Тёмный

ALIKIBA afunguka KILIMO kilivyompa MKWANJA, aonesha shamba lake la NYANYA 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 86   
@westchugagang5323
@westchugagang5323 Год назад
NYUMBA ZA KUPANGA ,HOTELI KUBWA KUBWA NA GYM AMBAYO INAMILIKIWA NA DANZEL NA MASHAMBA NA MADUKA YA NGUO 🇹🇿🇹🇿 KING KIBA 👑👑
@mbitsimanabetuel4425
@mbitsimanabetuel4425 Год назад
From Burundi but zambia nakupenda wallah,,
@thethengomba355
@thethengomba355 Год назад
Kiba ana biashara nyingii, congrats to him for inspiring people
@farajalongo4528
@farajalongo4528 Год назад
AFYA na USALAMA💪 Nimependa amevaa buti ili kuwa salama. 🙌
@supertallone1902
@supertallone1902 Год назад
King tuoneshe na zile biashara zingine uzidi kuhamasisha vijana, wasidhani upoupo tuu wakakudharau 😎😎 #AliKiba#OnlyOneKing
@babakoog1
@babakoog1 Год назад
King kipenzi cha watu❤
@ankalmzito254
@ankalmzito254 Год назад
King Nyanya 😂😂hata mimi nitaanza kupanda nyanya ili mikwanja zije maana haya maisha daaah!!..imekua nomaaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.......
@BrayoDimpoz
@BrayoDimpoz Год назад
Big Shout to Kiba...i support you fully...huge inspiration
@mrpath.6992
@mrpath.6992 Год назад
akuna tajiri kama mkulima ❤
@ismailrendra3619
@ismailrendra3619 Год назад
O grande rey da música africana Alikiba
@cheommy1453
@cheommy1453 Год назад
Premeirissimo, naomba like Zeno, please!
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 Год назад
Wow honger sana king 🤴 kiba 🔥🔥 ❤️❤️
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 Год назад
Ametuinspire sana huyu mwamba 🙌🙌🙌🙌🙏
@mwanajumamwinyi2665
@mwanajumamwinyi2665 Год назад
MashaAllah MashaAllah
@fzlcomrajabu9514
@fzlcomrajabu9514 Год назад
Respect 🤴
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Год назад
Hongela Sanaa Sanaa Kwa kuwa na maono mkubwa
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 Год назад
This is nice vijana tufate hii njia
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Год назад
Safi sana 👍👌❤
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
Hongera sana 😍😍😍💪
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Год назад
Hoho na nyanya mkulangaa heka 60 big up
@salummtoni6146
@salummtoni6146 Год назад
Ndipo anapolimia?
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 Год назад
Congratulations 👏
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Год назад
mwamba.kimya kimya lakini ana mambo mengi hongera my King 👑
@shaabanjuma-rf3kq
@shaabanjuma-rf3kq Год назад
Piga kazi kaka jembe ndio msingi usio isha katika maisha yetu
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 Год назад
Hakafu Hana show off hongera sana kiba sio kilimo kiba ana vitu vingi sana anaofanya nyuma ya pazia vinavyomuingizia mkwanja lakini Wala hajigambi kama yule mshamba wa tandale
@wemakalama6458
@wemakalama6458 Год назад
MashaAllah ubarikiwe kwa kweli mfano wa kuigwa #king🤴🤴🙏
@gianamichaels5907
@gianamichaels5907 Год назад
King kama king
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Год назад
Uyu jamaaa ni tajiri sana sema sio mtu wa show off sanaaaa ana majumba mpaka kariakoooo ya kupanga na mombasaaa kenya 🇰🇪
@husseinbhatia434
@husseinbhatia434 Год назад
👑
@naimamansourinaimamansouri8790
ndio maana mziki anatowa atakavyo yy kumbe Ana.kazi nyingine hya bwana
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
Kwani unafikiri wale wanaotoa mara Kwa mara ndo hawana vyanzo vingine?? Ninyi kaeni na kuweka kelele tu
@ezekielkandonga9238
@ezekielkandonga9238 Год назад
Ana maanisha muda mwingi atakuwa anautumia kwenye Kilimo,ameongelea yeye binafsi haja mtaja mtu mwingine
@ivantompoo2885
@ivantompoo2885 Год назад
King ni King kiba
@sponsor7882
@sponsor7882 Год назад
nice
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 Год назад
King kiba kumbe nimkulima mzuli tu
@saadyahaya5896
@saadyahaya5896 Год назад
Safi sana kiba
@samwelimwaim7136
@samwelimwaim7136 Год назад
MUNGU ATUSAIDIE NA SISI VIJANA WENGNE TUAMKE TUPAMBANE
@speroachpaulsen
@speroachpaulsen Год назад
🔥🔥🔥🔥
@yusuphumustapha5442
@yusuphumustapha5442 Год назад
Kwer kaka bola kulima2 mahana huku simba huku chui huku tembo 😭🏃🏃🙏🏾
@selemanmwenge693
@selemanmwenge693 Год назад
Wa kwanza leo
@saidihilali1201
@saidihilali1201 Год назад
Mmambieni ule fey aje Tena kuongea zile pumba zake
@idrisashelimo307
@idrisashelimo307 Год назад
Only one King 🫡🫡🫡🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sadruhsnow5637
@sadruhsnow5637 Год назад
Honqera kaka mkubwa
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Год назад
Kiba anabiashara nyingi sana hata nyumba za kupanga lodge
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Год назад
Kila mtu ufanya awezalo na yy kaamua kulima nyanya maana ndo kitu anachoweza kibiashara.
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Год назад
Sio hiyo tuuu anabiashara nyingi sana siku mkizijua mtabaki mdomo wazi
@highthemetv7857
@highthemetv7857 Год назад
​@@shwaibukhatibu2838 unazijua au unaropoka tu 😂😂😂
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Год назад
@@highthemetv7857 si mmezoea show off
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
@@highthemetv7857 😂😂
@jasmineeomary2041
@jasmineeomary2041 Год назад
Ana car wash pale aroma tabata initially kiba classic
@chabanysafado4287
@chabanysafado4287 Год назад
👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿
@allymasubi9404
@allymasubi9404 Год назад
Me nafanya kilimo ghafla hvi I think he is payed for this lakini Hapo hamna mkulima kilimo ni kizuri lakini sio rahisi hata kidogo.tena zao lenyewe nyanya.
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Год назад
weeeeeeeeeeerrr
@wezashedy-hv7mr
@wezashedy-hv7mr Год назад
Ishahalaaaa
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 Год назад
King Kiba,bwana shamba hahaa
@mermitakatembo4324
@mermitakatembo4324 Год назад
Kingi
@petermahimbo3458
@petermahimbo3458 Год назад
Ishu kwenye mauzo sasa,, Soko halieleweki aisee
@BrayoDimpoz
@BrayoDimpoz Год назад
Brother Sky i know unapenda sana masumbwi, unaweza kutuchambulia au kutoa mtazamo wako juu ya pambano la Gervonta Davis na Ryan Garcia?? April 22 this year.
@hakizimanaramadhanisugarbo3909
Imefika hiyo Kaka Skay Workers tunaonamba kwa hili please 🙌🙌🙌
@Keemoji12
@Keemoji12 Год назад
Acha afanye anachoweza😂💔
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Год назад
Acha nami niagize wanitafutie shamba la kulima 😮
@emmanuelugosmligo1016
@emmanuelugosmligo1016 Год назад
Nimeanza kukubar
@zakariamachibula1776
@zakariamachibula1776 Год назад
Hakuna mukulima hapo itakuwa. ni ngoma au video ya mahaba
@michilita2959
@michilita2959 Год назад
Huyu dogo ana akili za kivyake sio huyo mwengine anwekeza Kwa mashimo za wanawake
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
Hata afanye je hawezi kumfikia jamaa Kwa vyanzo vya hela, afu ujue sio kila mtu lazima awekeze kwenye kilimo
@hamzamohammed2535
@hamzamohammed2535 Год назад
Wewe mond mtumwengine broo. Usifananishe nahii takataka
@farajiwanted8257
@farajiwanted8257 Год назад
​@@hamzamohammed2535 Tafuta ela
@michilita2959
@michilita2959 Год назад
@@hamzamohammed2535 we Alie mtaja Monday nani hapa takataka we ulimuumba kuwa msataarbu
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Год назад
​@@hamzamohammed2535 mnamjua au kazi kubishania maisha ya watu,hebu waacheni hee
@asukulubashilwango1907
@asukulubashilwango1907 Год назад
Mmmmmmm mziki umemshinda aumwingiziii kitu
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Год назад
waja mna jema basi?
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
Uongo kiki tuu.....mziki hauja mlipa so tomato ndio zimlipe aaah aache ujinga
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 Год назад
We we ndo mke wake kujua hailipi? Tuache shobo za kijinga
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
@@karaniomoit5259 ndio mimi ni mke wake ulikua wataka ongezeka pia wewe uwe mke wa tatu Nini.......shobo siwache na kiba mume wangu na wewe pia Nakupenda.
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 Год назад
Nyimbo mbaya
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
We kaa Kula ugali na kuongea Maneno yakipuuzi wenzio wanafanya maisha
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 Год назад
@@fahadfaraj6474 famasiala nin
@mlamytz
@mlamytz Год назад
Nyimbo ni nzur ila kichwa chako ndio sio nzur
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
@@mlamytz 48hrs inastrago kupata 500k 😂😂😂
@officialsbjovea5822
@officialsbjovea5822 Год назад
Sawa king
@julietkileo2018
@julietkileo2018 Год назад
Nice
@echasafuraha3423
@echasafuraha3423 Год назад
🔥🔥🔥🔥
@malundofurniture5305
@malundofurniture5305 Год назад
Nakubali sana mwanangu
@malundofurniture5305
@malundofurniture5305 Год назад
Kiba
Далее
A small kitten was dumped #cat #kitten #cutecat
00:41
Что думаете?
00:54
Просмотров 790 тыс.