Тёмный

AliKiba amkana Jokate na kudai hajawahi kumpa mimba wala kupanga kufunga nae Ndoa. 

#MatumiziExtra
Подписаться 26 тыс.
Просмотров 96 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@charlesmushi5350
@charlesmushi5350 8 лет назад
Alikiba mm ni mshabiki wako no 1 lakini nimekudharau sana pumbavu nani unamfanya mtoto nani hajui ulikua na jokate
@rhouzieosore5143
@rhouzieosore5143 7 лет назад
King Kiba was right not all celebrity like talking of their private life plz those who say Ana maringo y not tell us who ur sleeping with nktest Lots of Love King Kiba let ppl speculate any if life bt u know better
@mmangyoyalahonorina5323
@mmangyoyalahonorina5323 7 лет назад
Ali kiba sema kweli please
@surambayarohosafi314
@surambayarohosafi314 8 лет назад
silazima mtu aweke mambo yake wazi wenye kuuliza mbona wao hawasemi yao wanataka kujua ya Ali kiba wasanii wako tofauti siwote hutaka kuulizwa maswali yaupuzi kama hayo, kama jokate Ana mimba naniya Ali kiba nisawa silazima dunianzima ijue na kama akilala na dem Ana shika mimba pia nisawa kuulizwa upuzi siomtu atakosa kuwa ster kuwa ster ni mungu hupanga so kukosa kujibu maswali nisawa kabisa angalieni mambo nakuuliza mtu naanae takakujua mambo ya mimba waeke yao mitandaoni cz hao ndio yao wameyakalia mkundu yawenzao midomoni mitandaoni komaeni akili msikuwe mwili keep it up Ali maswali yaujinga alikiba usijibu kabisa hatauwe nawa toto kumi niwako wenye wanataka kujua hawaku saidii kulea isitoshe kuna watu wana watoto ishirini nitakuja kuwa hao watatu napia kuna watu wana tafuta watoto kwa udi na uvumba hawapati wabashindwa kwa waganga usiku na mchana! jipangeni maswali nakuuliza mtu.
@hubertcheyo6802
@hubertcheyo6802 8 лет назад
unaboa sasa kweli diamond mjanja
@eunidasmoraa5111
@eunidasmoraa5111 8 лет назад
Kiukweli mimi ckuwa najua kuwa una maringo kiazi hicho,,,swali??? cwezi jibu then umekuja kufanya nini?ningekua n.a. uwezo ningekutoa nje kibaonsa coz that's nonsense!!!
@dashforex291
@dashforex291 2 года назад
Uyo Diva kinga'ang'aniz mxewww
@janeadhiambo1345
@janeadhiambo1345 8 лет назад
mimi nampenda diamond coz hana maringo na akowazi sana kwa mafans wake na pia hana madharau mashallah! sikama alikiba daaah! maringo sana mpaka anashidwa kujitetea mwambieni hakuna siri ya watu wawili respect to chibumond! hehe
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 6 лет назад
Jane Adhiambo kweli jamaa anamaringo na dharau Sana
@shakesdeabdy3043
@shakesdeabdy3043 8 лет назад
kiba u are wise.....such questions are private n u need a private communication
@anjunurdin2763
@anjunurdin2763 7 лет назад
Unakataa kujibu wakati ni kitu rahisk tu.unaulizwa alikua wako au mmea chana au.kitu simpo tu huambiwi umzungumze kasoro zake .ata unajidai mm siko ivo uko ivo kivipi.kama iko ivo why ulikua nae kimapenzi na unawatoto 3 nje ya ndoa na kila mmoja na mama yake.wewe tumia ustaraabu kujibu.sipo ivo.na zile picha na zaapenzi unapiga nae
@rexreyansh7370
@rexreyansh7370 3 года назад
Instablaster...
@tumaomar7210
@tumaomar7210 8 лет назад
Kila mtu na maisha yke acheni ujinga huyo diamond ni limbukeni ndo mana anapenda kuongea pumba za wanawake anakuwa nao
@RoseMary-hp5bz
@RoseMary-hp5bz 8 лет назад
aaaaanhaaa alikiba noum yaan unamkan jocket mala 3 we ni sheedar
@مريممريم-ف5ق6ي
@مريممريم-ف5ق6ي 5 лет назад
Mimi simpend diamond nampenda arikiba
@nellynjeri4798
@nellynjeri4798 8 лет назад
can't imagine I watched this thatsy I love dai ako direct
@rauhiyaally3358
@rauhiyaally3358 8 лет назад
kiba ulikua lakini sada northing kwa pozi na kujivunia umarufu wa nyuma
@jucqadrian2695
@jucqadrian2695 8 лет назад
haaahahhhaha....ndo maana namkubali sanaa chibu hii kitu apo juu inakera jaman
@henrysobrill386
@henrysobrill386 4 года назад
Ww fala maswala mapenzi na apo havihusiani
@nancyw4894
@nancyw4894 8 лет назад
Hiyo ndio shida ya kuwa na kipaji cha usanii na kudunga kila shimo na mshale bila ngao na kukanaa
@kembopere4961
@kembopere4961 8 лет назад
acheni ushabiki wa haina hiyo nani anaweza kuhulizwa kwenye runinga maswali kama hayo alafu ukajibu,pili maswali hayo yana honyesha moja kwa moja divas anamausiano ya kimapenzi na ali kiba na je angekuwa wewe ungekubali kum'zalilisha mwana mke mwengine sababu ya divas atakama chibu kwa acheni ushabiki wa ahina hiyo,mwacheni ali aheshimu joketi mana ayupo kwenye interview.
@anordmaige4151
@anordmaige4151 8 лет назад
kiba nilikuwa nakuaminia but ww maringo sana dats y una reduce fans jirekebishe sitisahau siku ulipokuwa airport fans wako tunakupa hi unakausha sometimes bora mondi anayebadili madem km nguo ila tunamuelewa coz alikuwa anatafuta mtoto so kiba punguza maringo ww mtoto wa kiume kazi yako haiitaji kuringa coz urachukiwa na wengi afu hutauza huo mziki wako lbd utauza kwa ndugu zako bora abdkiba
@mariamhamisi8646
@mariamhamisi8646 8 лет назад
ajui jio anasikia sasa afayaje kiba usijibu watu wote
@azazazaz5284
@azazazaz5284 8 лет назад
wambea hawa wana maswali ya ajabu let him hv a breath plz. mnamchosha sana.
@mapendowaso6760
@mapendowaso6760 6 лет назад
hv lakin kwann unakuwaka na marigo sana na mm nakupendaga kuliko huyo wao mond
@tondisangasanga9825
@tondisangasanga9825 8 лет назад
Oya ww video zako zakishamba na nyimbo sankululu ninomaaaaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaa
@irenebernard1331
@irenebernard1331 7 лет назад
sijui ni,eangalia nn loooh kukosa kazi huku Interview ya kiboua tuuu hayo maswali bora mngemuuliza mbwa japo angebweka mkaelewa anachomaanisha pyeeeew
@mapendowaso6760
@mapendowaso6760 6 лет назад
wangapi wanaongeaka hapo ben pol wakin ebilove,,somepeople wana ongeaka but u different kiukweli leo umenichukiza kinyama
@ithurttolovesomeone
@ithurttolovesomeone 8 лет назад
Nilikuwa nakupenda kuna ila ume niboa kumbe una zarau hujiamini ndomana diamond ana tobowa wewe una ngaasharubutu Leo nahamiya wcb
@chapochapos1696
@chapochapos1696 8 лет назад
Wellcome WCB IS AFRICAN PATRIOTISM TO GO to new frontiers kimuziki. KIBA NI MR ME ME HE IS HAPPY IN HIS LORDING LITTLE CORNER WORLD.
@ruthamimo3095
@ruthamimo3095 6 лет назад
king kiba ambia jokate ulikuwa unajikinga mvua kwake na ulishafika mahali alikuwa unaenda , anaeza kinga mwingine akitaka ,
@rizikiali8173
@rizikiali8173 6 лет назад
Usitoe mambo yako ok kk
@joanndwiga1349
@joanndwiga1349 8 лет назад
ths guy z wise
@afidhyusuf5320
@afidhyusuf5320 8 лет назад
kiba maringo mengi ndiomana anapoteza mashabiki
@chapochapos1696
@chapochapos1696 8 лет назад
No he is JUST BORING either ana NATA au ANALAUMU!# NO MANENO YA ku. BOOST YOUNG GENERATION i mean seriouly the guy is TALENTED GOD GIVES YOU SOMETHING TO HELP HUMAN BEINGS NOT UBINAFSI.MUNGU AKIKUPA HUKUITUMIA KUSAIDI NDIO UNA PIGWA KOFI INSTEAD YA KIBA KUREALIZE A START TO WORK WITH OTHERS KU BORESHA MUSIC NA KUSAIDIA NEW GENERATION BADO SIMPLE MIND (LAWAMA) EVERY HUMAN HAS A ROLE to play towards others hata kama wewe uNA UZA KAHAWA CORNER YA STATION U HAVE A DUTY FOR OUR YOUNG GENERATION sio u BE SHOW GOD WHEN HE SINGS HE IS GREAT WHEN HE TALKS I WANT TO PUKE
@zulekhamnyaturu6341
@zulekhamnyaturu6341 5 лет назад
Badala ya kumuuliza m2 maswal ya mziki mnamuliza kuhusu ujinga huo ata ningekuwa mm c jibu hayo ni maswala yang
@yunusiabraham5835
@yunusiabraham5835 6 лет назад
xax hayo mamb munayoytaka nynyi ndo uxhamba xax kma mtyu atak kueka mamb yke hazaran na anazarau kma muxhamzoea diamond ata akigawa pipi media zko tz atangze hyo ni mamb ya kixhamba co lazm kila k2 kiwa hazaran mamb mengne ni xiri yao kwni ww hawjaoana,xaxv kma ni mtyu wke wanafnya zinaa kwaiy iyo ni moja hekima alyoitmia kiba
@felix9350
@felix9350 8 лет назад
Mbona hauongei si una ulizwa? ma star hawakuwagi hivo. Au halipwi kwenye interview?
@surambayarohosafi314
@surambayarohosafi314 8 лет назад
wameyakalia matakoni wanataka kujua ya watu! angekua hazai ingekua historian anawatoto imekua maswali eeejameni tukomaeni akili sikukua mwili na vichwa ni madafu. kuna watu wana watoto ishirini itakuja kuwa haowa alikiba watatu kuna watu wana tafuta watoto usiku na mchana kwa udi na uvumba hawapati vizuri sana hajajibu! nex time jipangeni kuuliza mtu maswali Kuhusu mziki ime baki kumuuliza kwa siku Ana Ana lala nawana wakewangapi anaenda chooni marangapi anakula marangapi hiyo ndio imebaki mana hamna lamhim lakuuliza
@everestinamwavula8727
@everestinamwavula8727 8 лет назад
hata mm pia Nina mtoto wa Ali kiba sai ana miaka 4 kwaivyo si joketi peke take tuko wengi..
@khadijamzee7304
@khadijamzee7304 8 лет назад
kiukweli anaonesha wazi io mimba niyake mana hafichiki jinsi alivyo mtu Ukitaka kumjua kafanya jambo na anakataa muangalie macho tuu utamjua..
@khamissalim3934
@khamissalim3934 8 лет назад
anagharamia....
@khadijamzee7304
@khadijamzee7304 8 лет назад
so hapo hawezi kubali cz anajua wazi atasikika kila mahali ebu mfate private uone kama hatoongea ukweli atatoboa ukweli wote Ukitaka kujua ukweli wamtu usimuulize wazi wazi mpeleke njia ndefu badae naingia mwenyewe kwenye point unayoitaka lakini ivyo ulivyo muuliza direct huezi kubali apo aisee yako Kali Alikiba looh kila mwanamke ukienda fast round bolly tayari hatareeeeeeeeeeeeh
@pollylazmartins9690
@pollylazmartins9690 8 лет назад
bona akataa lazma ana games mob!
@nancymbaye1241
@nancymbaye1241 8 лет назад
Why don't he just speak the truth lol.......lol
@johnbarasa9929
@johnbarasa9929 7 лет назад
umekatazwa mbona unamngangania kiba ...what hell!!?.style up we mwanamke
@kembopere4961
@kembopere4961 8 лет назад
Ndugu kuweni na akili timamu sio sababu umehilizwa kwenye interview ndo utaje majina ya watu ambao awakuhusu iweje divas ahulize mambo ya joketi nakati ayupo? asubiri joketi siku nyingine ndo amulize mwenyewe joketi wala sio kiba kujibu maswali ya joketi.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
werembo kaen radaa na hyo kiba anakuonja kama mboga then ana jichocha bure sna
@joanlezza8469
@joanlezza8469 6 лет назад
Hata akifatwa private huyu kujiskia asili yake hajuw Kama sisi ndotumemfanya atoke kimaisha
@davinaroneville7228
@davinaroneville7228 8 лет назад
dah siukubali Kama ulikuane
@stewartrichard1316
@stewartrichard1316 8 лет назад
bored sijapenda iyo interview sema karibu kila interview zake anaonekana anamaringo flan iv aisee kwa mwendo huo wakuleta pozi utangoja sana cuz nobody take a damn saivi Tz yote macho kwa braza Diamond
@chamwilemartin7289
@chamwilemartin7289 5 лет назад
Yeah don't talk coz DAT iz private issue
@mariamhamisi8646
@mariamhamisi8646 8 лет назад
tutakuja kuwanga pesa kweye jukwaa bele ya washabiki usijari nitumie namby yako tuwe tunawasiliama
@mariamhamisi8646
@mariamhamisi8646 8 лет назад
wanakupeda ichi za ije usijari tukikija tz
@isayashabani2051
@isayashabani2051 5 лет назад
be kbea
@isayashabani2051
@isayashabani2051 5 лет назад
Asirely
@isayashabani2051
@isayashabani2051 5 лет назад
Aslrei
@hurukatam2583
@hurukatam2583 8 лет назад
Maringo tele' maswali haujibu' interview mbovu kwani haumuonagi diamond platnamz kwenye interview mpaka inapendeza.
@henrysobrill386
@henrysobrill386 4 года назад
Weww huruka
@mariamhamisi8646
@mariamhamisi8646 8 лет назад
nyie sasa mtu kama
@jameschanja8304
@jameschanja8304 7 лет назад
kiba cyo mjinga bali mnaotaka kujua mahusiano yake ndiyo wajinga kwani yy ameitwa kuelezea mahusiano au mziki wake. Hapo ndipo wabongo tunafeli kulinganisha eti nampenda fulani yuko direct watu hawawezi lingana kamwe hivyo ujinga wa wchache usiufanye kuwa ukweli. ifike tyme tuwe watu wazima ask about his music not otherwise. nyinyi hamna wapenzi na mnafaidika nn akisema yuko na jojo au hayuko nae.
@babycombo2635
@babycombo2635 8 лет назад
?
@mariamjumanne4460
@mariamjumanne4460 7 лет назад
nonsense yaani kiba kumbe boya namna hi
@kipolaina
@kipolaina 8 лет назад
So what get over it
Далее
One on One with Ali Kiba
46:53
Просмотров 157 тыс.
The Klopp Era - Top 10 CRAZY Matches
17:30
Просмотров 1,2 млн
Celebrities Shutting Down Disrespectful Interviewers
17:44
ALIKIBA: MPIRA NI HARAM/ MAUMIVU PER DAY
3:14
Просмотров 10 тыс.