Тёмный
No video :(

AGANO (Ep 08) 

ASMA COMEDIAN
Подписаться 365 тыс.
Просмотров 35 тыс.
50% 1

#agano

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 99   
@user-dt5bk9ms1v
@user-dt5bk9ms1v Месяц назад
Jamani huyu jamaa docteur anajua sana ,unahuwezo wahali ya juu sana kiukweli ,nimekukubali toka DRC ❤❤❤❤❤❤
@user-iv8bo2he7c
@user-iv8bo2he7c Месяц назад
Jamani mna mafundisho mazuri Sana,ila mnachelewa kuachia mzigo jamani❤😂😂😂
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Месяц назад
Jamani muwe mnaongeza muda mana mchezo ni mzuri sana
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express Месяц назад
Katika waigizaji wakiume ninaowaelewa sana ktk kucheza na script ni huyu Doctor kutoka Kicheche Gang, kuna BUTUA kutoka Clam Vevo Gang, CHIBU kutoka Clam Vevo gang na MACHETE kutoka chumvi nyingi Gang. Hawa watu huwa nawaelewa sana. ❤ Kama unapenda Tamthilia kali nifollow haraka kuna ujio wa Tamthilia soon
@KikohBoy
@KikohBoy Месяц назад
Usikute kicheche ndo jambazi kuu linakufa mwishon😅😅😅😊
@user-rl4cf6tc5n
@user-rl4cf6tc5n Месяц назад
kazi ni nzuri sana docta nimeinjoy kiukwli
@fficialally363
@fficialally363 Месяц назад
Kumbe adi wachawi Wana pasipot ya kuama nchi
@Barakasumi
@Barakasumi Месяц назад
Kenji mwanang sana unaua🎉🎉🎉
@RakiKwambok
@RakiKwambok Месяц назад
Leo NDIO first-time yangu ku comment
@swabrah5758
@swabrah5758 Месяц назад
Mpeweaua yenu Hivi hii wimbo mnatumia nezapata vipi maana nimeipenda sana❤
@AbuubakarySalumu
@AbuubakarySalumu Месяц назад
Kaka manyanya unajua na mungu atujalie tufike mbali kaka na pia umecheza pale ulipo ingia chini ya meza nakubal kaka ❤❤❤❤
@ButoyiThierry-j8e
@ButoyiThierry-j8e Месяц назад
Nic kazi zuri nawapenda❤❤ natoka Bd 🇧🇮 like 🎉🎉🎉🎉
@Evaline-n1p
@Evaline-n1p Месяц назад
WakwaaanzaAaa like zijaeee apaaa🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Месяц назад
Musitueke sana jaman nimeielewa yaan 💯 💯 🎉🎉🎉
@javismasibo9250
@javismasibo9250 Месяц назад
Kazi safi manyanya,
@OthmanGlory
@OthmanGlory Месяц назад
Number one kwishaaaaaa
@modex_0376
@modex_0376 Месяц назад
Wa KWANZA Leo Kutoka kenya naomba like zenu Tafadhalii
@KhairuniSimba
@KhairuniSimba Месяц назад
Kazi nzuri lkn mnachelewesha muendelezo jmn
@lionelemmanuel4436
@lionelemmanuel4436 Месяц назад
Moyo mchungu moyo mchungu unatoka damu😊
@selinakatega6691
@selinakatega6691 Месяц назад
Cidy 😂😂ninavyokujua mdogo wangu hako umepiga ni kawine tena katakuwa Na ice ndani
@user-vo5wh3ns6r
@user-vo5wh3ns6r Месяц назад
Nimependa uyo mama ake docta kacheza vizuri 😂😂😂😂😂
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq Месяц назад
Allah a2linde na wake km uyu mk wa doctor 😢
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 Месяц назад
Nzuri sana ❤🇹🇿
@DanielMarino-ky3sr
@DanielMarino-ky3sr Месяц назад
Kwenye hii movie wangapi tuna miss vai na kicheche
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili Месяц назад
❤❤❤
@EvansMwenda-d1t
@EvansMwenda-d1t Месяц назад
Tangu series ianze sijawahi pewa likes ata 200❤
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Месяц назад
Mpuuzi nin like zenyew hazifik mia mbili afu upewe wew
@kayumbasosa6033
@kayumbasosa6033 Месяц назад
Ili zikusaidie nini kwanza
@EvansMwenda-d1t
@EvansMwenda-d1t Месяц назад
@@kayumbasosa6033 haikuusu
@user-dv2wl3gh4n
@user-dv2wl3gh4n Месяц назад
Doctor Umenifurahisha ukiwa chini ya meza😂😂😂😂
@HamisiSelemani-rr5ty
@HamisiSelemani-rr5ty Месяц назад
Hiiii nimempenda sana naifuatilia mwazo mwisho
@AdamZainab-mb7qj
@AdamZainab-mb7qj Месяц назад
Chapombe up vizur san yaan umevaa kiatu cha mlevi
@mrben227
@mrben227 Месяц назад
Kazi ni nzuri San
@liylahahmed829
@liylahahmed829 Месяц назад
Hatariii sanaaa
@DainesWilliam
@DainesWilliam Месяц назад
Me wa mwisho jmn
@mahmoudnajad217
@mahmoudnajad217 Месяц назад
HUYU NESSY 1 ANA MACHO MAZURI DUH!😍😘😋
@Ankobcomedytz
@Ankobcomedytz Месяц назад
Wa kwanza nipeni lipot
@AkhMas-ho7rp
@AkhMas-ho7rp Месяц назад
Aise mnaweza sana 🎉🎉🎉🎉
@sharu1567
@sharu1567 Месяц назад
Munaweza sana saluti🎉🎉
@ZaitunsuleimanZani
@ZaitunsuleimanZani Месяц назад
Naomba like 🥺 ata kma ni tatu plz
@ZainabuAlly-fe3ww
@ZainabuAlly-fe3ww Месяц назад
Kazi nzuriiii 😊
@Nairoboss
@Nairoboss Месяц назад
Leo mmezidi dakika 🎉
@KWAYABEATZ
@KWAYABEATZ Месяц назад
Mas uma força grande
@radjabuharerimana2538
@radjabuharerimana2538 Месяц назад
Mtuongeze muda maana mnatupunja
@user-uo7rj9ku5j
@user-uo7rj9ku5j Месяц назад
Afadhari leo mumeongezea dakika
@PrincesseGodefroid
@PrincesseGodefroid Месяц назад
Nime sikiya unaliya kwachu😅😅😅😅😅ila Latifa
@PoleenNjeru
@PoleenNjeru Месяц назад
Wakwanza toka 🇰🇪 nipeni likes basi..👌👌
@AbuubakarySalumu
@AbuubakarySalumu Месяц назад
Good movie ❤❤❤
@gabrielmnangala7822
@gabrielmnangala7822 Месяц назад
Ka Tiffah kwa kudek mh 😂😂
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 Месяц назад
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@KhadijaSaid-vj9kh
@KhadijaSaid-vj9kh Месяц назад
Mbn mnachelewa kleta muendelezo
@nurusamath310
@nurusamath310 Месяц назад
Mdada mtoa likes ndio naingia mdogo mdogo ☺️ Comments zote nalike❤❤❤
@gabrielmnangala7822
@gabrielmnangala7822 Месяц назад
Manyanya kwel msomi aloooo
@Kmpshowpatient
@Kmpshowpatient Месяц назад
Wakwaza kutoka DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@lovenesibj
@lovenesibj Месяц назад
dah 🎉🎉 mnajuwa san
@ZainabAlly-un2yw
@ZainabAlly-un2yw Месяц назад
Vizuri san
@user-dw5mu3jd7r
@user-dw5mu3jd7r Месяц назад
Movie Iko sawa
@user-dt5bk9ms1v
@user-dt5bk9ms1v Месяц назад
Mista manyanya❤❤❤❤
@NeemaNyamwelo
@NeemaNyamwelo Месяц назад
Wa kwanza leo like hata 2 tu
@Heiskmb
@Heiskmb Месяц назад
🎉🎉🎉🎉 duuuh
@alobalobrown
@alobalobrown Месяц назад
JAMANI TUNAIMBA HUU WIMBO WA AGANO
@KaweleAnaclet
@KaweleAnaclet Месяц назад
Jamani bona Channel ya kicheche aifanye tena kazi?
@hutahuta1170
@hutahuta1170 Месяц назад
😂😂fundi mlevi
@KikohBoy
@KikohBoy Месяц назад
Mirinda nyeusi
@maindaafricanbeauty3360
@maindaafricanbeauty3360 Месяц назад
Kaz nzr
@MwasitiMsasu
@MwasitiMsasu Месяц назад
Nmewahi leo😮
@Cynthia-br5ef
@Cynthia-br5ef Месяц назад
🎉🎉
@MatokeoEmmanuel-h2m
@MatokeoEmmanuel-h2m Месяц назад
Tujuane jaman
@DamásioAugustoCripa
@DamásioAugustoCripa Месяц назад
Like😅😮
@OmariLugoda
@OmariLugoda Месяц назад
peffect
@OmariLugoda
@OmariLugoda Месяц назад
🎉🎉🎉🎉
@user-yk5sl9bk3x
@user-yk5sl9bk3x Месяц назад
❤❤❤🎉🎉🎉
@MaleyMzaganya
@MaleyMzaganya 13 дней назад
Kama unamkubali kanji nipe likes
@shabsoomary2514
@shabsoomary2514 Месяц назад
Gonga like kama unampenda tiffa😂😂
@AbdoulOmari-ff1bx
@AbdoulOmari-ff1bx Месяц назад
Wakaza mimi Leo kutoka Burundi naomba like zangu
@user-fk4zt4qp3b
@user-fk4zt4qp3b Месяц назад
Good morning ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 Месяц назад
Safi sana
@AmosKhasakhala
@AmosKhasakhala Месяц назад
😂besr
@emelyne321
@emelyne321 Месяц назад
turikua tumewamis San asant san
@LightnessBakari-go2yi
@LightnessBakari-go2yi Месяц назад
Chapombe ananikosha sana aisee
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Месяц назад
Umeona ee
@Msomal47
@Msomal47 Месяц назад
Nice
@HhosnaRashid
@HhosnaRashid Месяц назад
safi sana
@janetkyumbe7154
@janetkyumbe7154 Месяц назад
Waiting next 🎉🎉🎉🎉🎉
@nditjefredina5589
@nditjefredina5589 Месяц назад
Hi
@RozaAsange
@RozaAsange Месяц назад
Nipeni like please
@ZanabZone
@ZanabZone Месяц назад
Kabis😢😢😢
@kingcicero1708
@kingcicero1708 Месяц назад
Like za Mlevi
@RosetteMaarachi
@RosetteMaarachi Месяц назад
🇹🇿🇹🇿🫡🫡🫡
@khadijahomary1755
@khadijahomary1755 Месяц назад
❤❤❤
@user-xu5rh6ub5j
@user-xu5rh6ub5j Месяц назад
❤❤❤🎉🎉
@MuzdarfaMohammed
@MuzdarfaMohammed Месяц назад
❤❤❤❤❤
@ThamimaRajabu-bs2nd
@ThamimaRajabu-bs2nd Месяц назад
❤❤❤
@KelvinChacha-t7q
@KelvinChacha-t7q Месяц назад
❤❤
@giselemauwa4477
@giselemauwa4477 Месяц назад
❤❤
Далее
AGANO (Ep 09)
16:30
Просмотров 30 тыс.
AGANO (Ep 17)
25:43
Просмотров 15 тыс.
Linkin Park: FROM ZERO (Livestream)
1:21:01
Просмотров 5 млн
MAGIC SCHOOL | ep 01 | FULL EPISODE
28:02
Просмотров 131 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [34]
26:56
Просмотров 5 тыс.
NYUMBA YA URITHI 😭 FULL MOVIE
28:06
Просмотров 21 тыс.
The Best Of Christopher Mwahangila Songs 2021
1:35:00
AGANO (EP 16)
25:10
Просмотров 25 тыс.