Nyumba inauzwa ipo Mbagala Chamazi manispaa ya Temeke Dar es-Salaam nyumba ya vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom sitting room dining room kitchen public toilet na stoo nyumba umeme upo maji yapo nyumba bei ml 45
12 сен 2024