Oh my goodness, what awesome memories!!! I was just in Tanzania back in April! I took an Air Tanzania flight from Dar es Salaam to Lusaka, Zambia. Air Tanzania is an awesome and classy airline. The pilots are very proficient and the flight attendants looked so beautifully polished. Also, the airplane was SPOTLESS! I received excellent service and was very impressed overall with Air Tanzania! Asante sana Air Tanzania!❤🇹🇿🇺🇸
Na hii ni ya kwetu, sio ya watu wengine. Hii ni mali ya Tanzania. Safi sana na landing ya kufurahisha sana yaan kitu kina land polepole hadi starehe. Nani kama air Tanzania?
Na wanazipanda hizo hizo.. Maendeleo anayoleta raisi Magufuli ni kama maji. Ukiyakimbia kwenye kuoga basi utayanawa, ukiyakimbia kwenye kunawa, utayanywa tu..
@@jaycee9067 Mi naipenda nchi yangu bwana siwezi kujivunia au kusifia vya wengine na TANZANIA ndio home hata akikosea, lakini cha msingi hii ni ya TANZANIA .