubwa. Sasa utachukua wmbo wa inagusana yko na yngu ukasema ndo madil ya sasa,asii nyimbo za twenty na kipaji cha twenty ni tifaut .