Тёмный

Abdulswamad Shariff Nassir - Mlima Kenya Wakipambana Na Pombe, Waturuhusu Tupambane Na Muguka 

Radio Maisha
Подписаться 161 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

#maishaasubuhi #tatusure #bungelamaisha

Развлечения

Опубликовано:

 

27 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 130   
@alabizoshazb5678
@alabizoshazb5678 Месяц назад
kazi nzuri sana Mombasa tuendelee kuamka 🙏🙏
@fablovesaadi9879
@fablovesaadi9879 Месяц назад
You have done the right thing governor Abdulswamad Shariff Nasser and I support this burning issue. "Moguka inaleta uwazimu na ugomvi katika jamii na ni ukweli".
@angle3600
@angle3600 Месяц назад
Niukweli unaongea,mimi mwenyewe nina jamaa yangu asipokula mogokaa ni mkali kama simba,yaani ameathirika vibaya
@kabuthakabutha9472
@kabuthakabutha9472 Месяц назад
​@@angle3600ahhh maskini, poleni.😢 Jaribuni mumpelekeni rehabilitation center.
@abubakarhassan2170
@abubakarhassan2170 Месяц назад
Brother Shariff, we are with you bumper to bumper, Kaza nati an sheria za county ya coast province zitumike vilivyo. wauze kwao, wale kwao sisi hatuna shida.
@donomondi
@donomondi Месяц назад
What you have done is an answered prayer for people at the coast. We are fully behind you our governor
@kabuthakabutha9472
@kabuthakabutha9472 Месяц назад
Am proud of my governor Abdulswamad sharrif Nasir!! Endelea vivyo hivyo!!
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 Месяц назад
Allah. Atakusimamamia governor IshaaAllah simama na haki utaenda kulizwa kiama ogopa mwenyez Mungu pekee sio wanadamu
@oscarmarucha7612
@oscarmarucha7612 Месяц назад
my governor kazi nzuri
@nashonmisiko8342
@nashonmisiko8342 Месяц назад
people living in mombasa we support this issue fully
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw Месяц назад
But mnachoka Bure ju kesho muguka inaigia kwa fujo apo mombasa,,,neda apo kwasoko mrng ujione e vile itaigia kwa fujo
@kadijaa7771
@kadijaa7771 Месяц назад
​@@JacksonMutinda-jw5qwhaikuhusu ndio ufanyweje sasa
@feizul.feisal
@feizul.feisal Месяц назад
Kazi nzuri Governor # Abdisamad shariif
@AliBadi-mc5cy
@AliBadi-mc5cy Месяц назад
Mtume s.a.w aliwaambia maswahaba wake waqti mmoja..."بادروا باالأعمال السّبعة...na akataja ndani yake أو غنامتغيا، hawa ni matajiri wa kupitiliza wasojali ubora wala afya za wanaadamu, uko sahihi Sheikh Abduswamad, na usisahau qauli y mtume wetu aliposema,,,"kiongozi akifanya uamuzi wa sahihi hupata ujira mara mbili", usirudi nyuma...uko katika usawa na nakuunga mkono...🙏
@rajumrecords711
@rajumrecords711 Месяц назад
Mtangazaji anafaa aajiriwe Kwa TV. Yuko Sawa 💯. Awe Kwa mjadala ama News Anchor
@Mamu774
@Mamu774 Месяц назад
Kazi nzuri sana governor wetu mungu akuzidishi naakupe nguvu uzidi kutetea wana mombasa wote insha Allah🙏🙏🙏🙏🙏
@kibeandyofficial-lm1kv
@kibeandyofficial-lm1kv Месяц назад
From Embu I choose the side of Mombasa governor but from my point of view I think instead of keeping the ban we should really hold on strictly regulating the ways of selling the product
@kabuthakabutha9472
@kabuthakabutha9472 Месяц назад
Unfortunately mulipatiwa hio opportunity ya self regulation mukakataa. The rule was very simple, dont sell to school kids.
@HuntersTV-zm6tb
@HuntersTV-zm6tb Месяц назад
I support you bruh
@Hk-ig3ex
@Hk-ig3ex Месяц назад
Sio watoto wa shule tuu..wanaume wanashindwa kumudu nyumba zao..marufuku ndio muafaka..
@Hk-ig3ex
@Hk-ig3ex Месяц назад
Tz na znz hakuna hizi vitu..wako vzr sana..
@lucianahtatu5665
@lucianahtatu5665 Месяц назад
Perfect mhe#himiwa kazinzuri sana
@iceplay18
@iceplay18 Месяц назад
safi sana govonor mimi naishi finland kwa sasa na mogoka inatusumbua mbaka huku, wanatoletea ikiwa imekaushwa kwa majani chai imesambaratisha familia nyingi sana
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 Месяц назад
Bwana Governor you don't need anybody's permission (ruhusa) to fight for your people. Wacha kuogopa!
@donomondi
@donomondi Месяц назад
He has to lead his people out of addiction and even before God, he is doing the right thing. God bless him
@user-nl8my3ye5d
@user-nl8my3ye5d Месяц назад
Ume fanya vizuri sana
@mashauriwapwani
@mashauriwapwani Месяц назад
My Governor 💯
@user-vc4fy9ii2e
@user-vc4fy9ii2e Месяц назад
Abduli swamadi congratulations kwa kazi yako
@ismailsalim4082
@ismailsalim4082 Месяц назад
ALLAH AKUFANYIE WEPESI GOVERNOR NA WATOTO WETU 🙏
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 Месяц назад
We support wapwaniwspige miguka kabisa
@jacintak2477
@jacintak2477 Месяц назад
i was praying everyday cz of my boyfriend to stop chewing and selling muguka...nikijaribu kumwambia aache tunakosana talking too much God answer my prayers machakos county to bann mguka...mtu ni graduate but anakaa kama hajui mlango wa darasa mungu tunakataa muguka in Jesus name
@alialmaawy8865
@alialmaawy8865 Месяц назад
Actually
@alialmaawy8865
@alialmaawy8865 Месяц назад
Mugokaa is a fight 4 all.Although coast imekuwa affected the most lkn ni janga la sote.
@jacobomollo7100
@jacobomollo7100 Месяц назад
true..and alcohol makers did not complain when they were fighting the menace..let them feed goats those leaves
@Hamisi8465
@Hamisi8465 Месяц назад
Wallah mimi pia nashangaa
@mutulajohn1243
@mutulajohn1243 Месяц назад
Kazi zuri my governor
@NicholasTabuche
@NicholasTabuche Месяц назад
Kazi kwako governor
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Месяц назад
God bless u governor. Usife moyo Mungu ypo nawe.
@user-wo1mu3bf4p
@user-wo1mu3bf4p Месяц назад
Hongera gorverna wetu simama imara tupate haki
@user-ny2fu8bu2u
@user-ny2fu8bu2u Месяц назад
Usiogope binadamu muogope mungu basi mungu iiipushe hii fina ya duniya
@halimamistri8638
@halimamistri8638 Месяц назад
Governa umefanya jabo la kheir.
@user-tw9jk8ow1r
@user-tw9jk8ow1r Месяц назад
mimi nasema pongezi kwa kazi hii governor na nakuombea kwa allah akupe nguvu ili washindwe na ubaya waloupanga ameen
@fatimaabdullahmohd2347
@fatimaabdullahmohd2347 Месяц назад
Good job Governor na mnazi na chang:aa👏👏👏
@faizamahfudh8076
@faizamahfudh8076 Месяц назад
Very important: tusikae tuu tukiangalia pesa but our lives matters as well
@kadijaa7771
@kadijaa7771 Месяц назад
Yeah
@halimamistri8638
@halimamistri8638 Месяц назад
Hata Miraa ipngwe marufuku huyu ulevi mbaya sana
@ruwaidaawadh1215
@ruwaidaawadh1215 Месяц назад
We the people of mombasa are proud to have you as our governor.
@donomondi
@donomondi Месяц назад
YES... I am proud of him
@vicvictheemperor2549
@vicvictheemperor2549 Месяц назад
YOU HAVE MY SUPPORT GOVERNOR
@mwanarusimusa3620
@mwanarusimusa3620 Месяц назад
Sisi huku pwani twauza mnazi wetu hukuhuku hatupeleki huko meru wala embu. Kwa nini hao wanalazima kuuza mugoka huku pwani.
@alicejumaa89
@alicejumaa89 Месяц назад
Maajabu
@TheeShann
@TheeShann Месяц назад
utasema ivo juu unajua mnazi uwezi safirisha ubwa 🦮
@MwanziaMulei
@MwanziaMulei Месяц назад
Mugoka lazma wapwani wakule kwani kuna mtu analazimishwa kununua.
@shabankolia8204
@shabankolia8204 Месяц назад
I support you 💯 per cent
@yusufsaid8911
@yusufsaid8911 Месяц назад
YUKO WAPI MOHD ALI NA HASSAN SARAI WALIOKUA WAKIPIGA KELELE KUHUSU MIHADHARATI MOMBASA WAKATI WA JOHO. AMA SABABU WAKO KWA SERIKALI NDIO MAANA HAWANA HAJA NA VIJANA WANOUTUMIA MNGOKAA.
@johnmwangi9231
@johnmwangi9231 Месяц назад
Siasa ni UAMALAYA,kama huyo jicho pevu vile alitabuliwa kwa kumlika watu, Leo ni jicho chongo;
@babuuosama8752
@babuuosama8752 Месяц назад
2027 Ndani mapema sana InshaAllah kura zipo zasubiri wakati na mdaa wa debe Governor to terms . Mokoka Hana Kura za COAST 6 Countys . Wasitulete Watulete Makademiya na Avokados Tutanunua Embu wapate pesa na wafanya biashara wapate pesa this is the way to GO 🚶‍♂️Go 🚶‍♀️ 💪 👏 😄 Not 👎 Mokoka.
@ruthkarimi2646
@ruthkarimi2646 Месяц назад
Kweli kabisa pambana nayo
@sadnagoso-yn6iz
@sadnagoso-yn6iz Месяц назад
Thank you 🙏🏾
@user-ok3ou4yk4q
@user-ok3ou4yk4q Месяц назад
Abdulswammad is handsome and brave ❤❤❤❤❤
@kingofshorts6824
@kingofshorts6824 Месяц назад
Sasa ukitaka kuchonga si ujichange tu uchkue veve kwan lazma ule jaba kama mwanamke from Nairobi govana uko sawa
@davidmwaura6031
@davidmwaura6031 Месяц назад
amazing
@ayanabdi7884
@ayanabdi7884 Месяц назад
Ginger governor watafute soko riftvalley
@timaidarus4220
@timaidarus4220 Месяц назад
Wanawake wa turkana walivamia shamba la merungi nakuvamia maeneo ya pombe waliona madhara yake na SISI wa MOMBASA tumeona madhara ya mogokaa na hata madawa ya kulevya lakini mogokaa iko affordable hata na watoto kwa bei ndogo.TUMEKATAA kABISAAA.
@timaidarus4220
@timaidarus4220 Месяц назад
Mtangazaji radio maisha unasema tunapata ushuru katika mogokaa. Hivi maisha na pesa tukubali pesa maisha ya watu yaharibike? HAPANA.MOGOKAA TUMEKATAA KABISA.
@paulokondo1631
@paulokondo1631 Месяц назад
Simba Wa Mombasa Hongera.Ishalaa.
@josephnjogu9341
@josephnjogu9341 Месяц назад
Kupiga marufuku rasli mali la sumbua kwani haiwezi kuwa suluhu kamwe kwani mapenzi ya mama haiko ila tu kwa matemshi, heshima ya watoto na ulinzi uliowekwa na sheria haufwatiliwi hivi kuagua shida inayoitwa Adverse Childhood Experiences ambako kama nikimnukumu alivyosema mchunguzi wa akili Segmund Freud-mungu amueke pahali pema peponi 'unexpressed emotions will never die, they are buried alive and will come forth later in uglier ways' ni dhahiri kuwa jambo la bila shaka, ama mara kwa mara watoto hudhalaliswa, kwa HUCHAPWA BURE shuleni hasa pale kwa chekechea, nyumbani na kufuaatilia kunyimwa usingizi kwa kuamshwa saa kumi na moja usiku, kubebeshwa mizigo ya vitabu. Hasa ile lugha wanajua kutoka utotoni ni NITAKUCHAPA, SHENZI, MJINGA, KUBAFU, TUTAKOSANA, USINISUMBUE na hata SHETANI. Wanapokua wakubwa hawana machozi-Iliisha kwa kukataliwa, kudhalilishwa na kuchochwa hasa na waliowazaa. This is traumatizing at its best. Muguka ni njia rahisi pekee ya kuzika huzuni iliyotandazwa kwa MAIN MEMORY. (RAM)Jamii inapoteza muelekeo!!! Ingekua ni jambo la busara kwa Mhe. Rais kuwaomba msamaha na kuachilia walio korokoroni na kutafuta njia muafaka za kuwarudishia heshima. Kutokana na adhari za historia ama uzoefu wa utumwa kwa akili zao, wamerikani weusi huwa ni wenye fujo na ujeuri hata kwa familia zao. Na ndio sababu wengi wa vijana wao huwa hawawezi kuepuka matendo ya jinai kwani Amerika hawana mayirungi.
@jfabbyhussein6861
@jfabbyhussein6861 Месяц назад
Apo sawa waki4c sisi pia tuna samaki,maembe,korosho na utalii pia uko kwetu mbona awanunui samaki korosho wala maembe utalii waeumaliza bt mugokaa kwa kuwa wana pata faida awajali madhara tunayopata watuache MSA wasitupangie chakufanya .......
@stephenngila827
@stephenngila827 Месяц назад
Usiluti nyuma
@user-lw3ne4zu3k
@user-lw3ne4zu3k Месяц назад
Ukweli kanisa umesema my governor
@shabankolia8204
@shabankolia8204 Месяц назад
Very true
@mikesamba8465
@mikesamba8465 Месяц назад
Drugs now in mombasa is not selling good enough
@IsmailBaya
@IsmailBaya Месяц назад
Hosha haho gavana hosha haho
@alexinamaina794
@alexinamaina794 Месяц назад
Wapeleke mogoka Eldoret na sugoi😂😂😂😂😂
@halimamistri8638
@halimamistri8638 Месяц назад
Kama wameru na wa embu wanakula Muguka na Miraa basi ni wale woe silazima walete Mombasa
@True-Kenyan
@True-Kenyan Месяц назад
Wewe haujalazimishwa kula jameni🤷‍♀️🤷‍♀️
@chiwayamruche9415
@chiwayamruche9415 Месяц назад
Kaza viatu governor usilegeze kamba 💪💪💪💪
@koomejohn4287
@koomejohn4287 Месяц назад
Pwani ni Kenya.
@hakeemprince6868
@hakeemprince6868 Месяц назад
Kwahivyo umehalalisha ushoga ngono pombe na drugs... kudos mr governor 🤙
@dadychaps7527
@dadychaps7527 Месяц назад
Mugoka 🔞🔐wauze kwao central . Mombasa ❌❌❌
@PatrickMutua-jn4vv
@PatrickMutua-jn4vv Месяц назад
SASA hitakuwa aje munguka hikishaa uko
@Marara254
@Marara254 Месяц назад
One term governor
@hakeemprince6868
@hakeemprince6868 Месяц назад
Miti ni dawa jamanii 🌿
@halimamistri8638
@halimamistri8638 Месяц назад
Ni hasara ni munkar.
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 Месяц назад
👍👋👋👋👋💐
@collinsoconnor5843
@collinsoconnor5843 Месяц назад
Mogoka mbaya, lakini Unga na Bangi Mzuri huko Mombasani 😂😂😂😂.
@daltonmboya
@daltonmboya Месяц назад
is it banned because of its effect or because the the muguka business is giving an headache to another business,,anyway i side with mothers crying for their addicted childrten
@fatumajuma592
@fatumajuma592 Месяц назад
Hatutaki kwasababu inahathiri watu upo
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Месяц назад
tuko nyuma ako
@KennethMwendia-og6oi
@KennethMwendia-og6oi Месяц назад
😊
@IsmailBaya
@IsmailBaya Месяц назад
Tano tena
@stocks2545
@stocks2545 Месяц назад
001 county
@paulokondo1631
@paulokondo1631 Месяц назад
Simba Wa Mombasa.
@johnlobuin4212
@johnlobuin4212 Месяц назад
Very correct
@mohamednyuni2631
@mohamednyuni2631 Месяц назад
What is pombe haramu na halali? Chang'aa na whisky tofauti ni ipi?wapi mungu amehalalisha pombe?
@SultanIqbal-qe1kg
@SultanIqbal-qe1kg Месяц назад
😂😂😂🔥🔥🔥💯
@Henry-xx7ql
@Henry-xx7ql Месяц назад
This confused governor is fighting a losing a battle🤣🤣🤣🤣
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sarahmakena46
@sarahmakena46 Месяц назад
Tunaomba basi mutupe kazi ya kuuza unga na bangi maana atuna la kufanya.
@richardkarisa1949
@richardkarisa1949 Месяц назад
wewe nawe hauna akili ndio mana unasupport hii ujinga
@mikesamba8465
@mikesamba8465 Месяц назад
What are you talking about
@gigimarco2592
@gigimarco2592 Месяц назад
Kwa nini hiyo Drug ya Mgokaa waiuze huko kwao Governor
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Месяц назад
Ushoga je?
@mikesamba8465
@mikesamba8465 Месяц назад
Drug's mr Govan
@AnkoLolo-mv5bk
@AnkoLolo-mv5bk Месяц назад
Sio tu pombe pombe Bali Ni pombe haramu na hatari
@JulixYung-kw2tr
@JulixYung-kw2tr Месяц назад
Ambia huyu Governor vita vya pombe haramu ndio viko central na vita vya mihadarati cocain, hashish, crackd pigana nazo sio majani ya mbuzi!!!&😂🍀😁
@babuuosama8752
@babuuosama8752 Месяц назад
Ruto patia wakulima wa.Embu mbegu za makademia na ma'avokado wapande wakivuna watulete mombasa kilifi tana river lamu kwale taita taveta Wapwani watanunua na Wa Embu watapata pesa Wafanya biashara watapata pesa . LAKINI KAMA NI MOKOKA KULETWA 6 COUNTYS COAST TO MAKE AND MADE OUR CHILDREN'S ZOMBEZ ZOMBEZ ZOMBEZ Lazy mindset 😴 for other kenyans to benefit while our Children are taken to Rehab's . We say no no no Mokoka in our six County's.
@harunnjiru6024
@harunnjiru6024 Месяц назад
Ni unga tu
@koomejohn4287
@koomejohn4287 Месяц назад
Mbona hamuongei juu ya bhangi sindano pombe,? twajua mihadarati yetu imepigwa competition na muguka. Utafiti mliufanya Kwa maabara ipi?
@rajabyanga3026
@rajabyanga3026 Месяц назад
Kwani ni lazima mlete huku c mkule wenyewe
@benja-rl6in
@benja-rl6in Месяц назад
Muguka si dawa wewe tumia akilii
@jameswakanyeki4191
@jameswakanyeki4191 Месяц назад
Kwani muguka inaharibu vijana wa Mombasa pekee?,maliza UNGA kwanza governor,io ndio tatizo kubwa Mombasa
@rajabyanga3026
@rajabyanga3026 Месяц назад
Haulewi kitu ww
@isagreg8482
@isagreg8482 Месяц назад
Kuleni wenyewe hyo ka ni nzuri kwenu mbona lazma Msa
@cleopaswamugi8578
@cleopaswamugi8578 Месяц назад
Your people have a laziness problem not a drug problem
@SoldierOfAllah435
@SoldierOfAllah435 Месяц назад
This man is a joke…afadhali joho huyu ni mbwakni 😂
@TheeShann
@TheeShann Месяц назад
why can't you talk about those bhang people of Mombasa are using
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Месяц назад
Aisha jibu Hilo swali halipo juu yake hio muulize ruto na kindiki mugokaa noo Mombasa kwendeni kwenu huko muuze
@wesmaelijah8460
@wesmaelijah8460 Месяц назад
Badala apige marufuku kutombana mkundu na kutumia madawa ya cocaine na heroine Mombasa
@rajabyanga3026
@rajabyanga3026 Месяц назад
Ushawai tombwa kwani ww labda
@KennethMwendia-og6oi
@KennethMwendia-og6oi Месяц назад
😊
@hashimthuwein5412
@hashimthuwein5412 Месяц назад
Sisi ndio tume waharibu watoto wetu wenyewe kwa kutuiga sasa ikiwa ww ni kiongozi Umenyoa hivyo unatarajia watoto wako nawe waje wanyowe vipi, ata dini imekataza unyowaji huo, na mwenye nidhamu yake awezi kunyoa hivyo
@did3462
@did3462 Месяц назад
Hatutaki mungokaa pwani wauze kwao
@josephmwangi5644
@josephmwangi5644 Месяц назад
Pwani si kwenu. Pwani iko kenya😂😂
@alicejumaa89
@alicejumaa89 Месяц назад
​@@josephmwangi5644 iko kenya lkn mgoka hatuutaki
@isagreg8482
@isagreg8482 Месяц назад
Kuleni wenyewe hyo aaaah lazma gani jameni
@alicejumaa89
@alicejumaa89 Месяц назад
@@josephmwangi5644 😂😂biashara yako inafilisishwa na magovernor wa pwani. Plz change biz haraka
Далее
Babu Owino interview on why Raila lost
1:11:11
Просмотров 747 тыс.
Radio Maisha:: Nuru ya Lugha 7th july 2012
17:46
Просмотров 15 тыс.
Barber Queen - Nishawai Lipwa 300k Kwa Kunyoa Tu
28:08
Просмотров 2,8 тыс.
Mogaka Awashambulia Vincent Ateya Na Melody Studioni
12:21
Coast leaders speak on muguka.
6:53
Просмотров 8 тыс.
А где Ахмат?
1:00
Просмотров 2,8 млн
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
0:37
Просмотров 3,6 млн
I meet Mr.Beast
0:15
Просмотров 23 млн