Zablon Singers simameni imara. Sasa hivi shetani anayumbayumba akitafuta mbinu ya kuwatenganisha. Msimpe nafasi. Majaliwa mtaendelea na kazi ya Mwenyezi Mungu. Marco Joseph atafurahi kule mbiguni mkiimba pamoja. Umoja wenu ni shukrani kwake. Inshallah 🙏🏽
msisikilize maneno ya watu nyie endeleeni kumtumikia mungu wetu wa mbinguni tunawaombea sana mungu awatie nguvu na muendeleee kuifanya kazi ya bwana❤❤❤
Hao wanaotaka kujipodoa misibani watafute misiba ya maonesho wakaoneshe sura zao.Mungu asimame na wapendwa wetu zabron singers tuko pamoja na tutampumzisha kaka yetu, Mungu atupe msimamo thabiti kanisa lake tusisikilize mapokeo ya kishetani❤
Hata wasipokuja mteule atazikwa tu.wasabato wanajitosheleza kwa faraja na ni kanisa kubwa linalojitambua na wanaamini ktk Mungu.hatuendi kujipodoa tunamsifu Mungu..
Na Hawa waandishi pia ni wachonganishi! Kwani ni lazima watu wote wahudhurie!? Kama hawajataka kuja achana nao maana misiba ya kibongobongo usipoenda msibani nao hawaji ndo hufanya hivyo achaneni nao Marko Apumzike salama.
Mungu awatie nguvu zabron mfike kileleni... huyo ni shetani yupo kazini tena waxhindw kwa jin la yesu dada angu kipenzi mfiwa usivunjike moyo hayo ni maneno tu yawatu hata kweny kanga yapo.... jmn kuwen na huruma xo kila taarif mnapost mnanikera ugua pole familia ya zabron
Tatizo wakristo tunabaguana sana! Wengine hujiona Bora kuliko wengine kiimani! Na hii ni mbaya kama unaona mwenzio anakosea muombee tu usimdharau maana Mungu anawapenda watu wote Wala habagui, utabarikiwa kama utamwombea mwenzio ili Mungu amweke ndugu yako sehemu sahihi maana yeye ndo anaijua zaidi. Pumuzika kwa Amani Marko Mungu amekupenda zaidi
Wasabato sio wahukumu mungu ndie mchanganuaji wa huo uimbaji wao kma aliupenda mungu anajua na kma hakupenda ni yeye ...mungu hataki kujipodoa kiukweli
We mtangazaji ni muongo, angalia sana maneno yako yatakurudi, huo ni msiba kama misiba mingine ya kisabato hujafika kuhoji, acha uchochezi Mungu hapendi, Mungu akusaidie wewe na hao waliokushawishi uongee maneno ya Ajabu. Wasabato wana taratibu zao, achana nao.
Endapo kama ni kweli hawajafika kwenye msiba wa mwimbaji mwenzao WA injili basi wamefanya vibaya sana kwani hiyo watakuwa wamehukumu na kazi yao ya uimbaji nikubiri kile kilicho nje na utaratibu WA kimungu wao ilitakiwa wafike ili iwe fundisho Kwa wanakikundi waliobaki, na ndipo injili yao ingekuwa umefika mahara anapopataka Mungu, wapendane kama Baba alivyowapenda na kuwapa kibari cha uimbaji
Hongera kwa waimbaji wakenya wanajua kumshika mtu mkono. Aibu kwa waimbaji watanzania Mbinguni na wokovu wa roho hauna sabato wala pentecostal au anglikana. Mnafaa kutubu kwanza
Kweli bhana wasabato wanapenda kujitenga sana, halafu huwa wanapiga nyimbo zao tu, huwezi Ona wanapiga nyimbo za wasanii wengine. Lakini yote 9 Mungu amrehemu Marco mwanga wa milele amuangazie
Aky ss wakrsto tuko na shida mtu akikufa maneno mingi inaanza mbona msinyamazishe mdomo yenu kama hamna haja ya kuenda matangani hata hao wenye wanasema hata enda msibani hawazuilii Marco kuzikwa shame on you mlio kosa haya any way RIP Marco much love from 🇰🇪 🇰🇪
Mungu haangalii sura wala dini! Moyo safi ndiyo hubalika kwa bwana. Kujipodoa au kutokjipodoa Mungu haangalii kuko! Wala dini haijawahi kumfikisha mtu mbinguni. Vyote tunanyo hangaika navyo tutaondoka na kuviacha. Dunia hii ni mapito tuu.
Hakika Mungu akawe faraja kwa Zabron Singers. Mungu pekee ndio mfariji wa kweli. Hakika hatawaacha atawapigania. Marco alikuwa kijana mwaminifu wa Mungu amepumzika kwa amani . Natamani sisi tuliobaki tuishi maisha mema ili tuje kuiona asubuhi njema na mpendwa wetu. Rest in peace Marco kijana wa Mungu
🤗wivu TU wasabato ni wakiristo hayo mengine niyakwenu wachambuzi ,wingi wawatu haumpeleki mtu mbinguni ,utakatifu tu ndio kila kitu, Mungu ampe pumziko jema la milele Aminaaa 🙏🏻😢😢😢
Madakrari wanajua walichomfanyia Marco ndio wakadanganya familia iharahakishe mazishi kana kwamba alikuwa anaumwa Corona. Wangekagua hiyo maiti waone ama haijachezewa, kama hawajanyofoa macho, figo na viungo vingine muhimu. Hapo familia ilichezwa kwa kudanganywa wawahishe mwili wakazike kana kwamba Jakaya Kikwete hawana Mortuary. Dunia hii hakuna wa kumwamini!
Amina. Mungu hapendi ubaguzi! Sasa mnanaposimama Kanisani huku Una yakomoyoni, Mungu Anasema Niondoleeni kelele. Amosi kaandika Hilo. Sameheaneni na kuonyana. Inapendeza Kwaya.
Mmmmh! Wakristo tunabaguana kwa madhehebu hivi mnafikiri dhehebu ndo litawapeleka mbinguni? Nafikiri mjitafakari wenyewe. Sisi wote tu mwili mmoja wa Kristo inakuwaje tunabaguana kwa madhehebu tena madhebu nguli yaliyokuwepo tangu enzi. Tafakarini tena
Umefuatilia imani vizuri wewe? Hata wangekwenda wangekwazika zaidi,Misimamo ya Baadhi ya madhehebu mfano Wasabato juu ya madhehebu mengine si rafiki.Tumewahi sikia hata misuko suko baadhi waliyopata kwa kuimba tu na wasio wasabato kama Ambwene!Fuatilia interview zao.RIP MWAMBA
alafu nyie waandishi ni waongo na wachonganishi sana muimbaji gan uliyemckia akasema hatakuja kwenye mazishi...sasa hawakutokea je kama hawajapata taarifa achen mambo ya uchonganishi.wenu
Sasa mnamkasirikia mwenye ameshatangulia mbele za haki n haoni ht mnachokifanya na waimbaji km wote mnamwimbia Mungu n wote mko na njia moja mbona manatengana badala y kueni kitu kimoja ht Yesu mwenyewe alisema mtu akikukosea n umsamehe hakusema tuhukumiane kw stahili hiyo tutaiona mbingu kweli tujirekebisheni jmn tuachane na ya Dunia hayatatusaidia kwamwe