Iko sawa thanks kwa kutupea morale...then for me ningekwambia uzipage kama ni beers Counter moja ,,,spirits counter moja,whiskys counter moja,creams counter moja,Gins counter moja,vodka counter moja,brandy counter moja...uache kuzichanganya atlesat display yako ikae more decent🥰🥰🥰🥰much love gal
Go for prayers,you see that rejection that you are passing thru can lead to anything, vile nimefuata shows zako rejection ilikuanza utotoni kama mimi.....Sio kawaida sis, please hear me and i would like to be your friend.
Pookie ujue kupanga counter 🤣🤣hiyo viena ingekuwa chini ya hizo spirits ,,,nasema pombe hupangwa na bei yake kuteremka ,,,,,thats great dear good job ,,,watching from Alaziziyah riyadh,,,🥰🥰🥰🥰🥰
I prefer club ya bear coz utaweka hadi keg na keg iko na doo sana, tena hii unafunga 6 na ndio watu wanaanza kulewa?wee me naona ya all pombe ikiwa sawa than wine and Spirits
Aki ata mmi nimebabika na yeye kutushow ukweli ..nilikua nataka kueka yangu but mwenye nauliza ananishow uongo..imagine 200k nko na pub na mwenye nauliza ananishow pesa ni kidogo
Watu wako na depression hapa wanatafuta kule wataoffload pressure zao SASA umri wake unakuumiza na nini SASA wewe ndio umezaliwa saa hii Jelousy type hopeless idle type tafuta KAZI ufanye and stop cyber bullying. Gal you look great don't listen to loosers 🤬🤬