Mungu anatoa karama na ajamaliza kugawa vipawa ila pible imesema watu wasasa watskua namaarifa mengi haijalishi kama wataenda shule au hawatasoma neno linatimia
Leo ni ngumu mtoto wa kiswahili kumwambia baba umekosea hata kama ni kweli pia baba wa kiswahili ni bora afe kuliko kukubali kwa mwanae kama kweli amekosea kujiamini ni tamaduni ambayo kwa kiwango flani waswahili hatuna
vile hao ma presenters wana pronounce some words wakiweng vi mwiru lol makes me think out loud na vile the humble teen anaongea kiasi tu with no strain jaman don't force it
nani kaona kwny caption na maelezo ya dogo ni tofauti? dogo kasema anampenda burna boy yaan kamtaja wa kwanza kabisa.. lkn kwny kichwa cha habari mmeandika kasema nampenda diamond duh..
Kwa wale wapenzi wanao penda kutazama the story hii ndio account mpya ya the story book video zitakuwa zina postiwa kila siku fanya kusubscribe ili usipitwe
NAOMBA NIKUALIKE Habari naitwa HERO ni mwanamziki naomba nikualike kutizama video mpya ya mziki wangu mpya naouzindua muda hii GUSA HAPA KUONA ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-kHp-9wK9Tyw.html
Habari yako ndugu mm ni msanii chipukizi naomba support yako kutazama video yangu ya pineapple na Ku subscribe kwa kugusa picha yangu hapo juu Ahsanteni Sana🙏🙏