Nyumba inauzwa
Ipo Tabata Segerea mwisho
Bei shilingi milioni 130 maongezi yapo
Ukubwa wa eneo: SQM 800
Document: Sales agreement ya serikali ya mtaa
Vyumba vitatu (kimoja master)
Sebule
Dinning
Jiko la kisasa
Store
Public toilet
Mafeni
Full A/C
Water reserve tank
Maji 24/7
Paving
Parking space ipo ya kutosha
Fence and gate
Mtaa mzuri
NOTE
-Kwa sasa kuna mpangaji ndani na analipa 700,000/= kwa mwezi.
-Mnunuzi anaruhusiwa kuja kuona mpaka ndani.
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONA NYUMBA TSH 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
20 июн 2024