Bro manyanya 🎉🎉🎉 acha leo niongee kosa japokua wanasema sote hatujakaamilika acha niongee kunasehem mmezingua yan utengenezaji wa daaamu mmefeli jitahidi san mtengeneze damu inao onekana vizr km hao vijana wawili ile sio damu n kingin atakama ni damu iyo semu ya nyeti inadamu nyingi san so
AGANO seres nzuri sana naipenda balaa ikitokq simalizi Lisaa bila kuangalie labda iwe nimeshikika na kazi,hata ivo nawakubari wote washirika wa hii seres🎉🎉🎉🎉#ChingaKenboy
Ss iweje mtuonyeshe tone km 3 za damu? Wkat damu ilitakiwa iwe nyingi ten ya kumwagika????kiukwl kazi nzr il jitahid tupate uharisia mzr so nawaapend san n wafatilia nipo Zanzibar🎉🎉🎉🎉🎉