Dr King'ori, appreciated you having Mbotela on board... Was so eager to know how Kenya was one of the highest taxed countries in the world, 30 years ago! We'd like to hear more about that probably when he shows up next time.
Please bring back Mbotela he has a lot of Knowledge to share Am in Colorado USA Dr King'ori please bring him back once again The topic of discussion about Kenya and Colonization isn't done yet Am a Student now I will be happy to see him in your show
Ha ha ati nilitoka bila kuangalia nyuma nisije nikaitwa Tena.. That feeling Ata ungeshikwa na kikohozi ungeizuia iseje kuletea balaa.. Bwana lernard mbotela
If I was a legend like LMM and you invited me to talk for 20 mins or so, I'd pass. Your show deserves at least a 1hr time slot or an extended online session.
Lakini pia leonard ametuchocha..Ati analalanga after news za saa tatu Daily since 1964..Sasa io "Mambo.. ya.. Mbotela kwenda club saa tano inatoka wapi tena!!?😂😂 Je! huu ni ungwana?😂😂
Rais wa kwanza wa Ghana,Marehemu Kwame Nkrumah,alisema hivyo katika riwaya (vision)yake kua Afrika itumie lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi.Kwa hivyo sio jambo geni,ila utekelezaji ndio umechelewa au unachelewa.
guys come down hamjaelewa doreen vipoa..wat she meant is apewe enough airtime azin like 1hr for the show coz iko lit and on point...the show truly deserve an award and atleast 1hr running time..coz kuna content mob zina chunjwa coz of tym ..