Тёмный

ALI KAMWE AMKANA BALEKE KWA WAANDISHI WA HABARI KUWA SIO MCHEZAJI WAO | DUBE ANAIPENDA YANGA MUDA TU 

Main FM Tanzania
Подписаться 1,3 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

#MICHEZO:Mchezaji wa Yanga SC Prince Dube amesema anafuraha kujiunga na timu hiyo na kwamba anafikiri kila mchezaji ana ndoto ya kucheza klabu hiyo na kuongeza kuwa baadhi ya wachezaji waliojiunga na Klabu hiyo akiwemo Clatous Chama ni wakubwa na ni fahari kucheza nao.
#MICHEZO:Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC Ally Kamwe katika hali ya utani mbele ya wanahabari walipomuuliza kuhusu mchezaji wa timu hiyo Jean Baleke kuwa wamemuona amewajibu kuwa siyo yeye wamefanana na kwamba huyo si Baleke ni mchezaji mwingine watamtambulisha.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
Далее
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Просмотров 4,4 млн
KHUTBA YA IJUMAA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
40:13
Просмотров 2,4 тыс.