Nyie wapambe vipi kina Chama na Baleke kwa Simba ni macheuo Wakati muungwana anakula ukitamka matapishi wanapata kichefu chefu, Tusamehe basi tusitapike!
@mariamMilha-st3qu wala si maneno ya mkosaji ila kwa mjinga kama wewe usoelewa. Chama kakataliwa Kuongezwa mkatataba wangemtaka wangemuongezea mkataba na yeye alijijua kuwa hatakiwi . Kwa kipindi chose cha kuwa Simba miaka 7 ameifunga Yanga goli 1. Kwa usaliti wake ndo hakuongezewa mkataba.