If there's someone in Tanzania or even in the large East Africa who in his wildest dream thinks he can compete with this guy, he should stop dreaming. This guy is incomparable... He is the Undisputed KING
DIAMOND SIMBA MWENYEWE this the only artist naeza lipa mara kumi na,, kwa gate just to see him perform, thats what i call live performance apana ile unawekewa ngoma yako na bado unaweka mic kwa mafans waimbe.. WASAFI NI SAFI KWELI
Ile na angaika usiku kucha naambulia patupu nilikuwa naumiaAA..." KIDOGO nakula na mama yangu, siwezi wasahau na ndugu zanguuu....." #binadamu One of my favorite/inspiration song @Diamondplatnumz
heshima kwako simbaaaa chibu dangotee hunguuruuuuumaaaaaaaaa mbaba tisha sana ur ma only choice ur ma de best brooo nakukbali mbaka dakika ya 90 ucje balidika endlea kuwa buruuuuuuuza we ni mnyama king wa africa naweza sema bcz akuna anonikosha like wewe tisha sana broo
Our very own East African Diamond. He knows his voice is not perfect, he compensates it with his creativity and writing good verses. No one in Tanzania can compete with his creativity in the industry.
Ipo siku utasahau yote nabhao wanafiki ma mahasid wanapenda kuharibu penzi lako yataisha Inshaallah utadumu na kuishi na mama latefar japokua hatujui matatizo yenu lakini wengine wote waongo hawakupendi wanapenda chako rudi lea wanao usiwapotezee kwa dini yeko.please diamond rejea roho yako kwa mama watoto wenu husda kubwa imewapata.
Safi sana simbaaaaaaaaaaaa......... uko vzr sana na utaendelea kuwa vizr kimusic,,,,, Mungu azidi kuongoza kazi yako ya music ili uzidi kulitangaza taifa zaid,,,,,,,,,,
Just thinking tu hivi mtu anaanzaje kukuchukia fighter kama wewe diamond katika music industry? biiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiig uuuuuuuup DIAMOND kazi nzuri just waiting to hear new sales record for that Album, BOY FROM TANDALE.
Watu wengine humu wandhani labda waTanzania wameshindwa kuandaa hiyo stage Labda unaeza ukakuta design zote wamefanya watanzania Wabongo watu creative saaaana kama hamjui